kuelekea 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Mpwa wa Hayati Magufuli atinia kugombea ubunge wa Jimbo la Chato Kaskazini

    Aliyekuwa Katibu Tawala wa Wilaya ya Biharamulo mkoani Kagera, Venance Stanslaus Martin, ambaye pia ni mpwa wa Hayati Rais Dkt. John Pombe Magufuli, amechukua fomu ya kugombea ubunge wa Jimbo la Chato Kaskazini kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM). Venance amefika katika Ofisi za CCM Wilaya ya...
  2. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Mtumishi huyo wa Ofisi ya Makamu wa Rais Kitengo cha Ununuzi na Ugavi, Ezekiel Gwatengile autaka ubunge Jimbo la Busokelo

    Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Mbeya, Ezekiel Gwatengile (kulia) akiwa na mke wake, Esther Gwatengile baada ya kurejesha fomu kugombea ubunge Jimbo la Busokelo. Soma Pia: Uzi maalum wa wanaotia nia kugombea Ubunge Uchaguzi Mkuu 2025 Mtumishi huyo wa Ofisi ya Makamu wa Rais Kitengo cha...
  3. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Mhadhri wa TEHAMA UDSM Mathew Mndeme, autaka Ubunge Jimbo la Arumeru Mashariki

    Msomi na Mhadhiri wa Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Mathew Mndeme, amechukua fomu ya kuwania nafasi ya Ubunge katika Jimbo la Arumeru Mashariki kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM). Akizungumza mara baada ya kuchukua fomu hiyo, Mndeme amesema kuwa...
  4. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Ndaisaba George Ruhoro atinga na baiskeli kuchukua fomu ya kutetea ubunge jimbo la Ngara

    Mbunge wa jimbo la Ngara Mhe. Ndaisaba George Ruhoro amechukua fomu ya maombi ya kuomba tena ridhaa ya kugombea ubunge kwa kipindi kingine cha miaka mitano kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM). Soma Pia: Uzi maalum wa wanaotia nia kugombea Ubunge Uchaguzi Mkuu 2025 Fomu hiyo ameichukua...
  5. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Olivia Chagula achukua fomu ya ubunge wa viti maalum wazazi Bara

    Juni 30, 2025, Mjumbe wa kamati ya Uchumi na Fedha Ya Umoja wa Wazazi CCM Wilaya ya Kinondoni mkoani Dar es Salaam na Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) amechukua fomu kuwania nafasi ya Ubunge wa Viti Maalum Wazazi-Bara Soma Pia: Uzi maalum wa wanaotia nia kugombea Ubunge Uchaguzi Mkuu 2025 Juni...
  6. Carlos The Jackal

    Niliwaambia Hii Vita Watanzania tumlilie Mungu na Wazungu !! Ulaya na Marekani, hawatoutambua Uchaguzi wa 2025 !!Vikwazo muda wowote kuanzia sasa!!

    Mungu wabariki Wazungu ,wabariki sana sana sana , waendelee kuwepo Hapa Duniani na wazidi kua na Nguvu !!. Wakuu, Muda wowote tangu Sasa Marekan na Ulaya watatangaza Vikwazo dhidi ya Top OffSTEicial wa Serikali tanzania, IGP na baadhi ya Maafsa ambao majina yao yametajwa na yamethibitishwa ...
  7. peno hasegawa

    Masache Kasaka, Hafai Kuendelea Kuwa Mbunge wa Jimbo la Lupa, Mkoa wa Mbeya

    Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Lupa, Masache Kasaka, amechukua fomu ya kugombea tena ubunge katika uchaguzi ujao. Hata hivyo, wananchi wa Lupa wanatoa ujumbe wazi: tunapinga kwa asilimia 100 mpango wake wa kugombea tena. Wakati wa utawala wake, Kasaka hakuwahi kutoa msaada wa maana kwa wananchi...
  8. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Aliyekuwa diwani wa Viti Maalum, Veronica Damaso achukua fomu kugombea udiwa wa kata ya Mpiruka

    Aliyekuwa diwani wa viti maalum kata ya Mpiruka wilayani Nachingwea Veronica Damaso Makotha leo juni 30 amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya kugombea udiwa wa kata hiyo. Soma Pia: Uzi maalum wa wanaotia nia kugombea Ubunge Uchaguzi Mkuu 2025
  9. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Mwanahabari Aldo Sanga achukua fomu kugombea Udiwani kata ya Ipepo

    Mwanahabari Aldo Sanga amejitokeza kuchukua fomu za kuomba kuteuliwa kuwa mgombea wa Udiwani kata ya Ipepo wilayani Makete mkoani Njombe. Soma Pia: Uzi maalum wa wanaotia nia kugombea Ubunge Uchaguzi Mkuu 2025
  10. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Daud Ngassa, ajitosa mbio za ubunge wa Jimbo la Urambo

    Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Daud Ngassa, amejitosa katika mbio za ubunge wa Jimbo la Urambo, mkoani Tabora. Ngassa, ambaye pia amewahi kuwa Katibu wa Umoja wa Vijana Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, amekabidhiwa fomu leo na Katibu wa CCM Wilaya ya Urambo, Himid Tweve. Soma Pia: Uzi maalum...
  11. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Mfanyabiashara maarufu, Saimon Masalu alitaka jimbo la Katoro

    nafasi za uongozi kuelekea uchaguzi mkuu, Jimbo la Katoro mkoani Geita limeanza kupata sura mpya ya ushindani baada ya mfanyabiashara maarufu, Saimon Masalu Malando, kuchukua fomu ya kuomba ridhaa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) ili kugombea nafasi ya ubunge. Soma Pia: Uzi maalum wa wanaotia nia...
  12. GENTAMYCINE

    Leo hii Esther Bulaya ni wa kusema CCM aliyohamia ni sawa na Barcelona na CHADEMA iliyomtengeza kuwa Bora alivyo ni Leicester City iliyoshuka daraja?

    Sasa nakubali rasmi kuwa ni bora Umuamini Mwanaume mwenzako kwa 99% kuliko Mwanamke. Na kama Wewe ni Mwanaume ambaye Umeona Mke kama Esther Bulaya jua kama ameweza leo kuikana na kuinanga CHADEMA ambayo kwa 99.999% ndiyo imemtengeza alivyo Kiumahiri sasa jua hata katika Ndoa au Mahusiano yako...
  13. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Abdallah Nyaligwa, anaishi Uingereza, lakini ajitosa kuwania ubunge Jimbo jipya la Itwangi

    Abdallah Nyaligwa, leo Juni 30,2025 amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuwania Ubunge wa Jimbo Jipya la Itwangi, ambalo limegawanywa kutoka Jimbo la Solwa. Soma Pia: Uzi maalum wa wanaotia nia kugombea Ubunge Uchaguzi Mkuu 2025 Nyaligwa mzaliwa wa Itwangi kutoka familia...
  14. Bushmamy

    GE2025 Joshua Nassari achukua fomu ya ubunge jimbo la Arumeru Mashariki

    Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Magu, Mkoa wa Mwanza, Joshua Nassari leo Jumatatu, Juni 30, 2025 akiwa na fomu ya kuomba ridhaa ya kuwania ubunge wa Jimbo la Arumeru Mashariki, kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM). Soma Pia: Uzi maalum wa wanaotia nia kugombea Ubunge Uchaguzi Mkuu 2025 Nassari amewahi...
  15. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Halima Rajabu achukua fomu kuwania nafasi ya udiwani Kata ya Mtoni

    Kada wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Halima Rajabu, amechukua fomu kwa lengo la kuwania nafasi ya udiwani katika Kata ya Mtoni, iliyoko Wilaya ya Temeke, mkoani Dar es Salaam. Soma Pia: Uzi maalum wa wanaotia nia kugombea Ubunge Uchaguzi Mkuu 2025
  16. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Katibu wa Uchumi na Fedha wa UVCCM Kilimanjaro, Happy Shirima ajitosa Ubunge Viti Maalum

    Katibu wa Uchumi na Fedha wa UVCCM Mkoa wa Kilimanjaro, Comrade Happy .J. Shirima amechukua Fomu ya Ubunge Viti Maalum Kupitia chama Cha Mapinduzi CCM, Soma Pia: Uzi maalum wa wanaotia nia kugombea Ubunge Uchaguzi Mkuu 2025 Comrade Happy Shirima ni Mmoja ya Vijana Machachari waliobobea katika...
  17. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Mshereheshaji Maarufu, Dr. Cheni achukua fomu kugombea Ubunge Jimbo la Kilwa Kusini

    Mambo yamezidi kupamba moto! Mshereheshaji Maarufu nchini Mahsein Awadh Said alimaarufu kama Dr. Cheni ametangaza rasmi kuchukua Fomu ya kutia nia ya kugombea Ubunge katika Jimbo la Kilwa Kusini. Soma Pia: Uzi maalum wa wanaotia nia kugombea Ubunge Uchaguzi Mkuu 2025
  18. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Heche: CHADEMA tumekataa kuwa sehemu ya uchaguzi wenye unajisi, na tunataka serikali ifanye mabadiliko kwenye mifumo ya uchaguzi

    CHADEMA tumekataa kuwa sehemu ya uchaguzi wenye unajisi, na tunahisii serikali ifanye mabadiliko kwenye mifumo ya uchaguzi, lakini pia tunashambuliwa kila upande mahakamani, ofisi ya msajili, polisi , John Heche
  19. Waufukweni

    GE2025 John Heche ampinga Rais Samia. Adai hakuna uhuru wa kufanya Siasa

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) bara John Heche amedai kuwa kitendo cha chama hicho kuzuiliwa kufanya siasa ni njama inayotumiwa kukikandamiza chama hicho kikuu cha upinzani. Heche ameyasema hayo Jumatatu Juni 30, 2025 wakati akitoa taarifa kwa umma kupitia...
  20. peno hasegawa

    GE2025 Aliyekuwa diwani kata ya Boma Mbuzi Juma Raibu, ajitosa kuchukua fomu ya Ubunge jimbo la Moshi Mjini

    Hali hii inatokana na uamuzi wa aliyekuwa diwani wa kata hiyo, Juma Raibu, ambaye ameamua kugombea ubunge katika Jimbo la Moshi Mjini. Uamuzi wa Raibu unatoa fursa adhimu kwa wanachama wa CCM kuonyesha uwezo wao na kujitokeza katika uchaguzi wa udiwani. Hii ni nafasi nzuri kwa wajumbe hao...
Back
Top Bottom