Tetesi: Bayern Munich kumfuta kazi Kocha Julian Nagelsmann, nafasi yake kuchukuliwa na Thomas Tuchel

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Feb 7, 2022
2,308
5,456
1679644669293.png

Picha: Julian Nagelsmann

Bayern Munich ambayo imetwaa ubingwa wa Bundesliga mara 10 mfululizo, imekuwa haioneshi ubora uwanjani, ikiwa inashika nafasi ya pili katika ligi hiyo, nyuma ya Borussia Dortmund.

Inadaiwa kuwa tayari mabosi wa Bayern wameshafikia maamuzi ya mwisho ya kumuondoa Julian (35) na wanaweza kutoa tangazo hilo muda wowote japo hakuna mazungumzo yaliyofanyika kati ya Klabu na kocha.

Nagelsmann ameshinda mechi 60 kati ya 84 sawa na 71.4% tangu aanze kuinia timu hiyo Julai 2021.

1679644819569.png

Picha: Thomas Tuchel

===

Bayern Munich chiefs 'have agreed to SACK Julian Nagelsmann' despite not contacting the 35-year-old yet... as Thomas Tuchel 'AGREES to replace him' as the former Chelsea boss looks set to make his return to management

Bayern Munich are ready to sack manager Julian Nagelsmann, with Thomas Tuchel agreeing to replace him at the Allianz Arena, according to reports in Germany.

The German giants, who have won the last 10 Bundesliga titles in a row, currently lie second in the league table, behind rivals Borussia Dortmund.

And with Bayern faltering in the league, club chiefs have agreed to sack the 35-year-old with an announcement expected on Friday, according to football journalist Fabrizio Romano.

Romano claims that with Nagelsmann 'has not received any direct communication from Bayern', while adding that there is a 'full agreement in place' for Tuchel to take over, who has accepted the job.

Nagelsmann, has won 60 of his 84 games in charge (71.4 per cent) since taking over in July 2021 but only has one Bundesliga trophy and two German Super Cups to his name across his tenure.

When asked if he has heard about rumours of his dismissal, Nagelsmann simply said: 'Yes', and when asked if the club has been in contact yet, he responded: 'No, not yet'.

Romano added that contracts between Tuchel and Bayern 'have been agreed' and that 'documents are being prepared tonight'.

Tuchel, 49, has been out of work since being sacked by Chelsea in September under the new ownership of Todd Boehly.

He has managed European giants like Dortmund and PSG and would bring an intimate knowledge of the German top-flight.

If Nagelsmann is sacked and under-pressure Tottenham manager Antonio Conte is also fired by the north London club, Nagelsmann could be a contender to take over at Spurs.

After defeat at Bayer Leverkusen, Nagelsmann ripped into his players for having 'zero per cent work rate'.
 
Wazee wa mikeka wanaitegema sana Bayern ila ilikuwa sometimes inawaumiza, hata hivyo timu yangu hii ilikuwa inanipa ukakasi kabisa, timu haichezi vile tulivyoizoea kucheza.

Bavarians ninao wajua Mimi wa pira kokoto sagasaga tulikuwa tunacheza Nini sijui, hii yote ni hasira ya kupishanapishana na Dortmund kwenye table, mechi ijayo tuko na Dortmund, tukafungwa je! ina maana watazidi kutuacha wakati sisi bundesliga tunaongozaga mwanzo mwisho.
 
Dah jamaa ni watu wa ovyo sana, unatimua kocha ambae ameifanya timu kuwa favorite wa Champion mpka hatua hii iliyofikia? Ulaya kuna vituko sana kwa kweli.
Lile Famba tulilonalo pale Stamford Bridge Harry Potter "Chuck Norris" hulioni linavyozidi tu kutamba ilihali Mashabiki wa Chelsea tunapitia mateso?

Matajiri wa Ulaya huwa hawatofautiani kabisa kimaamuzi lakini Tajiri la Chelsea kuna mahali dishi lake limeyumba.
 
Uyu kocha bado kijana kila siku alikuwa anagombana na kina muller na neuver na gnabry

Bayern sio ya kuongozwa na kijana wa miaka 30
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom