Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,370
- 18,685
Mbunge wa zamani wa Ubungo (CHADEMA), Saed Kubenea amedai kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu alishiriki kumkataa Hayati Edward Lowassa asimamie Chama hicho.
Unajua maana ya uwajibikaji wa pamoja?Tundu Lissu mwenyewe amekiri kuwa alihusika kwenye ujio wa Lowassa. Kwa hiyo alikuwa anadanganya?
Amandla...
Tundu Lissu ameongea dhana ya collective responsibility (Uwajibikaji wa Pamoja). Hata kama alipinga kwenye vikao vya ndani, kwa kuwa maamuzi yalifanyika ya pamoja na yeye alikuwa sehemu ya vikao basi anawajibika kwa maamuzi yale.Tundu Lissu mwenyewe amekiri kuwa alihusika kwenye ujio wa Lowassa. Kwa hiyo alikuwa anadanganya?
Amandla...
So kama alishiriki kumkataa sisi tufanyeje. Acheni siasa za majitakaMbunge wa zamani wa Ubungo (CHADEMA), Saed Kubenea amedai kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu alishiriki kumkataa Hayati Edward Lowassa asimamie Chama hicho.
Hiyo dhana mbona haikumzuia kukana kuhusika na maridhiano?Unajua maana ya uwajibikaji wa pamoja?
Majitaka gani tena...So kama alishiriki kumkataa sisi tufanyeje. Acheni siasa za majitaka
Sio kweli. Mbona hakusita kumtwisha Mbowe mzigo wa maridhiano ingawa ulikuwa msimamo wa chama na yeye akiwemo?Tundu Lissu ameongea dhana ya collective responsibility (Uwajibikaji wa Pamoja). Hata kama alipinga kwenye vikao vya ndani, kwa kuwa maamuzi yalifanyika ya pamoja na yeye alikuwa sehemu ya vikao basi anawajibika kwa maamuzi yale.
Maridhiano yalivunjika na yeye ndiyo akaanza kuzungumzia msimamo wake ulikuwa upi.Hiyo dhana mbona haikumzuia kukana kuhusika na maridhiano?
Amandla...
KUBENEA HAKUWAHI KUWA MKWELI ASILANI. HATA HAZETI LAKE LILIKUWA LINAANDIKA UWONGO HADI LIKAITWA NA JK UANDISHI UCHWARATundu Lissu mwenyewe amekiri kuwa alihusika katika ujio wa Lowassa. Kwa hiyo alikuwa anadanganya?
Amandla...
Lisu ni adui wa mkubwa sana wa collective responsibilities gentleman,Tundu Lissu ameongea dhana ya collective responsibility (Uwajibikaji wa Pamoja). Hata kama alipinga kwenye vikao vya ndani, kwa kuwa maamuzi yalifanyika ya pamoja na yeye alikuwa sehemu ya vikao basi anawajibika kwa maamuzi yale.

Hakuna namna... Mkubali awashughulikie na kuwashughulisha ama mfanye chochote kati ya mawili aliyosema kuwa yupo tayari kwayo!Lisu ni adui wa mkubwa sana wa collective responsibilities,
Si nae angetoa duku duku zake ndani ya chama kama ambavyo mnataka wakina Mrema wafanye? Baada ya Jecha kufanya aliyofanya CUF walisusia uchaguzi. Matokeo yake ndio yanayowafanya ACT Wazalendo wakatae kabisa kusikia habari ya kususia uchaguzi. Na kukataa kushiriki ni kususia.Maridhiano yalivunjika na yeye ndiyo akaanza kuzungumzia msimamo wake ulikuwa upi.
Maridhiano au mazingaombwe? CUF walikubali maridhiano na Katiba ya nchi yao ikafanyiwa marekebisho uchwara lakini Jecha akaja kuwapora uchaguzi mchana kweupe!
Kwahiyo?Mbunge wa zamani wa Ubungo (CHADEMA), Saed Kubenea amedai kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu alishiriki kumkataa Hayati Edward Lowassa asimamie Chama hicho.
gentleman,Hakuna namna... Mkubali awashughulikie na kuwashughulisha ama mfanye chochote kati ya mawili aliyosema kuwa yupo tayari kwayo!
