kuelekea 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA kuendelea kukusanya saini milioni 15 kupinga wizi wa uchaguzi

    Wakuu, Fisiemu hatujaacha kukusanya saini banaa! G55 aibu yenu :BearLaugh: :BearLaugh:Watanzania tutafikisha saini milioni 30 afu tukae paleee tuwacheki chama cha mambuzi mnavyopaparuka Soma > Heche: Wagombea wa Ubunge CHADEMA kukusanya Saini milioni 15 kupinga Wizi wa Uchaguzi...
  2. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Shehe Ponda: Tumeshtushwa na serikali kumpa kesi ya uhaini Lissu. Ukamataji ufanywe baada ya upelelezi kukamilika

    Wakuu, Ni bandika bandua, huku Askofu Bagonza kule Sheikh Ponda, yaani kuna watu huko vichwa vinawaka moto :BearLaugh: :BearLaugh: :BearLaugh: ==== Sheikh Ponda ameandika haya kupitia ukurasa wake wa X; "VIONGOZI WA DINI tumestushwa na hatua ya serikali kumpa kesi ya uhaini kiongozi mkuu...
  3. gango2

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA bado wana nafasi kushiriki uchaguzi...!

    Ni mapema sana kusema CHADEMA hawatoshiriki uchaguzi mkuu wa 2025 kwa kutokushiriki utiaji saini wa kanuni za maadili ya uchaguzi wa 2025 uliofanyika leo tar 12 April. Tarehe hii haipo kisheria na hakuna mahala inasema utiaji sahihi ufanyike muda gani kabla ya mchakato wa uchaguzi. Ingawa nina...
  4. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Heche: Chochote kikimpata Lissu akiwa gerezani Rais Samia utaijibu Dunia, tunafika Bunge la Umoja wa Ulaya tuoneshe uhalisia wenu

    Wakuu, Mambo ni motooo! ==== Heche amaesema lolote likimpata lissu akiwa gerezani Samia si tu atawajibu Watanzania bali ataijibu Dunia. Heche amesema suala la Lissu linafika kimataifa, wakili wake wa kimataifa Robert Amsterdam amesema kuanzia jumatatu suala la Lissu litafita bunge la umoja...
  5. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Heche: Wanatutishia CHADEMA itakufa tusiposhiriki uchaguzi na ife kuliko kuwa chama tunachosimamia uongo

    Wakuu, Heche amesema hayupo tayari kusimamia uongo, kama wanasema chama kitakufa na kife lakini sio kuendeleze uongo wa CCM! Safari hii mama anaupiga mwingi mtanyooka! Wanatetemeka huko waliko, mwengo wa kutafuta kiki za kupuuzi kututoa kwenye reli, safari hii mtaisoma namba kama nyimbo yenu...
  6. R

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Swali kwa CHADEMA: Suppose kesho CCM for that matter serikali inaamua kuweka tume huru kama mnavyopendekeza, mtafayaje?

    1. Hamkusaini Maadili na hivyo hamna sifa ya kushiriki uchaguzi. 2. Suppose sasa CCM wanaamua kutimiza matakwa ya madai yenu ie wameweka mifumo huru ya uchaguzi kama mnavyoitaka ( na inabidi basically iwe kama mnavyotaka). 3. Mtafanyaje na mmeshajinyima sifa za kushiriki uchaguzi?
  7. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Una miaka 30 huna kazi ya kueleweka, huna familia , huna assets yeyote halafu unaenda kuipigia kura CCM

    Una miaka 30 huna kazi ya kueleweka, huna familia , huna assets yeyote halafu unaenda kuipigia kura CCM miaka 30 ni mingi mno kijana dai mabadiliko acha kujifariji
  8. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Askofu Bagonza: Tumvumilie aliyesema atakinukisha kama tulivyomvumilia aliyesingizia kuna Ebola na Mpox

    Wakuu, Kunazidi kuchangamka, kama waliweza kumvumilia mhaini halisi wanawezeje kuendelea kumshikilia mwingine huku Watanzania wakiona ni mchongo mchana kweupe kabisa? Katika waraka wake, Askofu Bagonza aligusia kuhusu kuvumiliwa kwa Makalla na maisha yakaendelea kutokana kauli yake ya...
  9. Inside10

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Askofu Bagonza: Tuache kuchezea neno “uhaini” Kupindua serikali ni uhaini lakini tuna wahaini wengiii wanaongoza serikali Afrika na wanalaani uhaini

    RESILIENCE ni USTAHIMILIVU Kwenye 4R za Rais wetu, “R” moja inahusu USTAHIMILIVU yaani kwa Kijaluo, RESILIENCE. Kwa sasa marubani wetu wa nchi, niwasihi zimeni “R” zote, bakizeni RESILIENCE (Ustahimilivu). Naelewa, msalani hatuendi na njaa bado inauma! Naelewa, ngedere wapo wanaocheka msitu...
  10. Abdul Said Naumanga

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 TLS yalipuka! Yalaani kukamatwa kwa Tundu Lissu, na kutoa mapendekezo

    Kwa mara ya kwanza katika historia ya hivi karibuni, Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) kimetoa tamko kali na lisilo na kificho dhidi ya vyombo vya dola kufuatia kukamatwa kwa Wakili na Mwanasiasa maarufu Tundu Antipas Lissu. Katika taarifa ya kushtua iliyotolewa leo, TLS imetaja hatua hiyo...
  11. I

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Nilisema CHADEMA ya Lissu itakufa rasmi kabla ya 2026 na CHADEMA ya mzee Mbowe itafufuka rasmi soon!

    No Reforms No Election ya Ndugu Tundu Antipas Lissu imejiziika RASMI leo kwani hata Serikali ya awamu ya Sita ikileta Reforms nzuri kabla ya Uchaguzi Mkuu wa Rais Wabunge na Madiwani 2025,ni RASMI kuwa Chadema hawawezi kushiriki Uchaguzi Mkuu wowote wa INEC mpaka mwaka 2030 Tume ya Huru ya...
  12. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM wameshindwa kuelewa mtego Sasa twende taratibu

    "The most potent weapon in the hands of the oppressor is the mind of the oppressed." — Steve Bi Msemo huu unasisitiza kuwa usababua wengi ziamke. Ninaumia sana
  13. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Heche: Msimamo wetu wa kulinda rasilimali mpaka mwisho uko pale pale, wakimfunga Lissu wengine tutasonga mbele

    Makamu Mwenyekitu CHDAEMA, John Heche akiwa anaongea na waandishi wa habari April 12, 2025 ikiwa ni baada ya kutangazwa rasmi kuwa CHADEMA kwa kutofika kusaidi kanuni za maadili ya uchaguzi wamejiondoa rasmi katika kushiriki uchaguzi mkuu 2025 ametoa msimao wa chama, ambapo amesema...
  14. Z

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Unawezaje kujiita chama kikuu cha upinzani wakati una mbunge mmoja na covid 19 uliyofukuza uanachama?

    Chadema mnachanganya mambo!! Kwa sasa chadema ni chama kidogo sana chenye mbunge Mmoja wa kuchaguliwa!!! Mmeharibu zaidi kwa kukataa kushiruki uchaguzi .Hili siyo sawa .kumbe hamna mipango mizuri kabisa!! Yani mnaamini kuwa mnaweza kishinda uchaguzi bila kuwa na wabunge wengi? Kwa nini...
  15. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA haitoweza kushiriki uchaguzi ndani ya miaka mitano ikiwemo wa mwaka huu

    Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Ramadhani Kailima amesema Chadema ambayo haikusaini kanuni za maadili ya uchaguzi, haitashiriki Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba mwaka huu na chaguzi zote ndogo zitakazofuata kwa muda wa miaka mitano. Kanuni hizo...
  16. H

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Viongozi wa kisiasa na dini za kuja hawatakuja kutukomboa, ni sisi wenyewe!

    Kosa kubwa kwa nchi za AFRIKA ni kudhani kwamba viongozi wa siasa na wa dini za kuja watawakomboa Dini ya Magharibi haikuwahi kusudiwa kuokoa Waafrika bali kuwafanya Waafrika watumwa . WAAFRIKA TUJIKOMBOE! Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa...
  17. Rashda Zunde

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Hatua ya BAWACHA Songwe kutaka kutembea uchi ni ishara ya kukosekana kwa Dira ndani ya CHADEMA

    Maamuzi ya baadhi ya wanawake wa CHADEMA kupitia BAWACHA mkoani Songwe kutishia au kutaka kutembea bila nguo kama njia ya kuonyesha hasira zao ni hatua mbaya na isiyofaa kwa chama cha siasa makini, na kwa Tanzania kwa ujumla. Hii ni aina ya hatua inayoashiria kukosa mwelekeo wa kisiasa na...
  18. L

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kauli kama hizi haziwezi kuwapumbaza wale waliokata tamaa na sera za CCM. Mageuzi ya kweli ndiyo suluhu, si maneno ya kugawa watu

    Mch. Msigwa anadai "Nilikuwa Kipofu Nikiwa Chadema, Sasa Naona," lakini kauli hii inaweza kuwa ni mbinu ya kisiasa tu ya kujiimarisha ndani ya CCM, chama ambacho wengi wamechoka nacho kwa miaka 60 ya kumudu madaraka bila mageuzi ya kweli. Watu waliostaajabu na utawala wa CCM, waliougua na...
  19. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Katibu Mkuu wa CCM, Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, akutana na Wabunge wa CCM Lindi na Mtwara

    Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, alivyokutana na Wabunge wa CCM kutoka mikoa ya Lindi na Mtwara, kujadili changamoto ya miundombinu Kusini.
  20. Dr Akili

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Songwe: Bawacha yatishia kutembea uchi kama sheria za uchaguzi haitabadilishwa

    Maandamano kama hayo ya wanawake wakiwa uchi wa mnyama yalishafanyika mara kadhaa kwenye nchi za ulaya ili kushinikiza kitu fulani. Midume ya ulaya kwa kuwa hayana nguvu timilifu za kiume huwa inapita tu ba kujali. Wanawake wa chama cha CHADEMA BAVICHA mkoa wa wa Songwe watishia kutembea uchi...
Back
Top Bottom