kuelekea 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 INEC: Hakuna chama cha siasa kilichowasilisha malalamiko ya kanuni za maadili ya uchaguzi

    Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Ramadhan Kailima amesema mpaka sasa hakuna chama cha siasa ambacho kimewasilisha malalamiko juu ya kanuni za maadili ya uchaguzi, na kwamba kesho vyama vya siasa vitakuwa Dodoma kwa ajili ya kusaini kanuni hizo. Kupata matukio na...
  2. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mkurugenzi INEC Ramadhan Kailima: Tume huwa haikati majina ya wagombea kwa matakwa yake

    Tume huwa haikati majina ya wagombea kwa matakwa yake…tume huwa inakata kutokana na makosa kwa mujibu wa sheria na kanuni zilizotungwa na Bunge…” - Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Ramadhan Kailima akivisihi vyama vya siasa kutulia wakati wa ujazaji wa fomu ili...
  3. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM Njombe yatoa wito kwa wananchi kujitayarisha na Uchaguzi: 'Ni Takwa la Kikatiba'

    Chama cha Mapinduzi (CCM) mkoa wa Njombe kimetoa wito kwa wananchi mkoani humo kujiandaa na uchaguzi kwa kuwa ni takwa la kikatiba huku wakidai kuwa hakuna Chama chenye uwezo wa kuzuia takwa hilo. Katibu wa Siasa na Uenezi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) mkoa wa Njombe Josaya Luoga amebainisha...
  4. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Anthony Mavunde: Nimejenga soko kubwa Dodoma ambalo litawasaidia wanawake

    Mbunge wa jimbo la Dodoma Mjini na Waziri wa Madini Tanzania Mhe. Anthony Peter Mavunde ameelezea baadhi mipango mikubwa ambayo ameitekeleza ambayo imekua ikiwatatiza wananchi wa Mkoa wa Dodoma pia ameelezea mipango ambayo anakwenda kuitekeleza hivi Karibuni wakati akimalizia utumishi wake wa...
  5. A

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Nakubaliana kidogo na Pascal Mayala; Lissu na CHADEMA Mbowe aliwapiga changa la macho kuhusu No reforms, No election

    Baada ya kuangalia kinachoendelea kuhusu joto la siasa nchini kuelekea uchaguzi mkuu October 2025, nimebaini kwa namna moja hama nyingine Lissu na CHADEMA wamebeba nia njema kuhusu no reforms no election, ila aliyewaletea hilo wazo alijua kabisa sisi watanzania ni waoga munoo, hivyo tusingeweza...
  6. Mlalamikaji daily

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Itakuwa aibu kubwa kwa vyama vya upinzani kwenda kusaini fomu za maadili Dodoma 12 Aprili, 2025 wakati Kiongozi mwenzao yupo Jela

    Naona tume (Huru) imetangaza kesho ni lazima vyama vyote vinavyotarajia kuingia kwenye uchaguzi vikasaini fomu za maadili ya uchaguzi.. Soma Pia: Tume, serikali na vyama vya siasa kusaini maadili ya uchaguzi Itakuwa aibu kubwa kama wakienda wakati Kiongozi mwenzao yupo ndani kwa kesi ya...
  7. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Serikali Kulipa fidia ya Shilingi Bilioni 6 kwa wananchi wapisha ujenzi wa Kiwanja wa Ndege Kilwa Masoko

    Serikali imeahidi kulipa madai ya fidia ya shilingi bilioni sita kwa wananchi waliotoa maeneo yao ili kupisha ujenzi wa Kiwanja wa Ndege Kilwa Masoko mkoani Lindi kabla ya Juni 30 mwaka huu. Ahadi hiyo imetolewa na Waziri wa Fedha Dkt.Mwigulu Nchemba kwa njia ya simu wakati Katibu wa NEC...
  8. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Askofu Gwajima: Mabadiliko hayaletwi na makundi bali ni mtu mmoja aliye tayari kutoa uhai wake. Asema Watanzania waipiganie nchi

    In brief, anasema: ➡Haogopi kufa, maana kila mmoja atakufa.... ➡Mabadiliko (changes) huongozwa na mtu mmoja ambaye yuko tayari kufa kwa ajili ya wengi. Atolea mfano wa Yesu Kristo.... ➡Mitungi yote ya gesi Mihan, Oryx, taifa nk yote inatoka China lakini gesi yote ni yetu. Awauliza waumini...
  9. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia azungumza na Mkuu wa KKKT, Askofu Dkt. Alex Malasusa Ikulu

    Rais Samia akiwa kwenye mazungumzo na Uongozi wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Mashariki na Pwani ulioongozwa na Mkuu wa KKKT Askofu Dkt. Alex Gehaz Malasusa, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 11 Aprili, 2025. Rais Dkt. Samia pamoja na viongozi hao wamejadili...
  10. Rashda Zunde

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 INEC: Chama kisichosaini kanuni za maadili ya uchaguzi, hakitashiri Uchaguzi

    Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Ramadhan Kailima amesema kwa mujibu wa kanuni Chama kisichosaini kanuni za maadili hakitashiriki uchaguzi. “Chama cha siasa ambacho hakita saini kanuni za maadili ya uchaguzi kesho hakitapata fursa ya kushiriki uchaguzi mkuu…”...
  11. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi: Majimbo mapya ya Uchaguzi kutangazwa hivi karibuni

    Mwenyekiti wa Uchaguzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) Ramadhan Kailima amesema watatangaza majimbo mapya ya uchaguzi muda utakapofika.
  12. E

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kesi ya Lissu yaiweka Chadema njiapanda

    Hatua ya Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu kufunguliwa mashitaka ya uhaini na uasi inakiweka chama hicho njiapanda, hasa ikielezwa kuwa kiongozi huyo ameonyesha ujasiri mkubwa kuikabili Serikali katika kampeni yake ya No Reforms No Election (Hakuna Mabadiliko Hakuna Uchaguzi). Lissu...
  13. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kwanini Tume ya Uchaguzi (INEC) inatangaza mambo yanayogusa wananchi kwa Azam TV pekee wakati wana chaneli yao ya YouTube?

    Wakuu Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Ramadhani Kailima, alipaswa kutoa taarifa muhimu kwa umma kuhusu masuala ya uchaguzi kupitia vyombo vingi vya habari ili kuhakikisha taarifa hizo zinawafikia Watanzania wote kwa uwiano na uwazi. Kwa kuwa uchaguzi ni suala...
  14. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Umoja wa Demokrasia wa Afrika: Tunatoa wito Tundu Lissu aachiwe, Umoja wa Afrika na SADC ingilieni

    Umoja wa Demokrasia wa Afrika unatoa wito kwa kuachiliwa mara moja kwa Mhe. Tundu Lissu. Mashtaka ya uhaini kwa kusukuma mageuzi ya uchaguzi? Hili ni janga kwa demokrasia yetu. Tunazihimiza @_AfricanUnion, SADC na asasi za kiraia kuchukua hatua. ======= The Democracy Union of Africa calls for...
  15. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Dkt. Kimei atoa onyo kwa wanaojipitisha Vunjo kutangaza nia ya Ubunge Mapema adai watakumbana na Daftari la Hukumu

    Mbunge wa Jimbo la Vunjo kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Charles Kimei, ametoa onyo kali kwa wanachama wa chama hicho wanaoonesha nia ya kugombea ubunge katika uchaguzi ujao jimboni humo. Akizungumza Bungeni jijini Dodoma, Dkt. Kimei alisema kuwa wale wote wanaoanza kampeni za...
  16. L

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kwanini CHADEMA wasiende Mahakamani kupigania hayo mabadiliko wanayoyataka?

    Ndugu zangu Watanzania, CHADEMA wanashangaza sana, wanasikitisha sana, wanatia aibu sana, wanaleta maswali yasiyo na majibu na kuonyesha namna ambavyo bado ni chama kichanga na chenye Ombwe la uongozi na viongozi. Inaonyesha ni chama kilichokosa viongozi na uongozi wa kuonyesha njia na muelekeo...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Hakuna kiumbe yoyote duniani aliyewahi kupambana na Serikali na akashinda, kama unabisha mtafuteni Dkt. Kizza Besigye yuko wapi sasa hivi au Bob Wine

    Kama kuna mtu anadhani yupo kiumbe duniani anaweza kuisumbua serikali anajidanganya, makelele ya wanasheria kuwa haki itashinda cjui nn hayo ni maneno tu, kesi ya uhaini ni kesi ngumu sana kuliko tunavyodhania, baada ya mwezi tu mshtakiwa wenu atabadilika rangi na mtamuonea huruma wenyewe, jela...
  18. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Waitara: Vijana wanaotafuta ajira wajue ajira zinatengenezwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM)

    Mbunge wa Tarime Vijijini, Mwita Waitara amesema kwa vijana wanaotafuta ajira, ajira zinatengenezwa na Chama cha Mapinduzi.
  19. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Amani Gulogwa aitisha maombi nchi nzima kuanzia leo Aprili 11 hadi Aprili 24, asema lipo jambo kubwa linaenda kutokea

    Naibu Katibu mkuu CHADEMA akizungumza na waandishi wa habari amewataka Watanzania wote kuungana kila mtu kwa imani yake kuomba kwa ajili ya Taifa kuanzia leo Aprili 11, 2025 hadi Aprili 24 2025, ameeleza kuwa ana imani jambo kubwa linaenda kutokea siku hiyo.
  20. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Waitara: Yule bwana mdogo ni mbinafsi. Amshutumu Fatma Karume kwa "Utapeli wa Kisiasa" Kesi ya Nyamongo

    Mbunge wa Tarime Vijijini, Mwita Waitara, ambaye aliwahi kuwa mwanachama wa Chadema kabla ya kujiunga na CCM, ameibua tuhuma nzito dhidi ya wakili maarufu Fatma Karume, akimtuhumu kwa kushiriki kile alichokiita "utapeli wa kisiasa" unaohusiana na mzozo wa wachimbaji wa Nyamongo. Akizungumza...
Back
Top Bottom