kuelekea 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JanguKamaJangu

    GE2025 Salum Kinyori 'Kibakuli' ajitosa kugombea Ubunge katika Jimbo la Handeni Mjini

    Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na mdau wa maendeleo Salum Kinyori 'Kibakuli', leo Juni 30, 2025 amechukua fomu ya kugombea ubunge Jimbo la Handeni mjini Mkoani Tanga. Salum ambaye ni mdau wa Maendeleo na msomi aliyebobea kwenye fani ya uchumi na mfanyabiashara mbobevu amechukua fomu hiyo...
  2. W

    GE2025 Kambarage Wasira (mtoto wa Stephen Wasira) achukua fomu ya ubunge jimbo la Bunda Mjini

    Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Kambarage Wasira (kushoto) akichukua fomu ya kuomba kuteuliwa na chama hicho kugombea ubunge Bunda Mjini. Kambarage amekabidhiwa fomu hiyo leo Jumanne Juni 30, 2025 na Katibu wa CCM Wilaya ya Bunda, Evodia Zumba katika ofisi chama hicho wilayani humo.
  3. JanguKamaJangu

    John Heche: Hotuba ya Rais Bungeni hajazungumza na Wananchi alikuwa anatoa maelezo kwa Vyombo vya Dola

    Akizungumza leo Juni 30, 2025 Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche amedai kuwa hotuba ya Rais Samia aliyoitoa Ijumaa iliyopita Juni 27, 2025 ilielekea zaidi katika kutoa maelekezo kwa vyombo vya Dola kuliko kuzungumza na Wananchi.
  4. Waufukweni

    GE2025 Jemedari Said ajitosa kuwania Ubunge Mtama

    Mchambuzi wa soka na mchezaji wa zamani wa timu ya Kariakoo Lindi, Jemedari Said Kazumari (kushoto) amechukua fomu za kuomba ridhaa ya kuwania Ubunge wa Jimbo la Mtama leo Juni 30, 2025. Kazumari amekabidhiwa fomu hizo na Katibu wa Wazazi Wilaya ya Lindi Vijijini katika Ofisi ya CCM wilayani...
  5. Erythrocyte

    GE2025 Masahihisho: Hakuna Mbunge wa COVID 19 anayegombea Ubunge kupitia CCM aliyeikacha CHADEMA, Hawa Walivuliwa uanachama na kufukuzwa

    Taarifa ikufikie Popote ulipo kwamba, katika hawa Wabunge Wasaliti na Mamluki walioitwa COVID 19, Ambao sasa wanachukua fomu za ubunge kupitia ccm ili kugombea kwenye uchaguzi ambao hautakuwepo (No Reforms No Election), Hakuna hata mmoja aliyetokea CHADEMA, Ogopa Matapeli. Hao akina Mama...
  6. Pfizer

    GE2025 Mohamed Yakoub amechukuwa fomu kugombea Ubunge Jimbo la Kilosa

    Mohamed Yakoub, Naibu Meya wa zamani Ilala amechukuwa fomu kugombea Ubunge Jimbo la KILOSA. Jimbo hilo mbunge wake aliyemaliza muda wake ni Mhe. Prof. Palagamanda Kabudi.
  7. Chukwu emeka

    Tetesi: Jimbo la Kisesa analotoka Mpina,hakuna aliyechukua fomu mpaka leo hii

    Habari wa JF, Katika hali ya kushangaza na kustaajabisha,jimbo la Kisesa hakuna MwanaCCM yeyote aliyechukua fomu ya kuomba ridhaa ya kukiwakilisha Chama kugombea ubunge.Pamoja na mafuriko ya wanachama wa Chama hicho maeneo mengine, lakini Kisesa bado wanaCCM wameufyata. Chanzo changu...
  8. Abdull Kazi

    GE2025 Hivi ndivyo Ulega anavyojiandaa kuishika Pwani Kisiasa

    Baba yake ni mjumbe Mkutano mkuu Wilaya, Dada yake Ulega ni katibu Malezi kata kupitia Jumuia ya wazazi na Mtoto wa dada yake ni Katibu wa UVCCM. Mke wake anautaka Ubunge wa viti maalum Pwani akitokea Mkuranga na tayari ameshachukua fomu. Yeye Mwenyewe Ulega anautakaa Ubunge wa Mkuranga na...
  9. PAYE

    GE2025 Odo Chaula: Nilipata ushirikiano wa kutosha kwa Wananchi wa Mwembetogwa

    Aliyekuwa diwanni wa kata ya Mwembetogwa Odo Chaula akiwashukuru wananchi wake kwa kumpa ushirikiano kwa muda wote ambao amewatumikia. Kada huyo wa chama cha Mapinduzi leo Juni 30,2025 amechukua fomu ya kuomba kuteuliwa kugombea udiwani kata ya Mwembetogwa mjini Makambako.
  10. PAYE

    GE2025 Janeth Mtiba achukua fomu ubunge Tarime Mjini

    Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Mara, Janeth Mtiba (kushoto) leo Jumatatu Juni 30, 2025 amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya kuwania ubunge Jimbo la Tarime Mjini. Janeth amekabidhiwa fomu hiyo na Katibu wa CCM Wilaya ya Tarime, Hamza Adam.
  11. W

    GE2025 Joshua Nassari alitaka tena Jimbo la Arumeru Mashariki kupitia CCM

    "Sasa nafikiri imefika muda ni wakati wa uchaguzi na mwaka wa uchaguzi na mimi nimewiwa kuzisikiliza sauti za watu wa Meru. Nimezisikiliza kisawasawa kwahiyo nimedhamiria na nimekuja kuchukua fomu ya kuomba kuteuliwa na chama cha mapinduzi kupeperusha bendera ya kiti cha ubunge Jimbo la Arumeru...
  12. DuaZaMama

    GE2025 Jesca Kishoa achukua fomu ya ubunge jimbo la Iramba Mashariki

    Mbunge wa Viti Maalum Jesca Kishoa, amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya kuwania ubunge wa Jimbo la Iramba Mashariki kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM). Kishoa amechukua fomu hiyo leo Juni 30, 2025, katika Ofisi za CCM Wilaya ya Mkalama, mkoani Singida. Hatua hiyo ya Kishoa inakuja ikiwa ni mwezi...
  13. DuaZaMama

    GE2025 Omary Kumbilamoto achukua fomu ya Udiwani kata ya Vingunguti

    Aliyekuwa diwani wa kata ya Vingunguti na Meya wa halmashauri ya jiji la Dar es salaam, Omary Kumbilamoto leo Juni 28, 2025 amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya kuteuliwa na Chama cha Mapinduzi CCM kwa ajili ya kugombea udiwani kata ya Vingunguti.
  14. DuaZaMama

    GE2025 Masache Kasaka ajitosa fomu ya ubunge Jimbo la Lupa

    Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Lupa wilayani Chunya mkoani Mbeya Masache Kasaka amechukua fomu ya kugombea ubunge Jimbo la Lupa kwa mara nyingine tena.
  15. DuaZaMama

    GE2025 Alfa Mshana ajitosa fomu ya Ubunge jimbo la Mwanga

    Aliyewahi kuwa Rais wa Chuo cha Mipango Dodoma Alfa Z. Mshana Amechukua Fomu ya kuwania nafasi ya Ubunge katika jimbo la Mwanga Kilimanjaro.
  16. DuaZaMama

    GE2025 Aysharose Mattembe achukua fomu kuomba kuteuliwa kugombea Ubunge viti maalum Singida

    Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Singida anayemaliza muda wake, Aysharose Mattembe (kulia) amechukua fomu kuomba kuteuliwa kugombea nafasi hiyo. Mattembe amekabidhiwa fomu hiyo leo Juni 30, 2025 na Katibu wa UWT Mkoa wa Singida, Judith Mwamboza.
  17. DuaZaMama

    GE2025 Mkoha achukua fomu kumvaa Miraji Mtaturu Jimbo la Ikungi Mashariki

    Kada Emmanuel Mkoha ambaye amebobea kwenye sekta ya madini akiwa amefanya kazi na Mashirikika ya Kimataifa ya uchimbaji madini kama Anglo Gold Ashanti na Barrick Gold amechukua fomu kuomba kuteuliwa na CCM kugombea ubunge katika jimbo la Ikungi Mashariki kumvaa Miraji Mtaturu ambaye naye...
  18. DuaZaMama

    GE2025 Tecla Ungele ajitosa tena ubunge viti maalum Mkoa wa Lindi

    Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Lindi Tecla Ungele ni miongoni mwa waliochukua fomu leo Juni 30,2025 za kuwania tena nafasi hiyo. Tecla amechukua fomu hiyo katika Ofisi za Umoja wa Wanawake Tanzania Mkoa wa Lindi na kukabidhiwa na Katibu wa Umoja huo wa Mkoa Ndugu Neema Ngonyani. Akizungumza...
  19. DuaZaMama

    GE2025 Jamillah Hassan amechukua rasmi fomu ya kuomba ubunge viti maalum mkoa wa Morogoro

    "Ninayo heshima kuwataarifu kuwa Mimi Jamillah Hassan Miyonga leo tar 30/06/2025 nimechukua rasmi fomu ya kuomba ridhaa kwa chama changu CCM kutia nia UBUNGE VITI MAALUM mkoa wa Morogoro! Nikiwa mwana CCM wa kweli, mwenye historia ya kujituma, kufanya kazi kwa weledi na kusimamia haki za...
  20. PAYE

    GE2025 Mariam Ulegha achukua fomu Ubunge Viti Maalum Pwani

    Mariam Ulega achukua fomu ya kuomba ridhaa ya Chama cha Mapinduzi CCM kuwania Ubunge wa Viti Maalum Mkoa wa Pwani.
Back
Top Bottom