kuchukua

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Kweli, sifa ya mwanaume halisi ni kupenda na kuchukua hatua.

    Nikija nikimpata huyu mrembo, sitaitoa nje kabisa, nitailoweka humo humo ndani mpaka asubuhi. Kwa uzuri alionao, anafanya mapigo yangu ya moyo yaende mbio sana, nimekuwa kama zezeta, akisema anataka hichi au kile ninampatia. Hapa nipo najipanga, siku atakayonitunuku, nitailoweka mpaka...
  2. JamiiForums Tanzania Kenya itawachukua miaka 50 kujenga reli ya umeme.

    Kutokana na ufisadi unaoendelea nchini Kenya wa kuongeza gharama ya miradi ili kujipatia 10% itawachukua miaka 50 ijayo kujenga SGR yenye akili kama ya Tanzania ambayo ina hadhi Sawa na za Ulaya. SGR ya Tanzania unaweza kutumia umeme au mafuta na unaweza kwenda kwa speed ya 160km kwa saa. SGR...
  3. JamiiForums Tanzania Israel na Muongozo wa Hannibal Hakuna Kuchukua Mateka Awe Nduguyo au Adui

    https://youtu.be/c4EGGCQOP8Y?si=OQ9CRNg2tPDHN3qb
  4. JamiiForums Tanzania Upungufu wa vyoo shuleni wadau wataka Serikali kuchukua hatua

    Tatizo la upungufu wa matundu ya vyoo katika shule za Manispaa ya Shinyanga, limeendelea kuwa changamoto inayotishia afya na ustawi wa wanafunzi, huku baadhi yao wakilazimika kujisaidia vichakani kutokana na vyoo kujaa, kuchakaa na kutokidhi idadi ya wanafunzi. Mbali na upungufu huo, baadhi ya...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Watanzania wengi tuna Reactive mindset; tunangoja tatizo litokee ndipo tuchukue hatua, tulifundishwa kutii kwa hofu kuliko kuchukua hatua mapema

    Na ndio sababu tuna visingizio na lawama nyingi !! Ukiangalia maisha yetu kwa karibu, utaona hii tabia ipo kwenye maeneo mengi. Deadline ikikaribia ndio kazi inaanza. Mtihani ukikaribia ndio kusoma kunaanza. Mgonjwa akizidi ndio tunakimbilia hospitali. Gari likiharibika kabisa ndio tunakumbuka...
  6. JamiiForums Tanzania Hii ya wanawake kuchukua video za wanaume wakiwa wamelala imekuwa trend sasa. Hakikisha haulali na mlupo usiku, atakuharibia maisha.

    Kila kona ni video za michepuko kuchukua video za wanaume ili wasisambaze either kumkomoa mwanaume au kumuumiza mke wa jamaa
  7. K

    JamiiForums Tanzania Hivi mkeo anapokunyima Unyumba, unatakiwa kuchukua hatua gani?

    Habari za leo watu wa humu. Usiku wa kuamkia leo nilikua na hamu sio poa, si ni kawa namuomba wife anipe, akakataa kabisa sababu eti juzi aliona ex wangu kanitumia ujumbe wa kunisalimia kwenye simu. Sasa wakuu, kwa hali kama hii natakiwa kuchukua hatua gani? Au nikachape za nje?
  8. JamiiForums Tanzania Xenophobia in Kenya: Baadhi ya Wakenya wameamua kuchukua jukumu la kufukuza raia wa kigeni

    Tangu Rais Rutto aseme foreigners wanaofanya kazi ndogo ndogo wanapaswa kurudi kwao kuanzia Jumatatu hii ya juzi, baadhi ya Wakenya walianza kuingia barabarani Jumatatu na kufukuza Burundians warudi kwao kwa sababu wanadai wamejaa maeneo ya mijini wakiuza kahawa, kitu ambacho baadhi ya watu...
  9. JamiiForums Tanzania TAHADHARI ZA KUCHUKUA UNAPOKWENDA KUOGELEA BWAWANI AU BAHARINI

    👇🏻 Kuogelea ni burudani nzuri, lakini maji yanaweza kuwa hatari usipochukua tahadhari. Kwa usalama wako, zingatia haya: 1️⃣ Usiogelee sehemu usiyoijua kina chake au ambayo haijaandaliwa kwa ajili ya kuogelea. 2️⃣ Hakikisha kuna mlinzi wa kuogelea (lifeguard) ikiwa unaenda kwenye bwawa au eneo...
  10. JamiiForums Tanzania Kwanini Tunaishi kwa Matarajio Badala ya Kuchukua Hatua

    Kwa mfano utasikia watanzania siku CCM ikiondoka madarakani, ndo ufisadi utaisha. Kwanini usiishe sasa? Nikioa nitaacha kuwa na matumizi mabaya ya pesa kwa wanawake na starehe, kwanini usiache leo na tutafute mchumba mmoja? Ndugu zangu mbona tunaishi kwa matarajio? Hivi wewe pamoja na physical...
  11. JamiiForums Tanzania CORI asante kututetea! Utetezi wa kelele bila kuchukua hatua zozote, nazo ni kelele! Ama mchukue hatua, ama mnyamaze kimya msitupigie kelele!

    Wanabodi, Utangulizi, Naomba kuanza kwa kutoa utangulizi mfupi kuhusu mwandishi wa makala hii, Pascal Mayalla, ni mwandishi wa habari na mtangazaji wa kujitegemea, baada ya kukumbana madhila mbalimba mbali ya kiuandishi, nikajikita kwenye kuandika makala elimishi kuhusu katiba, sheria, haki na...
  12. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mama Akataa Matokeo ya Autopsy, Agoma Kuchukua Mwili wa Mwanawe Aliyekufa Kizuizini

    Mama wa Gideon Makau, mwenye umri wa miaka 44, amekataa matokeo ya uchunguzi wa maiti na kugoma kuchukua mwili wa mwanawe kwa ajili ya mazishi, akitaka familia ipate majibu kuhusu kilichotokea kabla ya kifo chake akiwa kizuizini katika Kituo cha Polisi cha Kilungu, Makueni. Makau alikamatwa...
  13. JamiiForums Tanzania Mwanamume Aishi Kama Mama Yake Aliyekufa kwa Miaka Mitatu Ili Kuendelea Kuchukua Pensheni Nchini Italia

    Mwanamume mwenye umri wa miaka 56 nchini Italia anakabiliwa na tuhuma za kufanya udanganyifu wa kipekee baada ya kudaiwa kujifanya kuwa mama yake aliyefariki kwa takribani miaka mitatu ili kuendelea kupokea pensheni yake. Kwa mujibu wa wachunguzi, mama huyo alifariki mwaka 2022, lakini kifo...
  14. JamiiForums Tanzania Serikali ipo Upande wetu sisi Wanayanga. Simba isahau kuhusu kuchukua Ubingwa

    Nlisema as long as Samia ni Rais basi Yanga tuta enjoy Misimu yote Ubingwa. Maana hilo lipo ndani ya uwezo wetu.
  15. M

    JamiiForums Tanzania Kuna siku Wananchi wataanza kuchukua Silaha za Askari kwa kuwadhania ni wanamgambo wa Mwaipopo

    Leo nimeona Mwaipopo ana vijana wamefunikwa uso na kutishia maisha ya watu wasiandamane, JWTZ kwenye lile tangazo lako kama kweli wanalinda mipaka na mamlaka ya nchi hii wanatakiwa walichukulie tukio lile kwa uzito mkubwa. Wananchi wa Tanzania mnahaki ya kujilinda na kuchukua Silaha hata kwa...
  16. JamiiForums Tanzania Kikwete "2025 hakuna wa kuchukua fomu ya urais kumpinga Samia, labda mambo yaharibike sana"

    Natafakari sana kauli hii ilimaanisha nini? Uzi tayari
  17. JamiiForums Tanzania Uchumi: Kama unaogopa kuchukua RISK basi fahamu unajenga ndoto za aliyekwisha chukua, na sahau kuhusu hela

    Maskini akitaka kufanya biashara anajiulza vipi kama nitapoteza? Then anagairi. Wakati matajiri hua wanajiuliza vip kama itafanikiwa?then anachukua hatua. (rudia tena kusoma hiyo sentensi) Ukweli ni kwamba kila kitu unachoona kimefanikiwa kilianza na uncertainty. Yaani hakikua na uhakika ama...
  18. JamiiForums Tanzania Ayoub Rioba wa TBC Baada ya Kuchukua Mamilioni ya Kustaafu Sasa Arudi Na Ziara ya URUSI!

    ANAANDIKA AYOU RIOBA , MSTAAFU TBC ANAYEKULA MAFAO KWA MRIJA:- Ziara ya Rais SSH Urusi ni muhimu sana, hasa tukizingatia historia ya mataifa yetu! Ninafahamu fika kwamba ndugu zetu mabeberu watachukia. Tanzania na Urusi zina historia kubwa kimahusiano. Tuna Watanzania wengi waliosomeshwa Urusi...
  19. JamiiForums Tanzania Ndoto za Manchester City kuchukua EPL zinayeyuka rasmi leo!

    Leo mapigo makuu mawili, moja Pep hampo nae tena season ijayo na pili, Bournemouth hawafungiki kwao. Ni hayo tu.
  20. JamiiForums Tanzania RC Mtanda: Lipeni fidia kwanza kabla ya kuchukua ardhi ya Mwananchi

    Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Said Mtanda Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela imetakiwa kuhakikisha inawalipa kwanza fidia wananchi kabla ya kuchukua maeneo yao kwa ajili ya kutekeleza miradi ya maendeleo. Mtanda amesema hayo katika mkutano wa hadhara na wananchi wa Kata za Sangabuye, Bugogwa na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…