kubwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Mambo yenye huzuni kubwa duniani

    1. Kusema "Kwaheri"kwa mtu unayempenda sana. 2. Kumuona unayempenda akifariki mbele ya macho yako. 3. Kumuona mama yako mzazi akilia kwa uchungu. 4. Kumuona baba yako akiteseka kulitafutia "ADA"ili akulipie wewe. 5. Kumpoteza rafiki/ndugu kwa ajali au ugonjwa fulani. 6. Kubezwa au...
  2. D

    JamiiForums Tanzania Tatizo kubwa la ajali za barabarani zinazohusisha pikipiki(boda) katika jiji la Dar es Salaam

    Andiko langu linahusu tatizo sugu la ajali za barabarani zinazohusisha pikipiki (boda) katika jiji la Dar es salaam linavyoleta madhala makubwa kwa jamii. Dar es salaam ni jiji kubwa linaloongoza kwa kua na watu wengi shughuli nyingi za kimaendeleo, kibiashara na hufanyika nyakati zote usiku...
  3. JamiiForums Tanzania Si vibaya kuajiri akili kubwa kutoka nje!

    Napenda tu kuwakumbusha watawala wa Tanzania kuwa mambo yanaposhinda si vibaya kutaka msaada wa kiakili kutoka nchi zilizofanya vizuri. Nasema hivi kwa maana naona gap kubwa ya uongozi mzuri katika Wizara na sekta nyingi Tanzania. Ukichunguza vizuri utaona mapungufu hayo kwa kweli yanatokana na...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Ukweli Mchungu: Utitiri wa TOZO, PAYE kubwa n.k, wa kulaumiwa ni sisi Watanzania wenyewe

    Sasa hivi mitandaoni ni kilio cha tozo na hii ni kwasababu tozo imetugusa wote na si kundi moja katika jamii, otherwise kilio kingekuwa si kikubwa kiasi hiki na huu ndio ujinga mkubwa wa sisi watanzania. Kwanini nasema hivi? Wakati wa Mwendazake, watumishi ambao walikuwa ni wafaidika wa Bodi...
  5. JamiiForums Tanzania Baadhi ya Brand kubwa za Korea Kusini

    Haya hapa ni baadhi ya makampuni ya kibabe ya Korea ya KUSINI. Thamani yake ni billions of dollars. Kila kampuni hapo ukiigusa ina brand ya kibabe. KIDUKU Yuko busy na vi nuclear vyake Saba. Kumbuka haya mataifa yalikuwa maskini sana miaka ya 1950s. Lakini sasahivi ni kama mbingu na ardhi...
  6. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Hili lisipofanyika naiona Damu Kubwa sana inaenda kumwagika Kenya baada ya huu Uchaguzi Mkuu

    Ili Kukonga nyoyo za kila upande Hasimu Team Ruto na Team Odinga yeyote atakayetangazwa rasmi na Supreme Court ya nchini Kenya kuwa ndiye Mshindi' amteue Mpinzani wake kuwa Waziri Mkuu Cheo ambacho kwa Katiba ya Kenya hakipo ila katika Mazingira tatanishi na kuleta Usawa na Utulivu huwa...
  7. N

    JamiiForums Tanzania Kilimo biashara, dhana ya kimapinduzi ya Rais Samia yenye tija kubwa

    Serikali kupitia Benki ya kilimo Tanzania Agricultural Development Bank (TADB) imeweza kuwa mdau mkubwa kuwezesha mabenki kutoa mikopo kwa wakulima kutoka Benki mbili zinazotoa mikopo kwa wakulima hivi sasa kufikia 14. BAJETI YA KILIMO Serikali imeweza kuongeza bajeti ya huduma za Ugani kutoka...
  8. JamiiForums Tanzania Nashauri Dejan apangwe kwenye zile mechi zisizo na presha kubwa kwanza

    Au naweza kusema aingie pale ambapo timu imeshapata ushindi mzuri na game ipo mkononi kwao. Nina imani akiweza kuonesha makali yake kwenye mchezo Mashabiki hawa wa Bongo ninaowajua wanabadilika hapo hapo na kona zote za nchi wataimba jina lake kwa mema hata mwenyewe atafurahia kuwepo Tanzania...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Ni aibu kubwa Kwa timu kama Simba na yanga kukosa kumiliki uwanja..Kwa Nini Azam Wameweza

    Ni ajabu sana timu zinazoongoza kuwa na mashabiki kila upande wa nchi..kukosa viwanja vyao...kila mechi Kwa mkapa..Kwenu hapo??..Jengeni viwanja vyenu bana..Azam wapo mbali sana nchi hii
  10. JamiiForums Tanzania SoC02 Mapenzi ni Janga kubwa kuliko UKIMWI

    Mapenzi ni mahusiano kati ya watu wawili wenye jinsia tofauti (yaani, mwanamke na mwanaume). Kwa mujibu wa chapisho la Blog ya Muungwana ya tarehe 17/01/2018, mapenzi ni ile hali ambayo watu wawili wanaingia katika mahusiano ambayo yanabeba mambo mengi yakiwemo uvumilivu, unyenyekevu, busara...
  11. JamiiForums Tanzania Natafuta Daktari wa kukodi. Kuna kazi ya kutahiri watu wawili wakubwa

    Natafuta Daktari wa kumkodi kuna watu wawili wa Miaka 18 wanahitaji kutahiriwa. Aje na offer kila momja atagharimu bei gani. Nipo Dar es Salaam
  12. C

    JamiiForums Tanzania Idadi kubwa ya watoto katika familia hudumaza uchumi wa familia

    ''Penye miti mingi, hapana wanjenzi'' Kauli hii imekuwa dhahiri sana na yenye uhalisia ukizungumzia suala kuu la uchumi na maendeleo ya jamii hasa kuhusiana na idadi ya watoto na ustawi wa kila mtoto katika suala zima za elimu, afya na mahitaji mengine ya kimsingi. Tukiongelea suala la miti...
  13. JamiiForums Tanzania SoC02 Unyanyasaji au Uonevu wa Kimtandao (Cyberbullying) umekuwa tatizo kubwa kwenye Jamii yetu

    Unyanyasaji wa kijinsia ni dhana pana sana ambayo ina ainanyingi sana ambazo kwa namna moja au nyingine zina muathiri mwanaume au mvulana Pamoja na mwanamke au msichana katika jamii zetu na kuna aina tofauti tofauti za unyanyasaji wa kijinsia ambazo ni ; Unyanyasaji wa kingono, Unyanyasaji wa...
  14. JamiiForums Tanzania Mkeo au mumeo akiwa na simu kubwa na kile kidogo(kiswaswadu) kaa nacho mbali usiseme sijakwambia

    Tangazo muhimu kwa wote ukiona mumeo au mkeo ana simu mbili moja kubwa touch alafu ana kile kidogo maarufu kiswaswadu yes kiswaswadu kaaa nacho mbali mnooooooooo utakuja nishukuru usikiguse narudia kaaa nacho mbali mnooooooo usije sema atukukwambia
  15. L

    JamiiForums Tanzania Kasi ya Mh Mama Samia Suluhu

    Mapokezi makubwa na ya kipekeee aliyoyapata mkoani Mbeya yameonesha namna watu walivyo na Imani na uongozi wa mama Samia, kazi kubwa na utumishi wa kutukuka unaofanywa na mh Rais imekuwa Chachu na sababu ya kupendwa kwake na watanzania wazalendo. kuchipuka kwa miradi ya maendeleo kila mkoa bila...
  16. JamiiForums Tanzania Simba ni dude kubwa sanaaaaaaa,,,,

    Simba ni Simba ,awe amelala au amekufa anabakia kuwa Simba ,Simba anatisha, Simba ni mnyama mkali sana .usijaribu kumzoea ,Simba ni mkali sana ,muwe na adabu Simba ni kubwa sanaaaaa,,
  17. JamiiForums Tanzania Kwa Lomalisa na Bigirimana Pesa ya Tajiri imepotea, na nilichokiona kwa Aziz Ki ni 'Domo Kubwa Kuvimba' lake tu na Kukosea Kwingi

    Yassin Mustafa ana uwezo mkubwa kuliko Joyce Lomalisa Mutambala kwa Beki ( Mbavu ) ya Kushoto. Zawadi Mauya ana uwezo mara 100 kuliko Mchezaji wa Newcastle United ya katika Photoshop ya Mitandaoni Bigirimana. Saido Ntibanzokinza na Yacouba Sogne ni Wazuri mara Milioni kuliko Domo Kubwa Kuvimba...
  18. JamiiForums Tanzania Juma kaseja apewe heshima yake ,anahistoria kubwa katika soka letu ,

    Namkumbuka huyu mwamba kuanzia miaka ya 2002 ,wengi wetu huenda walikuwa wadogo kabisa,,juma k juma,Tanzania one,huyu jamaa amecheza na wachezaji wengi ambao Leo ukiwaona ni wazee,,wakati beki ni bonfasi pawasa,kaseja alikuwa langoni,wakati matola ni mchezaji kaseja alikuwa langoni,wakati Steven...
  19. JamiiForums Tanzania Asilimia kubwa ya matatizo kwenye magari ni matatizo ya umeme/Electronics

    Gari nyingi za kuanzia late 1990's na kuendelea kuja huku mbele. Zina mifumo mingi ya umeme. Tuache mifumo mingine kwenye gari tuongelee engine tu... Mfano kwenye engine tu peke yake, Mfumo wa hewa una umeme [MAF sensor na IAT sensor/IAT sensor na MAP sensor] Mfumo wa mafuta una umeme...
  20. JamiiForums Tanzania Ubabe na msimamo unayo faida kubwa kwenye ndoa na mahusiano

    Sabato njema! Kutokana na vilio vingi humu prakatatumba ikabidi niingie chimbo nifanye research ya haya mahusiano, maana watu wanachezea vitasa tu na vilio kila pande, wengine wanadiriki kujiua au kuwaza kunywa sumu kisa mapenzi. Mimi nimeshadumu kwenye mahusiano kwa masaa mawili tu miaka...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…