Shirikisho la Watumiji Huduma la Kenya (COFEK) limetangaza kuchukua uamuzi baada ya kupokea malalamiko ya mashabiki walioonesha kutoridhishwa na kiwango cha tamasha hilo linalotajwa kukumbwa na hali ya mvua pamoja na sauti mbovu ya muziki.
Baadhi ya Mashabiki wametaka kuombwa radhi na waandaaji...
Tangu Urusi aivamie Ukraine Feb 2022 ni miezi 15 sasa, kuna mengi tumeona na kusikia kwa kila upande katika uwanja wa vita.
Kuna maeneo matano (5) ambayo Urusi na Ukraine wameyafanya kuwa ni ngome za mapigano. Miji hii ni Bakhmut, Soledar, Avdiivka, Kreminna na Vuhledar.
Katika miji hii...
Wananchi wa Kunduchi Mbuyuni wanatakiwa kuondoka kupisha mradi wa Serikali wa mwendokasi (DART -PHASE 4).
Mradi huu umezua sitofahamu kati ya wananchi na waliteuliwa ku simamia mradi husika. Mradi ulitakiwa kuanza 2020 na eneo husika lilishatengwa (kiambatanisho namba 1). Tatizo linakuja ni...
Picha: Julian Nagelsmann
Bayern Munich ambayo imetwaa ubingwa wa Bundesliga mara 10 mfululizo, imekuwa haioneshi ubora uwanjani, ikiwa inashika nafasi ya pili katika ligi hiyo, nyuma ya Borussia Dortmund.
Inadaiwa kuwa tayari mabosi wa Bayern wameshafikia maamuzi ya mwisho ya kumuondoa Julian...
Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi Nyumba na Makazi ametakiwa kuhakikisha anachukua hatua ya kinidhamu mara moja kwa Makamishina wasaidizi wa ardhi Mikoa ambao wanafanya kazi kwa mazoea na wameshindwa kukidhi matarajio ya Wizara.
Maagizo hayo yametolewa na Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya...
Ni Mwigulu alipotumbuliwa uwaziri wa mambo ya ndani. Namnukuu hayati JPM.
"nimechoka kutoa salamu za rambirambi kwa sababu ya ajali kila siku, nimechoka, it's too much (kwa uchungu with a very serious tone). Mbaya zaidi ninayetoa ni mimi tu huku waziri akiwa anazurula bila kuchukua hatua...
Nawahimiza yanga waungane na watanzania wote kushangilia kiatu cha dhahabu kuchukuliwa na mzawa/mtanzania. Wakiati umefika kwa wazawa kupata pia mishahara minono kama ya wachezaji wa nje na kuzidi ikiwezekana!!
Nalaani kitendo kilichofanywa na askari wa Jeshi la Polisi kumwita mtuhumiwa ofisini kwao nakumkalisha chini Kisha kumpiga picha nakuzisambaza. Hii siyo sahihi kabisa, sidhani kama watoto wao wanapotuhumiwa au watoto wa viongozi wanapokengeuka tunawafanyia hivi.
Lakini jambo la pili huyu mtoto...
Jisomeeni wenyewe
===
Faced with the need to expand the transport sector in tandem with regional infrastructural development, Uganda launched an aggressive and ambitious 20-year civil aviation masterplan which included the upgrade of its only international airport in Entebbe along the shores...
Kwanni serikali imeamua kubeba mzigo wa kuwatafutia maeneo wamachinga? Hawa wanaojiita wamachinga ni wahalifu maana wamekiuka Sheria na taratibu mbalimbali za nchi kwa kuamua kujenga mabanda barabarani ama kupanga bidhaa mbele ya maduka ya wafanyabiashara.
Nilitegemea watu hawa, mmoja mmoja...
Kuna paka na mbwa hapa nyumbani kwangu, Sina tatizo na gharama za mbwa kwa sababu ana msaada kiasi kwenye swala la ulinzi.
Kwa huyu paka huwa inanifikirisha sana maana hatuna tatizo la panya ila watoto wangu kwa kuwa wanapenda paka nikaamua niwarusu wamfuge.
Kimbembe kipo huku mama yao (mke...
Pamoja na sababu nyingine zozote, nahisi baadhi ya wabunge na Wana-CCM wengine ndani ya CCM, wanataka kuona kama kweli Gwajima ubunge kwake sio issue. Hivyo, Gwajima asisubiri wanuwahii kwa maana ya kumtimua ubunge kwani wanaweza kuanza kumsuta kwanini hakujiuzul licha ya tuhuma zote huku akiwa...
Kuna mazoea ya kupiga muziki mzito katikati ya makazi ya watu.
Hapa kuna club moja karibu na Top in One Lodge, stand ya zamani Babati wanapiga muziki hadi usiku wa manane bila kujali ni siku za kazi au lah!
Je, mamlaka zimewapa kibali kusumbua wananchi zaidi ya saa sita usiku?
Muziki...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.