kuelekea 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Meseji ya Heche kwa wananchi kuwa "Wanataka Kumnyonga Lissu" Inasababisha wananchi wapay attention zaidi kwa ishu ya Lissu kufunguliwa kesi ya Uhaini

    Kwa kutumia uwezo wa uwasilishaji wa hali ya juu, Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa amejikuta akifanikiwa kuteka hisia za wananchi pale anapozungumzia kesi ya uhaini dhidi ya Lissu huku akitumia maneno "Wanataka kumnyonga Lissu, Wanataka kumuua Lissu". Maneno hayo yanasababisha wananchi...
  2. Hismastersvoice

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwenye ushahidi kuwa katiba inamzuia asiye saini fomu ya maadili kutoshiriki uchaguzi auweke hapa

    Hili la kusaini fomu ya maadili ya uchaguzi wengi wetu tumelisikia ghafla mwaka huu baada ya Lissu kukamatwa, lakini inawezekana pia kuwa katiba ya nchi inasema asiyesaini hiyo fomu hata ruhusiwa kushiriki uchaguzi yeye pamoja na wananchi ambao ni wafuasi wa chama husika! Ombi langu ni kujua...
  3. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Muhtasari wa Hoja: Madhara ya kutosaini kanuni za maadili ya uchaguzi

    1. Maadili ya Uchaguzi ni Suala la Kisheria Yameainishwa katika Kifungu cha 162 cha Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani, 2024. Tume ya Uchaguzi hutunga kanuni hizo kwa mashauriano na vyama vya siasa na Serikali, kisha huzichapisha kwenye Gazeti la Serikali. 2. Nani hupaswa...
  4. Expensive life

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Je! Tundu Lissu ni nani hasa? BBC wamchambua

    Wakuu huu ndio wasifu wa Tundu Lissu kwa mujibu wa bbc swahili.
  5. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Moshi: Mwanaume adaiwa kutaka kutekwa, vijana wasimama kidete kuzuia

    Wakuu, Inasemekana hapo ni Moshi majira ya saa 19:35 maeneo ya Mbuyuni sokoni ambapo watekaji walikuja na Noah nyeusi wakamkamata kijana mmoja wakataka kuondoka naye ila wananchi waliwagomea! Wakatoa pingu huku wamevaa kiraia hapo ndio raia raia wakazua balaa kabisa. Maswali ni yale yale...
  6. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Makalla: Kila Mtanzania ana haki ya kupiga kura, hivyo wanachama wa CHADEMA tumieni haki hiyo

    Baada ya CHADEMA kutangaza kutoshiriki Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025 na chaguzi ndogo zote kwa kipindi cha miaka mitano kutokana na kutosaini kanuni za Maadili ya Uchaguzi, Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa, CPA Amos Makalla amesema kila Mtanzania ana haki ya kupiga kura, hivyo...
  7. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 VIDEO: CHADEMA Kyela wamlilia Tundu Lissu wakati Heche akihutubia kwenye mkutano wa hadhara

    Vilio vimetawala kwenye mkutano wa CHADEMA Kyela Mjini kukamatwa kwa Tundu Lissu kwageuka Simanzi kwa wanachama.
  8. K

    JamiiForums Tanzania Wengi walikuwa wanaipenda CCM kwa kuhongwa au kuhaidiwa vyeo,sasa huu uchaguzi ukweli unaenda kujulikana

    Yaani huu ndiyo ukweli mchungu, tunaenda kuona mmoja baada mwingine akijiondoa kimyakimya sababu hamna maslai tena, watabaki tu wafia chama,hamna kura feki,hamna mtu kukatwa sijui kakosea kujaza fomu,hamna mtu kuhongwa,hamna mtu kulalamika kaibiwa kura, Wasanii na machawa imekula kwao hakuna...
  9. sanalii

    JamiiForums Tanzania CCM sio wa kuwasusia, ni wakula nao sahani moja , maana hawana haya wala hawajui vibaya

    Ogopa ku deal na watu wasio na aibu, hawa watu hawana ustaarabu na hawawezi kujisikia mshipa wa aibu. Kama kulikua na madudu ya kupita bila kupingwa, kura ziliokotwa kama karanga kule kawe, wataona aibu mkisusa? Hapa wahuni wengi wanafurahia mana hawana upinzani na watapita bila kupingwa ...
  10. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 ACT Wazalendo: Tutafanya uasi kuhakikisha Demokrasia ya kweli inapatikana

    Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo, Ndugu Dorothy Semu, amesema kuwa Serikali chini ya Rais Samia Suluhu Hassan, haina nina ya dhati ya kutimiza ahadi za maridhiano, kwa kuwa vyombo vya dola bado vinatumia mabavu kukandamiza hoja za msingi za vyama vya Upinzani, Kukamata wanasiasa wa Upinzani...
  11. Alloyce PR

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mikakati ya Ushindi kwa Vyama vya Siasa katika Uchaguzi Mkuu wa 2025 Tanzania

    Na. Alloyce, P.R. Utangulizi Uchaguzi Mkuu wa 2025 unatarajiwa kuwa mojawapo ya matukio muhimu katika historia ya siasa za Taifa letu (Tanzania). Katika mazingira ya kisiasa yanayobadilika kwa kasi, vyama vya siasa vinakabiliwa na changamoto ya kujenga imani kwa wananchi, kuongeza ushawishi na...
  12. Yoda

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Hivi ndivyo CHADEMA itakavyorudishwa kushiriki uchaguzi

    Ataibuka mtu kutoka chama kimojawapo kati ya vyama shikizi 19 au kutoka G55 au kutoka COVID-19 au CCM yenyewe au hata kutoka "wanaharakati" ataenda mahakamani kudai CHADEMA kuzuiliwa kushiriki uchaguzi mkuu kwa sababu ya kutojaza inayoitwa fomu ya maadili ni uvinjifu wa haki ya kikatiba kisha...
  13. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Ni Maajabu: Mwamko wa Kutisha waonekana kwa Watanzania kuwaunga mkono CHADEMA

    Kuna vitu watu wanaweza kukufanyia wakadhani wamekumaliza kumbe ndo wamekunyanyua mara 1000 zaidi. Pamoja na hila na madhila yote ambayo CCM wamewafanyia na wanawafanyia CHADEMA, ukweli ni kwamba kila siku Watanzania wameonesha kuzidi kukiunga mkono Chadema na ajenda zao kwa kasi ya kutisha...
  14. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Dorothy Semu: Kuwazuia kushiriki uchaguzi ni kuwanyima haki ya kisiasa

    Kiongozi wa ACT Wazalendo Dorothy Semu akieleza mkakati wa chama hicho kufungua kesi za kupinga kanuni za uchaguzi zinazoongoza uchaguzi mkuu wa mwaka 2025 zilizosainiwa leo, Jumamosi Aprili 12.2025 jijini Dodoma akidai kuwa ni kandamizi Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea...
  15. K

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tatizo kubwa ni Watanzania kutoshiriki sio Chadema - Chadema ni watu sio jina

    Watu wengi wanajisahau na kujitoa fikra. Chadema kutokushiriki maana yake ni kwamba kuna Watanzania wengi hawatoshiriki uchaguzi hasa wakijua matokeo kama 2019, 2020, na 2024 yamesha pangwa. Kwa mtu yeyote anayependa nchi hutakiwi kufurahia watu 30%~50% wa wapiga kura wako wawe hawaamini...
  16. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ni wazi CHADEMA wanamkumbuka Freeman Mbowe kama shujaa wa mikakati ya kujikwamua kwenye mikwamo ya kisiasa na kujutia uongozi mpya kwa kukosa maono

    Eti heche nae ni kiongozi wa kitaifa. Hivi maelekezo yake yanaskizwa na yanafuatwa kweli ndani ya chadema? Kukosea kuchagua viongozi kuna gharama kubwa sana ndugu wadau wa JF. Eti heche nae ana bweka bweka kabisa na haijulikani ana mbwekea nani. Kigezo cha viongozi kupimwa afya ya akili kabla...
  17. Mto wa mbu

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Je, CCM itabidi ijiibie yenyewe baadhi ya majimbo na kuwapa wapinzani?

    Sioni wagombea wa TADEA, CUF, NLD, SAU, ACT n.k wakishinda viti vya ubunge. Na sioni mgombea wa CCM ashinde Jimbo afu ushindi wake utolewe kafara na kupewa wapinzani ili kuzuga kuwa Kuna free and fair election. Je, itabidi mwaka huu CCM ijiibie kura yenyewe Ili iwape wapinzani baadhi ya...
  18. mshale21

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ushauri: Siasa za kistaarabu zimeshindikana Tanzania, turudi kwenye mfumo wa chama kimoji

    Wasalaam Tukirejea katika hotuba ya Mwl Nyerere , wakati akizungumzia mapendekezo ya uwepo wa mfumo wa vyama vingi, anaelezea kwa kina dhamira ilikuwa ni kuwapa tahadhari CCM wasijikute wanaangia katika usingizi , na yeye mwenyewe anakiri kuwa kwa wakati huo aliona kuna namna viongozi walilala...
  19. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Heche: Kuna watu wanatumiwa na mifumo ya dola kuleta chuki, tuwe na nidhamu tulenge katika kutibu chama chetu

    Wakuu, Siglada kama Siglada, ila SISIEMU :KEKLaugh: :BearLaugh: :BearLaugh: haya sasa vikao vyote vitakuwa vinarekodiwa, mkileta maigizo watu wanawatolea kanda muwaoneshe steling alisimama wapi. ==== Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Chadema Mhe. John Heche...
  20. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mkurugenzi wa Uchaguzi INEC: CHADEMA hawakuwalisha maoni, hatuna taarifa rasmi ya kususia kwao

    Wakuu, Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imesema haijapokea taarifa rasmi kutoka Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kuhusu kusudio la kutohudhuria hafla ya utiaji saini wa Kanuni za Maadili ya Uchaguzi, wala maoni yoyote ya maandishi kuhusu mapendekezo ya marekebisho ya kanuni...
Back
Top Bottom