Salamu waajukwaa,
Utangulizi
Niliwahi kutamka hapa kuwa Mheshimiwa David Ernest Silinde ni mfano wa kiongozi mwenye ushawishi mkubwa, anayekubalika na kuungwa mkono na jamii yake.
Kukubalika kama Kiongozi
Kitendo cha madereva bodaboda na bajaji kumchangia na kumlipia fomu ya kugombea ubunge...
Mtangazaji na mtayarishaji wa vipindi wa Azam TV, Timothy Chelula, amechukua na kurejesha fomu ya kuomba ridhaa ya kuteuliwa kuwa mgombea wa ubunge wa Jimbo la Kongwa, mkoani Dodoma, kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Soma Pia: Uzi maalum wa wanaotia nia kugombea Ubunge Uchaguzi Mkuu 2025...
Bwana Dunford Mpelumbe naye ajitokeza kuwania kuteuliwa kugombea ubunge jimbo la Masasi kwa tiketi ya chama chake cha CCM.
Soma Pia: Uzi maalum wa wanaotia nia kugombea Ubunge Uchaguzi Mkuu 2025
Zoezi la uchukuaji fomu katika ofisi za Chama Cha Mapinduzi (CCM) linaendelea nchi nzima
Ikiwa imebaki siku moja kuhitimisha zoezi la uchukuaji fomu za Udiwani, Uwakilishi na ubunge ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Makada mbalimbali wameendelea kujitokeza na kuchukua fomu za kuomba ridhaa ndani ya CCM, mchakato uliotawaliwa na sura ngeni na wale makada maarufu kwenye siasa za...
Leyla noorssein Guma Aliyeshika bendera kumaliza vita vya Idd Amin, Amechukua fomu kugombea Ubunge jimbo la Kawe.
Soma Pia: Uzi maalum wa wanaotia nia kugombea Ubunge Uchaguzi Mkuu 2025
Mickdad Abdul ajitosa kuwania Ubunge jimbo la Rombo kupitia CCM achukua fomu na kusema anatumia haki yake kikatiba.
Soma Pia: Uzi maalum wa wanaotia nia kugombea Ubunge Uchaguzi Mkuu 2025
Asema Chama hakina ubaguzi wa Rangi, ukabila wala ukanda.
Wakuu
====
Kama ni kweli Dhambi itakuwa ndio hukumu ya Mwisho ya binadamu basi wanasiasa wengi wataangamia,ukimsikiliza Bulaya wa Mwaka 2023 na Bulaya 2025 utafikiri ni watu Wawili tofauti. Tuogope teknolojia na Mungu
Maoni yangu
Bulaya hawezi kushinda ubunge nimekaa pale
Mwanachama wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Magembe Noni ambaye ni mzaliwa wa Geita, amechukua rasmi fomu ya kuwania uteuzi wa Chama chake kwa ajili ya kugombea nafasi ya Ubunge wa Jimbo la Geita Mjini katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025.
Soma Pia: Uzi maalum wa wanaotia nia kugombea Ubunge...
Mwanahabari na aliyekuwa Msemaji wa zamani wa vilabu vya Simba na Yanga, Haji Manara, amechukua Fomu ya kuwania Udiwani katika Kata ya Kariakoo, Jimbo la Ilala kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM).
Soma Pia: Uzi maalum wa wanaotia nia kugombea Ubunge Uchaguzi Mkuu 2025
Zoezi la uchukuaji fomu...
MIHAYO AREJESHA FOMU JIMBO LA USHETU
Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Kamishina Msaidizi wa Madini Wizara ya Madini, Francis Alleluya Mihayo, amerejesha fomu ya kuomba ridhaa ya kugombea ubunge wa Jimbo la Ushetu Wilaya ya Kahama Mkoa wa Shinyanga.
Kazi na Utu, Tunasonga Mbele
Kada wa CCM Wilaya ya Rufiji, Shaban Matwebe, ambaye awali alilalamikia kunyimwa fomu ya kuwania Ubunge, hatimaye amekabidhiwa fomu hiyo leo Julai 01, 2025.
Matwebe amesema licha ya vikwazo alivyopitia, ikiwemo kushikiliwa na Polisi na kukatishwa tamaa kwa njia mbalimbali hatimaye amefanikisha...
Mimi ndugu Suphian Juma Nkuwi, kada mtiifu wa chama cha Mapinduzi,CCM na Mkurugenzi wa Shirika la TAA linaloratibu kampeni ya kupanda miti mkoa mzima wa Singida iitwayo SINGIDA MPYA YA KIJANI INAWEZEKANA leo Julai 01, 2025 nimechukua na kurejesha fomu kugombea nafasi ya Ubunge jimbo la Ikungi...
Katika hali isiyo ya kawaida. Limetokea wimbi kubwa sana la vijana kuchukua fomu za kugombea uongozi katika nyanja mbalimbali.
Wasomi na hata ambao sio wasomi.
Sijui litatengenezwa bunge la namna gani safari hii.
Inasikitisha na inashangaza pia katika hali ambayo asilimia kubwa ya watu...
Mfanyabiashara maarufu, Zahor Matelephone amejitosa katika mbio za ubunge baada ya kuchukua fomu katika Jimbo la Ole, Pemba.
Zahor ni miongoni mwa viongozi wanaoibuka kwa kasi na kuamsha matumaini ya wananchi wa Jimbo la Ole, akiwa na maono makubwa, aliyekulia katika misingi ya uadilifu, utu na...
Mjumbe wa Baraza la Uwakilishi wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) Wilaya ya Kilosa, Timothy Cleopa Cossan, amejitosa kuwania nafasi ya ubunge katika Jimbo la Kilosa, mkoani Morogoro.
Amesema nia yake ni kuwa sehemu ya kufungua milango kwa vijana kunufaika na fursa zinazopatikana kupitia...
Mjumbe wa Mkutano Mkuu UVCCM Taifa Ndg Baraka Zambi amechukua na kurejesha fomu ya kuomba ridhaa ya kugombea Udiwani kata ya Ilemi Halmashauri ya jiji la Mbeya.
Akizungumza baada ya kurejesha fomu hiyo Julai 01, 2025 katika Ofisi za CCM kata ya Ilemi Zambi ameeleza nia yake ya kugombea udiwani...
Dkt. Geogre John Komba ambaye ni mtoto wa Hayati Kapteni John Komba aliyekuwa mbunge wa jimbo la Nyasa na muimbaji na kiongozi wa bendi ya TOT ambayo inamilikiwa na Chama Cha Mapinduzi amechukua fomu ya kugombea nafasi ya ubunge katika jimbo la Nyasa kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi.
Mtoto wa baba wa taifa Emil Magige amechukua fomu ya kuomba kugombea ubunge jimbo la Kawe kwa tiketi ya CCM.
Emil, mhandisi kwa taaluma aliwahi kuwa mwenyekiti wa ccm Musoma vijijini miaka ya nyuma.
Wakili Msomi kutoka ofisi ya mwanasheria Mkuu wa serikali, Patrick Stephen Malogoi amerejesha fomu ya kugombea ubunge Jimbo la Geita kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Hii ni mara ya pili kwa wakili Malogoi kuomba ridhaa ya CCM ambapo katika kura za maoni za mwaka 2020 na kushika nafasi ya...
Aliyekuwa kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Ester Matiko amechukua fomu ya kuwania kugombea ubunge katika Jimbo la Tarime Mjini kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM).
Soma,pia: Esther Matiko sasa ni mwanachama wa CCM
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.