kuchangia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Technophilic Pool

    JamiiForums Tanzania Kwanini Serikali haiwekezi Mbeya licha ya kuwa ni mkoa wa 3 kwa kuchangia pato kubwa la Taifa

    Tafadhari mi si wa mbeya Angalia takwimu hizi Dar es Salaam: 17% (Sh32.1 trillion) Mwanza: 7.2% (13.5 trillion) Mbeya: 5.58% (Sh10.5 trillion) Morogoro: 4.8% (Sh9 trillion) Arusha: 4.7% (Sh8.9 trillion) Tanga: 4.65% (Sh8.8 trillion) Mbeya ni mkoa ambao hauna project kubwa ukiringanisha na...
  2. C

    JamiiForums Tanzania Ninamshangaa Dr Mollel anapolalamika watanzania kuchangia harusi kuliko kuchangia matibabu!Falsafa za kiongozi ndizo hutengeneza mwelekeo wa watu wake

    Binafsi nikiri ni mchangiaji mzuri wa arusi ingawa ni utamaduni wa hovyo sana kukubalika katika jamii wa watu maskini na wanaojitafuta. Kusema kweli wengi tunaoshirikishwa tunajikuta tunalazimika kutoa ili tusiwakwaze ndugu na marafiki kwa kuwa jambo hili hakuna viongozi wa dini hususan...
  3. I

    JamiiForums Tanzania Hongera Mkuu wa Kituo cha Polisi Igunga kwa kuchangia tone tone!

    Mkuu wa Kituo cha Polisi Igunga ameomba samahani kwa vurugu zilizotokea katika mkutano wa Chadema mjini Igunga. https://twitter.com/Rydx_017/status/1932698774637318410?t=NO05ylCjFuDIiqyK310g0g&s=19
  4. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Mbunge Felista Njau atuzwa Pesa Bungeni baada ya kuchangia Bajeti ya Mambo ya Ndani

    Mbunge Felista Deogratius Njau akituzwa pesa leo Jumatatu, Mei 26, 2025, bungeni jijini Dodoma baada ya kuchangia makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Mambo ya Ndani kwa mwaka wa fedha 2025/26.
  5. BLACK MOVEMENT

    JamiiForums Tanzania Makamanda tunachangia Tone tone? Hili ni la muhimu sana kwa sasa

    Itakuwa ni ajabu sana na mbaya sana kushinda humu kuonyesha jinsi Serikali ilivyo mbaya, jinsi kulivyo na ufisadi, utekwaji wa watu na kadhalika ila hatuchangii tonetone kwa CHADEMA. Katika haya mapambano kama hatuwezi toka front line ni vizuri tukawa tuna wasapoti walio msatari wa mbele wa...
  6. Beberu Mwitu

    JamiiForums Tanzania Kuishitaki kampuni kwa kutokulipa mishahara na kuchangia NSSF

    Habari za muda huu wana JF, Bila kupoteza muda naomba niende kwenye mada moja kwa moja. Mimi ni mhanga wa kutokulipwa mshahara kwa muda wa miezi 3 sasa na kampuni moja inayojihusisha na utoaji elimu msingi kwa lugha ya Kiingereza, yaani English Medium. Shule hizo ndio kama waanzilishi wa mfumo...
  7. Naxria abdalla

    JamiiForums Tanzania Kuipunguza damu ni kuchangia tu au kuna njia nyengine?

    Rafiki zangu nimerudi tena nimeenda hosptal nimepima vipimo wakaniambia nina damu nyingi ambayo ni 17.1 amenambia ndio chanzo naumwa na kichwa pia najiskia vibaya,naomba ushauri kuipunguza damu ni kuchangia tu au kuna njia nyengine?
  8. S U N N Y

    JamiiForums Tanzania KUCHANGIA FIGO

    Wadau kwa ujumla wenu nyote habari zenu ?? nilitamani kujua utaratibu wa kuchangia figo upoje... (naomba mnijuze) Una madhara kwa mchangiaji ? Nahitaji kujua as nikijua au nikipata Elimu juu ya jambo hili naweza shawishika kuchangia.
  9. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Warembo wanatumia karibia mwezi mzima kuenzi siku yao. Huu muda wote wakumbushane usawa wanaoutaka wautumie pia kuchangia katika matumizi equally

    Kama umeajiriwa/umejiajiri haina haja ya kumpiga vibuti bwana yako kila mara. Kama umeajiriwa/umejiajiri toa kwa moyo na jitihada as much as bwana yako anavyozitoaga ili kukidhi bills na costs. Kama bwana yako hana kwa muda huo, fanyeni usawa wa kumvumilia ukata wake na sio kumdharau na...
  10. Bams

    JamiiForums Tanzania Inakuaje akaunti ya M-Pesa ya CHADEMA inasema pesa zimejaa wakati kwenye makubaliano Vodacom ilisema akaunti haina ukomo?

    Watu wengi wameeleza kushindwa kuichangia CHADEMA kupitia mtandao wa Mpesa/Vodacom. Baadhi ya waliojaribu kuwasiliana na Vodacom huduma kwawateja, wameambiwa kuwa eti akaunti hiyo ya CHADEMA imejaa pesa, na hivyo haiwezi kupokea hela zaidi. Wakati kwenye makubaliano kati ya CHADEMA na Vodacom...
  11. Yoda

    JamiiForums Tanzania Nyumba za kupanga za kuchangia choo na bafu ni maisha duni sana.

    Kama unaishi kwenye nyumba ya kupanga ambapo mnachangia choo na bafu na wapangaji wengine basi bado unaishi katika maisha duni sana, bado una safari ndefu ya kuyafikia maisha ya hadhi anayostahili binadamu.
  12. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Pwani: CHADEMA waendelea na Ujenzi wa Ofisi mpya, watoa wito kwa Wanachama kuchangia

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mkoa wa Pwani kimeanza kwa kasi utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa ofisi ya chama hicho, ambao sasa uko katika hatua za msingi na unaendelea vizuri. Mwenyekiti wa Kamati ya Ujenzi, Baraka Nandonde, amethibitisha kuwa mafundi wameshaingia eneo la mradi...
  13. chakii

    JamiiForums Tanzania Lissu usiogope kuanzisha Chama cha Siasa, Watanzania tunaopenda mabadiliko tupo tayari kuchangia uendeshaji

    Wakuu habari.. Naelewa safari ya Lisu hapo CHADEMA Siyo nyepesi kwa kuwa inagusa maslahi ya wengi. Naelewa tiyari ana mawazo mbadala Baada ya hatua hii, Mimi nimtie moyo kuwa anayo nafasi ya kuanzisha Chama cha Siasa na Watanzania wazalendo Tusiopenda Rushwa, Uonevu, Uporaji wa rasilimali za...
  14. Political Jurist

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Simiyu Shemsa Mohamed ashiriki harambee kanisa la KKKT na kuchangia milioni 33.2

    MWENYEKITI WA CCM MKOA WA SIMIYU NDG. SHEMSA MOHAMED ASHIRIKI HARAMBEE KANISA LA KKKT NA KUCHANGIA MILIONI 33.2 Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Simiyu, Ndugu Shemsa Mohamed, ameungana na waumini wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) katika harambee ya kuchangia...
  15. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Shemsa Mohamed Ashiriki Harambee Kanisa la KKKT na Kuchangia Milioni 33.2

    MWENYEKITI WA CCM MKOA WA SIMIYU NDG. SHEMSA MOHAMED ASHIRIKI HARAMBEE KANISA LA KKKT NA KUCHANGIA MILIONI 33.2 Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Simiyu, Ndugu Shemsa Mohamed, ameungana na waumini wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) katika harambee ya kuchangia...
  16. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Geita: Wanaume kutosikilizwa kumechangia msongo wa mawazo na Vifo kwenye ndoa

    Imeelezwa kuwa wanaume wengi bado wanakosa nafasi ya kusikilizwa, hali inayochangia kuongezeka kwa vitendo vya ukatili wa kijinsia dhidi yao katika familia nyingi, jambo linalosababisha msongo wa mawazo mkubwa, ambao kwa baadhi ya wanaume umesababisha vifo. Hayo yameelezwa kwenye kongamano la...
  17. ommytk

    JamiiForums Tanzania Watanzania ni kwanini wepesi kwa kuchangia pesa katika jambo je ni huruma yetu au

    Watanzania ni wepesi sana kutoa mchango au kuchangia pesa jambo kwenye shida yoyote au furaha pia je ni utamaduni wetu au Mila yetu au huruma yetu yaaani unaweza zua ata kitu cha uongo ukahitaji pesa na watu bila kuhoji kutaka kujua hela inaenda tumikaje basi waanachanga bila tatizo lolote Au...
  18. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Inakuaje watu huwa wapo tayari kuchangia harusi na Msiba ila sio pale mgonjwa anapoumwa

    Ndoa na kuoa ni jambo zuri na la heshima na MTU kupata mazishi ya heshima pia ni jambo zuri . Ila huwa nafatilia vifo vingi hasa katika familia masikini vinatokana na ukosefu wa fedha za matibabu. Kuna wakati familia inamchangia MTU harusi au sherehe ambayo inaweza Ku-cost hela nyingi lakini...
  19. L

    JamiiForums Tanzania Rais Mstaafu Kikwete aongoza harambee kuchangia gharama za matibabu ya Moyo kwa Watoto wanaotoka Familia Maskini. Zaidi ya billion 2.7 zapatikana

    Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, ametoa wito kwa taasisi na watu binafsi wenye nia njema kujitokeza na kuchangia matibabu ya watoto wenye matatizo ya moyo kutoka familia zisizo na uwezo ili kuwaondolea au kupunguza mateso yanayosababishwa na maradhi...
  20. T

    JamiiForums Tanzania Pongezi kwa mchungaji Dkt. Geodavie kwa kuchangia maendeleo ya wana kisongo na Arusha kwa ujumla

    Dkt. Geodavie pongezi ziende kwakao aisee kwa kuchangia maendeleo kwa Wana kisongo na wana Arusha tunakupongeza Sana endelea na moyo huyo huyo baba.Geodavie wa kanisa la geodavie ministry mtu mwema sana na mpenda maendeleo watu habagui dini wala kabila mtu yoyote mwenye shida yeye anamsaidia...
Back
Top Bottom