kudumu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Shetani kaweka makazi yake ya kudumu kwenye kubeti

    Liverpool, Real Madrid na Arsenal ni timu za mpira za hovyo sana kuwahi kutokea. Ila Mungu nimwema angalau leo nimeamka na nguvu na kuwaza mambo mengine nakusahau yalioyonitokea jumamosi. Mkeka ulikuwa uchanike lakini hizi timu bure kabisa. Mnaosoma huu uzi nataka tu niweke wazi shetani...
  2. O

    JamiiForums Tanzania KERO Shirika la Umeme Tanesco sisi wafanyakazi wa S.T.E boresheni mikataba yetu au tupeni mikataba ya kudumu

    Habari sisi ni wafanyakazi wa shirika la umeme tanesco wa mikataba ya S.T.E kwenye shirika la tanesco kuna mikataba ya aina tatu 1. Mkataba wa kudumu company namba 2. Mkataba temporary mwaka ni mmoja 3. Mkataba wa kazi maalumu maalumu. S.T.E mwezi mmoja. Sisi S.T.E Tunafanya kazi kwa kubwa...
  3. A

    JamiiForums Tanzania KERO Responded TANESCO, sisi Wafanyakazi wa S.T.E Boresheni Mikataba yetu au tupeni Mikataba ya Kudumu

    SHIRIKA LA UMEME TANESCO SISI WAFANYAKAZI WA S.T.E BORESHENI MIKATABA YETU AU TUPENI MIKATABA YA KUDUMU. Habari sisi ni wafanyakazi wa shirika la umeme tanesco wa mikataba ya S.T.E kwenye shirika la tanesco kuna mikataba ya aina tatu:- 1. mkataba wa kudumu company namba 2. Mkataba temporary...
  4. JamiiForums Tanzania Unahisi Hii Hali ya Bei za Mafuta Kupanda Inaweza Kudumu Mpaka Lini? Na nini Kifanyike Ili Kujinasua na Kupanda Kwa Bei Za Mafuta?

    Unahisi Hii Hali ya Bei za Mafuta Kupanda Inaweza Kudumu Mpaka Lini? Na nini Kifanyike Ili Kujinasua na Kupanda Kwa Bei Za Mafuta? Kupanda kwa bei za mafuta kunaathiri maisha ya kila siku na uchumi kwa ujumla. Ili kujinasua na hali hii, yafuatayo yanaweza kufanyika: 1. Kujenga viwanda vya...
  5. JamiiForums Tanzania Kamati ya Kudumu ya Bunge ya TAMISEMI yakagua na kusema imeridhishwa na miradi ya TACTIC jijini Arusha

    Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya TAMISEMI, Florent Kyombo ameipongeza Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mkoa na Serikali za Mitaa (OWM- TAMISEMI), kwa usimamizi mzuri wa utekelezaji wa miradi ya TACTIC katika Jiji la Arusha, miradi ambayo imeweka kiwango bora cha utekelezaji wa miradi ya...
  6. H

    JamiiForums Tanzania Mbunge Ghati Chomete Aendelea Kushiriki Shughuli za Kamati ya Kudumu ya Bunge

    Mbunge Ghati Chomete Aendelea Kushiriki Shughuli za Kamati ya Kudumu ya Bunge Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mara, Mhe. Ghati Zephania Chomete ameendelea kushiriki katika shughuli za Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara, Kilimo na Mifugo, ambayo tarehe 14 Machi ilifanya ziara ya kikazi...
  7. JamiiForums Tanzania Wadau , Ni hatua Gani inaweza kuwa suluhisho la kudumu la Ajali barabarani?

    Kila mahali tumezungukwa na hatari za kila aina . Lakini hii Changamoto ya ajali za barabarani limekuwa ni donda sugu.. barabara zetu hizi ni kama zile za kwenye filamu ya kutisha ya Final destination.Watu wanapoteza wapendwa wao kila uchao. Na kinachonisikitisha ni kwamba hapahapa duniani...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Wenyeviti wa Kamati za Kudumu za Bunge hawakupigiwa kura

    Wenyeviti wengi wa Kamati hizo walitakiwa kupigiwe kura kama ilivyo kawaida lakini kilichofanyika majina yalikuja from no where watu wakasomewa majina ya Wenyeviti, ikawa imeisha hiyo. Wabunge walibaki na maswali yasiyo na majibu. Kisha huku nje ikaja kutangazwa kuwa wamepigiwa kura wameshinda...
  9. T

    JamiiForums Tanzania KERO MWAUWASA imewaangusha wakazi wa Mwanza tatizo la maji limegeuka fedheha ya kudumu

    Kile kinachoendelea Mwanza si hitilafu ya kawaida, bali ni aibu ya wazi, uzembe wa makusudi na kutowajibika kwa kiwango cha juu kabisa kutoka MWAUWASA. Mwezi mzima uliopita Nyegezi haikuwa na tone la maji. Hakuna taarifa, hakuna maelezo, hakuna uwajibikaji—mpaka wananchi walipopiga kelele ndipo...
  10. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Inawezekanaje kuwa na amani ya kudumu bila haki za msingi na uhuru wa raia?

    Wale wanaosema( hasa masheikh wengi na serikali) kwamba tunaweza kuwa na amani bila haki ni vyema watueleze ni jinsi gani jambo hili linawezekana hapa Tanzania ili tuwaelewe vizuri na sisi tuweze kuishi kwa amani ya kudumu bila haki katika taifa letu. Watupe na mifano ya mataifa yenye mfanano...
  11. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Dkt. Nchimbi: Amani ya kudumu haiwezi kupatikana bila maendeleo jumuishi na endelevu

    Wito wa amani, usalama na maendeleo kama ilivyosadifu kaulimbiu ya Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Ukanda wa Maziwa Makuu (ICGLR), ulitawala kwenye hotuba za viongozi ikiwemo ya Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Emmanuel John Nchimbi, aliyoisoma...
  12. JamiiForums Tanzania Mavunde: Tusiichezee amani, ni jambo la kudumu

    Makamu Mwenyekiti wa Taasisi ya Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere, Peter Mavunde ametoa wito kwa watanzania wote kuitunza amani iliyopo, na kutotumia sababu za muda mfupi kuvuruga amani ambayo ni jambo la kudumu. "Tukumbuka maneno ya Baba wa Taifa aliyowahi kusema, tusitumie sababu za muda mfupi...
  13. JamiiForums Tanzania Nilishawahi kuandika hapa kumhusu Gerson Msigwa kuwa ni Mtu mwenye Umasikini wa Akili wa Kudumu sikueleweka, ila sasa naamini mmeshanielewa

    Niseme tu kuwa Gerson Msigwa anahitaji miaka zaidi ya 200 kuwa na IQ kubwa aliyonayo JamiiForums Founder Maxence Melo
  14. J

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kwenye siasa hakuna uadui au urafiki wa kudumu. Lakini kwa Luhaga Mpina hapana.Hajatumwa na CCm

    Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Kisesa CCM kwa zaidi ya miaka 20, Luhaga Mpina sasa kaondoka kwenye Chama hicho na kujinga na ACT Wazalendo, huko amefika tu na kupewa nafasi ya kugombea Urais katika Uchaguzi Mkuu ujao Kwa kipindi chote akiwa CCM, Mpina alikuwa mpinzani wa ubadhirifu wa mali ya...
  15. JamiiForums Tanzania Angalia video Hii kisha utoe hukumu kwa haki.

    Binafisi mimi nimetokea kwenye familia ya wafugaji wa mifugo karibia yote yaani mbuzi,kondoo na hata ng'ombe . kipindi tukiwa tunachunga ilikuwa ni fahari sana kulisha mazao ya wakulima tena ikitokea mkalisha na msionwe au kukutwa mtajipongeza kweli. Ukweli usiosemwa ukisikia vita ya wakulima...
  16. JamiiForums Tanzania GE2025 Ikitokea Mbowe ameahamia CHAUMMA, nini hatma ya ile nafasi yake ya mjumbe wa kudumu?

    Lisemwalo lipo na kama halipo laja , huu ni msemo tuliyousikia tangu enzi na enzi. Kutokana na yanayoendelea mitaani na mitandaoni inaonyesha kuwa nyuma ya CHAUMMA kuna Mbowe , anyway zinaweza kuwa ni hisia tu na pengine ikawa ni kweli . Watu wengi hawaonyeshi kustushwa hata ikitokea MBOWE...
  17. N

    JamiiForums Tanzania Mliooa na kudumu kwenye ndoa nawapa bg up

    Habari zenu wakuu Aisee kama ndoa ziko hivi ni noma sana, Nilikua na demu wangu tumedumu kwa muda kidogo kwenye mahusiano. sasa niliamua kumvuta sogea tuishi baada ya makubaliano ya mimi na yeye nikaona sio mbaya hata umri unaruhusu, kabla hajafika niliamua kupanga bajeti nika nunua mahitaji...
  18. JamiiForums Tanzania Kati ya mtaji million 20 au ajira ya kudumu mshahara 700k, utachagua kipi?

    Wakuu, Tujuzane hapa kipi ni muhimu zaidi kwako kati ya mtaji au mshahara wa kila mwisho wa mwezi. Kumbuka ukipata mtaji unaanzisha biashara au ofisi utakayoendesha wewe mwenyewe lakini mshahara ni kila mwisho wa mwezi na unamfanyia mtu mwingine kazi Utachagua kipi mdau?
  19. JamiiForums Tanzania Dkt Batilda: Bomba la mafuta la shilingi trilioni 12.5 la Uganda Tanga limelipa fidia ya TZS9.4 watu 800 wanaajira za kudumu Tanga mambo ni safi

    Akiongea mbele ya wanahabari mkuu wa mkoa wa Tanga amesea, Mradi wa Ujenzi wa Bomba la Mafuta Ghafi Afrika Mashariki (East African Crude Oil Pipeline – EACOP) kutoka Hoima, Uganda hadi Bandari ya Chongoleani, Tanga, ni moja ya miradi mikubwa ya kimkakati inayotekelezwa kwa ushirikiano wa...
  20. JamiiForums Tanzania UJASIRI WA KUFIKIRI UPYA: SULUHISHO LA KUDUMU KWA TATIZO LA AJIRA TANZANIA

    Mimi ni msomi mwenye PhD ya Saikolojia kutoka Makerere University, Uganda na pia nina msingi wa uchumi nilioupata katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam. Licha ya maarifa haya, sijawahi kuajiriwa na serikali, na si kwa sababu sina uwezo, bali kwa sababu serikali nyingi hazipendi kutumia watu wenye...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…