kuelekea 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. PAYE

    GE2025 Naibu Waziri wa zamani, Godfrey Zambi achukua fomu kuwania ubunge Mbozi

    Mkuu wa zamani wa mkoa wa Lindi na mbunge mstaafu wa jimbo la Mbozi, Godfrey Zambi amechukua fomu za kuomba ridhaa ya Chama Cha Mapinduzi kwa ajili ya kuwania kiti cha ubunge cha jimbo la Mbozi. Mbali ya kuwa mkuu wa mkoa pia Zambi aliwahi kuwa Naibu Waziri wa Kilimo.
  2. PAYE

    GE2025 Musa Ryoba achukua fomu kuwania Ubunge Tarime Mjini

    Mwanachama wa Chama Cha Mapunduzi, Musa Ryoba amechukua fomu ya kugombea Ubunge wa Jimbo la Tarime Mjini kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM). Zoezi la uchukuaji na urejeshaji fomu linaendelea nchi nzima tangu lilipoanza Juni 28, likitarajiwa kufungwa Julai 2, 2025.
  3. Mindyou

    GE2025 Mary Nagu achukua fomu ya kuwania Ubunge jimbo la Hanang

    Wakuu, Mwanasiasa mkongwe na mzoefu, Dkt. Mary Michael Nagu, amejiunga rasmi katika mchakato wa uchaguzi ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa kuchukua fomu ya kuwania Ubunge wa Jimbo la Hanang kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka 2025. Dkt. Nagu, ambaye aliwahi kuwa mbunge wa Hanang kwa vipindi...
  4. DuaZaMama

    GE2025 Mwita Waitara achukua fomu ya ubunge jimbo la Tarime Vijijini kupitia CCM

    Mbunge anayemaliza muda wake wa Jimbo la Tarime Vijijini, mkoani Mara, Mwita Waitara leo amechukua fomu ya kuomba kuteuliwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM) kugombea ubunge kwa mara nyingine katika jimbo hilo. Amesema anaamini ataungwa mkono na wananchi wa jimbo lake kutokana na namna alivyowatumikia
  5. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Shaban Mrutu achukua fomu kugombea Ubunge Jimbo la Tabora mjini

    Mdau wa maendeleo Mkoani Tabora Shaban Mrutu amechukua fomu kugombea Ubunge Jimbo la Tabora mjini ikiwa ni mara ya pili, Awamu ya kwanza ikiwa ni Mwaka 2020 Soma Pia: Uzi maalum wa wanaotia nia kugombea Ubunge Uchaguzi Mkuu 2025
  6. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Wakili wa Mahakama Kuu, Tumsifu Kweka achukua fomu ya kuwania ubunge Jimbo la Siha

    Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa Taifa wa CCM kutoka mkoa wa Kilimanjaro na Wakili wa Mahakama kuu Bw. Tumsifu Kweka, leo Jumanne Julai Mosi, 2025, amechukua fomu ya kuwania nafasi ya uteuzi wa kugombea ubunge katika Jimbo la Siha, akiahidi kuendeleza maendeleo ya wananchi na kusimamia itikadi ya chama...
  7. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Dkt. Semistatus Hussein alitaka jimbo la Busega kupitia CCM

    Kada wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Dkt Semistatus Hussein Mashimba achukua fomu kuwania uteuzi wa kukiwakilisha chama cha Mapinduzi katika uchaguzi mkuu Oktoba 2025 katika Jimbo la Busega Mkoani Simiyu. Soma Pia: Uzi maalum wa wanaotia nia kugombea Ubunge Uchaguzi Mkuu 2025 Dkt. Mashimba...
  8. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Aziza Mustapha Songambele achukua fomu kugombea Udiwani Viti Maalum Mwananyamala

    Aziza Mustapha Songambele achukua fomu kugombea Udiwani Viti Maalum Mwananyamala
  9. M

    KUMBUKIZI: Usaliti na Uongo huwa unaumbua sana. Ester Bulaya akikana maneno yake mwenyewe

  10. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Mwanachuo Salvatory Mwakamele ametia nia Udiwani Kata ya Segerea

    Mwanachuo Salvatory Mwakamele ametia nia Udiwani Kata ya Segerea. Mwakamele alishawahi kuwa kiongozi wa Tawi la UVCCM - Chuo Cha Tumaini Dar es Salaam, Mkurugenzi mkazi wa AUSP ( African University student Platform) - TANZANIA. Soma Pia: Uzi maalum wa wanaotia nia kugombea Ubunge Uchaguzi Mkuu...
  11. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Kijana wa miaka 28 ajitosa ubunge Jimbo la Nachingwea

    Kijana mwenye umri wa miaka 28, Ally Ngualo, mkazi wa Naipanga katika Wilaya ya Nachingwea, mkoani Lindi, ametangaza rasmi nia ya kugombea ubunge wa Jimbo la Nachingwea katika uchaguzi mkuu ujao. Soma Pia: Uzi maalum wa wanaotia nia kugombea Ubunge Uchaguzi Mkuu 2025 Ngualo alisema kuwa sasa...
  12. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Mtia nia wa ubunge jimbo la Vunjo afika kuchukua fomu akiwa na mbwa

    Faustin Mtui, mwanasheria na mkazi wa kata ya Marangu Magharibi, amejiunga rasmi katika mbio za kuwania nafasi ya ubunge wa Jimbo la Vunjo kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), akiambatana na mbwa maalum wa doria waliompatia umaarufu katika mapambano dhidi ya uhalifu. Soma Pia: Uzi maalum wa...
  13. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Mbunge wa Jimbo la Kalenga Jackson Kiswaga atoa misaada kwa watoto yatima

    MBUNGE wa Jimbo la Kalenga anayemaliza muda wake Jackson Kiswaga ametoa msaada wa vitu mbalimbali ikiwemo vyakula kwa Watoto yatima wanaolelewa katika kituo cha Watoto yatima Tosamaganga kilichopo katika Halmashauri ya wilaya ya Iringa kama sehemu ya kuunga mkono juhudi za kituo hicho chenye...
  14. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Hawa Mwaifunga arudisha fomu ya ubunge jimbo la Tabora mjini, afunguka sababu za kuhamia CCM

    Hawa Mwaifunga arudisha fomu ya ubunge jimbo la Tabora mjini, afunguka sababu za kuhamia CCM
  15. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Aliyekuwa mbunge wa CHADEMA aibukia CCM na kujitosa ubunge jimbo la Ileje

    Aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalum mkoa wa Songwe kupitia CHADEMA ambaye hivi karibuni alitangaza kuhamia Chama cha Mapinduzi (CCM), Bi.Stella Fiyao, amechukua fomu ili kuomba ridhaa ya kugombea nafasi ya ubunge katika jimbo la Ileje lililopo mkoani humo. Soma Pia: Uzi maalum wa wanaotia nia...
  16. MoroGent

    GE2025 David Silinde AJITOSA Tena Ubunge Tunduma Achukua na Kurudisha FOMU

    Salamu sana Wanajukwaa, Picha hapo juu inaonyesha Mheshimiwa David Silinde akikabidhiwa rasmi fomu ya kugombea tena Ubunge wa Jimbo la Tunduma kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM). Tukio hili linaonyesha nia yake ya kuendelea kulitumikia jimbo hilo, akiamini kuwa bado ana mchango wa kuendeleza...
  17. DuaZaMama

    GE2025 Thom Mnkondya ajitosa ubunge jimbo la Tunduma

    Kada wa Chama Cha Mapinduzi CCM, Mtaalamu wa ardhi na Mjasiriamali Kijana Bw. Thom Mnkondya, Leo Jumanne Julai Mosi, 2025, amechukua rasmi fomu ya kuwania nafasi ya Ubunge wa Jimbo la Tunduma kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), katika Ofisi za CCM Wilaya ya Momba. Thom, ambaye amejizolea...
  18. DuaZaMama

    GE2025 Upendo Peneza ajitosa ubunge jimbo la Geita Mjini kupitia CCM

    Mkuu wa kitengo cha hamasa wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Makao makuu Upendo Peneza amejitosa kuomba ridhaa ya chama kuwania nafasi ya Ubunge jimbo la Geita mjini Mkoani Geita. Hii ni mara ya pili kwa Peneza kuomba nafasi hiyo ambapo mwaka 2020 aligombea jimbo hilo kupitia Chadema lakini...
  19. Mindyou

    Kuhusu kesi ya Lissu ya Uhaini mambo yamefikia patamu na kwenye hatua ya muhimu sana. Tunasubiri kuona kitakachojiri

    Kesi ya uhaini dhidi ya kiongozi wa upinzani Tundu Lissu imefikia patamu na kwenye hatua ya muhimu sana Iwapo DPP ataamua kuendelea na kesi, taratibu za kuhamisha shauri zitaanza katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, na kesi itapelekwa Mahakama Kuu kwa ajili ya kusikilizwa. Mahakama Kuu...
  20. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Msanii Dogo Janja autaka udiwani Kata ya Ngarenaro

    Msanii wa Bongo Fleva Dogo Janja ametangaza nia ya kugombea udiwani Ngarenaro. “Kata ya Ngarenaro nimezaliwa, nimekulia na Nimeishi sasa ni wakati wa Kuwatumikia Wananchi wenzangu na kushirikiana nao katika kusukuma Gurudumu la Maendeleo ya Kata yetu. Soma Pia: Uzi maalum wa wanaotia nia...
Back
Top Bottom