Barabara ya Mlimba–Ifakara imekuwa kero ya muda mrefu kwa wananchi, ambapo inadaiwa imekuwa kama sehemu ya kupatia Kura kila ifikapo Uchaguzi. Kwa mujibu wa mtumiaji huyu wa X
"Barabara Mlimba Ifakara, ikifika kipindi cha kampeni CCM imezoea kwenda kuchukulia point kwamba wakichaguliwa...
"Ukiwa hutaki kufuata Maadili wewe unataka kuchagua nchi, sisi CHAUMA tunasema jambo vla kwanza baada ya ubwabwa ni amani na huu ubwabwa kama hakuna amani hauliki"
Katibu Mkuu Chama Cha Cha Ukombozi wa Umma (CHAUMA) Massod Rashid ameyazungumza hayo jijini Dodoma wakati wa kikao cha kusaini...
Miaka ya 1950+ hivi chama cha ANC kule Afrika Kusini chini ya Mandela kilianza kuonesha makali kwa serikali ya makaburu. Harakati za ANC za kudai uhuru wa watu weusi zilipamba moto mno kiasi cha makaburu kukosa usingizi. Makaburu wakawaza ni namna gani wafanye kudhibiti harakati za chama hicho...
Wakuu mbunge wa viti maalum eti naye anamwambia Lissu kwamba ameishiwa sera, mtu ambaye yupo bungeni ni kama kwa hisani tu.
Kwanza ule utaratibu wa kuwawekea ukomo hawa viti maalum ungeanza kutekelezwa mwaka huu. Wanajisahau sana, kazi kusifia tu
===
Mbunge wa viti maalumu mkoa wa Dodoma Mhe...
Ndugu zangu Watanzania,
Tunaweza kuwa tunailaumu CHADEMA kwa mpasuko, Mgawanyiko,mtanziko, mvurugano na mivutano bila kujua kiini chake na kwanini chama kinapitia Mkwamo na hali hiyo .
Ikumbukwe kuwa Ushindi wa Jeshi lolote lile katika uwanja wa vita unaanzia katika Umoja na Nidhamu ya hali...
Kiongozi wa ACT Wazalendo, Dorothy Semu akieleza namna chama hicho kinavyosimama pamoja na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa, Tundu Lissu anayekabiliwa na mashtaka mawili (2) yenye makosa manne (4) ikiwemo kosa la uhaini lisilokuwa na dhamana.
Wakuu
Katibu Mkuu wa Chama cha United Democratic Party (UDP), Saumu Rashid, kajitambulisha kwa Salamu ya Rais Samia kwa kusema "Jamhuri ya Muungano wa Tanzania..." wakati wa hafla ya kusaini kanuni za maadili ya uchaguzi mjini Dodoma hapo jana Aprili 12.
Mkiitwa CCM B msikasirike! Salamu ya...
https://youtu.be/ndX_mdsDQgE?si=LMefkXNTILIuR2qg
➡️ Mwachieni Tundu Lissu maana hamtapata uhaini wowote katika maneno ya Tundu Lissu...!
➡️Tundu Lissu ni mwanasiasa, mpinzani wa serikali na lugha anayotumia kuikosoa serikali ndiyo lugha yake toka awamu ya 3 ya Mkapa, ya 4 Kikwete na ya 5 ya...
Vyama vya upinzani kutokuwepo kwenye uchaguzi kuna athari nyingi, ambazo zinaweza kuwa na matokeo makubwa kwa mfumo wa kisiasa na jamii kwa ujumla.
1. Kuimarisha Tawala za Kidemokrasia
- Udikteta: Kukosekana kwa upinzani kunaweza kupelekea kuimarika kwa utawala wa kidikteta, ambapo chama...
Kamanda lissu anawapambania watanzania kuondosha utawala mbovu na genge lao lakini naona anajisumbua tu kwa sababu hiyo vita ili aweze kushinda anahitaji watu ,hawezi kushinda peke yake.
Kwa bahati mbaya sana watanzania ni watu waoga na wasio aminika kabisa, ni wazuri sana wa kusifia na kuongea...
Rais wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika TLS, Wakili Boniface Mwabukusi ameeleza kusikitishwa na tafsiri ya sheria inayochukuliwa na Tume huru ya Taifa ya uchaguzi, akisema hakuna sheria inayozuia Chama cha siasa kushiriki uchaguzi kwa kutosaini Kanuni za maadili ya uchaguzi.
Kupitia ukurasa...
Viongozi wa dini mbalimbali nchini wanatarajiwa kufanya Tamasha kubwa la Maombi ya kuombea uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika mwishoni mwa mwaka huu.
Akizungumza na vyombo vya habari Mkurugenzi wa Msama Promotions, Alex Msama ambao ndio waandaaji wa tamasha hilo amesema tamasha litafanyika...
Kwanza siamini kama Lissu analala mahabusu.
Na Nina uhakika Lissu hawezi kufungwa.
Ndio maana mashitaka yake yamekaa kimagumashi ili ashinde kesi kirahisi.
Kwa kazi kubwa ambayo Lissu ameifanya kwa kuisaidia CCM kushinda uchaguzi wa mwaka huu kirahisi, serikali haiwezi kumfunga wala kumfanyia...
Kwa sheria za Tanzania Mtu binafsi ndiye anagombea uongozi iwe urais, ubunge, udiwani nk na chama cha siasa kinamdhamini tu
Tume ya uchaguzi inashughulika na Wagombea wenye sifa za kugombea na moja ya sifa ni kuwa mwanachama wa chama cha kisiasa ndio sababu Halima Mdee na wenzake ni wabunge...
Mwenyekiti wa Chama cha ACT Wazalendo Wazalendo, ambaye pia ni Makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Othman Masoud Othman amechukua fomu ya kuwania nafasi ya Urais wa Zanzibar.
Othman amechukua fomu hiyo leo Aprili 13,2025 majira ya saa 4.00 asubuhi ikiwa ni mwanachama wa kwanza kwa nafasi...
Ukweli ni kwamba tunahitaji mabadiliko ya kanuni na sheria za uchaguzi. Hatuwezi kuwa conservative. Kwanini hawa jamaa hawataki mabadiliko?
Hivi kweli unaweza ukawa na mfumo kama huu ukasema una uchaguzi huru na haki?
Chadema mlichelewa sana kuamua jambo hili. Lakini siyo mbaya kwasasa...
Kipindi Cha uchaguzi, Kila msanii anaingiaga studio na kurekodi nyimbo za kuwasifu CCM, na kuwakashifu wapinzani (Chadema) CCM utumia pesa nyingi kuwalipa wasanii Ili kampeini zinoge.
Mwaka huu itabidi wasanii watunge nyimbo za kuwachamba kina Dovutwa, Selasini na Rungwe.
Je CCM itatumia...
Twende pamoja:
Hoja hii kwamba “Hata kama CHADEMA ( Na vyama vingine) watashiriki au wangeshiriki, wanakuwa kama hawajashiriki tu.” ina mizizi katika hali halisi ya kisiasa na kisheria nchini Tanzania, hususan katika masuala ya uchaguzi, uhuru wa vyama vya siasa, na uwazi wa mchakato wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.