Aliyekuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Mifugo na Uvuvi, Profesa Riziki Shemdoe, amechukua fomu kuomba ridhaa kugombea ubunge Jimbo la Lushoto, mkoani Tanga kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM).
Profesa Shemdoe amekabidhiwa fomu hiyo na Katibu wa CCM Wilaya ya Lushoto, Miriam Kaaya.
Wakuu,
Jafari Milango (kushoto) amechukua na kurejesha fomu ya kuomba ridhaa ya Chama cha Mapinduzi (CCM) kuwania ubunge Jimbo la Morogoro Kusini Mashariki.
Milango amekabidhiwa fomu hiyo leo Jumanne Julai Mosi, 2025 na Katibu wa CCM Wilaya ya Morogoro mkoani humo, Michael Bundala.
Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (NEC), Innocent L. Bashungwa amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya kutetea nafasi ya Ubunge katika Jimbo la Karagwe, mkoani Kagera kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Bashungwa amechukua fomu hiyo na kuirejesha kwa Katibu wa Chama Cha Mapinduzi...
Heche kweli kichekesho! Kila siku makelele kama generator ya kijijini, kumbe walikuwa wanapiga porojo tu! Walisema hawashiriki uchaguzi, leo wanatuma maombi kwa mbwembwe. Wanafiki wakuu, walitaka huruma kumbe walikuwa wanatafuta nafasi! Acheni maigizo, wananchi si wajinga.
Aliyewahi kuwa Mkuu wa Wilaya za Kalambo mkoani Rukwa na Busega mkoani Simiyu, Tano Seif Mwera amechukua fomu za kuomba ridhaa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kugombea ubunge katika jimbo la Temeke.
Mwera amesema kilichomsukuma kuchukua fomu hiyo ni mwamko wa kufanya vizuri kwa wanawake katika...
Mbunge wa Jimbo la Sumbawanga Mjini Aesh Hilaly Aesh hilaly amechukua fomu ya kuwania nafasi ya Ubunge kukiwakilisha Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika Uchaguzi Mkuu ujao.
Fomu hiyo ameichukua leo katika ofisi za Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Sumbawanga Mjini, akikabidhiwa Fomu na Katibu wa...
Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Nebart George Mwapwele, amechukua rasmi fomu ya kuwania ubunge kupitia tiketi ya CCM katika Jimbo jipya la Kivule, mkoani Dar es Salaam
Nebart Mwapwele ambaye pia amewahi kuwa Mkurugenzi wa TCCIA, ameeleza kuwa uamuzi wake wa kuchukua fomu umetokana na nia...
Wakati Waziri wa Uchukuzi Abdallah Ulega na Mkewe Mariam Abdallah Ibrahim wamechukua fomu ya kuomba kuwania Ubunge wa jimbo na viti maalum katika Mkoa wa Pwani. wadau mbalimbali wamehoji hatua hiyo imelenga kutatua kero za wananchi au ni ubinafsi wa madaraka.
Naibu katibu Mwenezi wa ACT Wazalendo, Shangwe Ayo akiwa pamoja na timu ya wanachama wa ACT jana kuelekea Kigoma ziara ya Operesheni majimaji iliyozinduliwa jumapili Juni 29,2025
Operesheni majimaji imepangwa kufanyika nchi nzima ikiwa ni kuanzia Julai 1 hadi Julai 15, 2025 ikilenga kuwaamsha...
"Msajili wa Vyama vya Siasa, Serikali au Mahakama kuzuia CHAMA cha SIASA kufanya shughuli za Siasa kwenye mwaka wa Uchaguzi."
Soma, Pia: Kesi ya uhaini inayomkabili Lissu yaahirishwa hadi Julai 15 2025
Amesema hayo leo Julai 1, 2025 Mahakamani wakati akifafanua hoja kwenye shauri la uhaini...
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa, Tundu Lissu amesema "Itakua kesi ya kwanza katika historia ya dunia hii kwamba mtu mmoja pekee yake ndio anafanya uhaini"
"Ni mara ya kwanza katika historia ya nchi kuona kesi kubwa katika sheria za Tanzania kesi ya UHAINI...
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa, Tundu Lissu amesema baada ya madai yake Mahakamani juu ya kunyimwa Haki zake za msingi akiwa sero aliletewa Padre kwenye Sero yake na kupata hudama ya kiroho.
Soma, Pia: Kesi ya uhaini inayomkabili Lissu yaahirishwa hadi Julai 15...
Kada wa Chama cha Mapinduzi (CCM),Babyilon Mwakyambile ameingia kwenye mbio za ubunge kwa kuomba ridhaa ya kuteuliwa na Chama Cha Mapinduzi kuwa Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kyela Mkoani Mbeya.
Mwakyambile ambaye kitaaluma ni mthamini wa ardhi akiwa mhitimu wa Chuo Kikuu cha Ardhi jijini Dar Es...
Kwa sasa kama kuna wanasiasa wasioleweka, wasioweza kuaminika au kukubalika popote, basi kundi la wabunge wa Covid 19 ndio kinara. Kisiasa ni kama wamechanganyikiwa hivi, hawajui pakushika na hawajui pakuacha, chochote kilichopo mbele yao chenye kutoa mwanga wa matumaini wa maisha yao ya kisiasa...
Mfanyabiashara na mdau wa maendeleo wa mkoa wa Kagera CDE SAMIRA KHALFAN AMOUR amechukua fomu kugombea ubunge wa viti maalum mkoa wa Kagera kupitia jumuiya ya wanawake.
Samira Khalfan Amour amekuwa mstari wa mbele kuinua jamii inapokabiliana na changamoto mbalimbali mkoani Kagera
Soma Pia: Uzi...
Hii kesi itakuwa Mubashara, kwahiyo kila mmoja atajionea Mwenyewe hoja kabambe.
Kumbuka kwamba kwenye kesi hii Tundu Lissu anajitetea Mwenyewe
https://www.youtube.com/watch?v=Y-Q-tR8W20U
Tundu Lissu amefikishwa katika mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar Es Salaam kwa ajili kesi ya...
Bongo ukiwa na Akili haufai njaa !!.
Wabunge wenyewe wa CCM ndio Hawa wa Community Concerning Tainung institute !!
Wasanii wameamua kucheza na akili za Watía Nuru .
Ni hivi, Asilimia kubwa ya Wabunge wa CCM ni wakubebwa, hawana Uwezo, saladu ni ni Low IQ.
Sasa haya makanjanja wasaniii...
Aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mbeya (CCM), Mhe. Suma Ikenda Fyandamo amechukua fomu ya kuwania nafasi ya Ubunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Mbeya, akiendeleza dhamira yake ya kuwatetea na kuwaendeleza wanawake pamoja na wananchi wa mkoa wa Mbeya kwa ujumla.
Soma Pia: Uzi maalum wa wanaotia...
MIHAYO ACHUKUA FOMU JIMBO LA USHETU
Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Kamishina Msaidizi wa Madini Wizara ya Madini, Francis Alleluya Mihayo, amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya kugombea ubunge wa Jimbo la Ushetu Wilaya ya Kahama Mkoa wa Shinyanga.
Soma Pia: Uzi maalum wa wanaotia nia...
Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na aliyewahi kuwa Rais wa Serikali ya Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Kimataifa cha Kampala (KIU), Ragi Samwel , amechukua fomu ya kuomba kuteuliwa kugombea Ubunge wa Jimbo la Ukonga kupitia tiketi ya CCM.
Samwel alipokea fomu hiyo leo, Juni 30, 2025, na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.