kubwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Aibu kubwa sana. Miaka 60 ya uhuru wanafunzi bado wanasoma kwenye madarasa mabovu huko Masasi

    Majengo chakavu ya shule ya Msingi Mkalapa, wilayani Masasi Mkoa wa Mtwara yaelezwa kuhatarisha maisha ya wanafunzi na walimu. Majengo chakavu ya shule ya Msingi Mkalapa, wilayani Masasi Mkoa wa Mtwara yaelezwa kuhatarisha maisha ya wanafunzi na walimu. Shule hiyo iliyoanzishwa mwaka 1947 na...
  2. JamiiForums Tanzania Australia: Kampuni kubwa ya mawasiliano ya Optus yadukuliwa

    Kampuni ya Pili kwa ukubwa ya Mawasiliano nchini humo, #Optus, imeripoti shambulio la mtandao ambalo limefichua Taarifa Binafsi za Wateja kama Majina,Terehe za Kuzaliwa, Nambari za Simu na Anuani za Barua Pepe Kampuni hiyo yenye Wateja zaidi ya Milioni 10 inasema imefanikiwa kuzima shambulio...
  3. JamiiForums Tanzania Mchezaji gani wa zamani ambaye hukuwahi kumshuhudia akicheza lakini unaambiwa balaa lake lilikuwa kubwa🔥

    Mimi binafsi sijawahi kumuona marehemu Hamis Tobias Gaga akicheza lakini naambiwa balaa lake lilikuwa kubwa sana. Naambiwa alikuwa anapiga sana mawe. Alikuwa anapiga magoli flani hivi ya kipekee. Je, wewe ni mchezaji gani hujamuona zama zake lakini story za mtaani zinasema alikuwa moto sana
  4. JamiiForums Tanzania Chongolo: CCM ni kubwa kuliko mtu mmoja

    CCM ni kubwa kuliko mtu. Wapo watu wanatengeza safu za watu dhaifu ili waje kuwasaidia huko mbele ya safari. CCM si ya watu dhaifu bali chagueni watu wenye weredi na wachapakazi ili wakijenge chama chetu. Chongolo.
  5. L

    JamiiForums Tanzania China yaziongoza nchi kubwa duniani kuratibu uhusiano na nchi za Afrika

    Katika miaka ya hivi karibuni uhusiano kati ya China na nchi za Afrika umekuwa ukifuatiliwa na nchi nyingi duniani. Ufuatiliaji huo umekuwa na malengo tofauti, kuna ule unaotokana na kuiga mtindo wa China wenye uratibu mzuri na maendeleo ya kunufaisha kati ya China na Afrika, na mwingine una...
  6. JamiiForums Tanzania Ukraine walipua ngome tano za Urusi na kusababisha hasara kubwa

    Wazalendo wa Ukraine waendelea na mashambulizi makali, wamelipua ngome ya Urusi iliyokua na ghala kadhaa za silaha, na wanajeshi na ndege na zana zingine nyingi, Warusi walikua wamejichimbia kwamba hapo ndio mwisho wa Ukraine, ila kilichowakuta ni balaa.... The General Staff of the Armed...
  7. JamiiForums Tanzania Mexico yapigwa na tetemeko kubwa la ardhi

    Mashuhuda waliripoti kuona majengo yanatikisika ingawa bado hakukuwa na ripoti za haraka za madhara kwa binadamu, huku meya wa Mexico City akiripoti kuwa hakuna uharibifu mkubwa. Licha ya kutotangazwa madhara, agizo la kuhama kwenye maeneo ya hatari limetolewa. Mamlaka ya Hali ya Hewa imesema...
  8. T

    JamiiForums Tanzania Utabiri: Huenda kiongozi mkubwa wa Taifa kubwa duniani siku zake zinahesabika

    Uwenda Siku za kiongozi mkubwa a Taifa fulani sasa zinahesabika kama mshale wa saa. Yes kuna kila dalili jamaa anataka tumia silaha hatari za maangamizi kwenye ugomvi ameuwanzisha yeye mwenyewe na ni ukweli usio pingika. Mipango yake hata kabla yakuwa dhahiri wenzake walisha juwa nia yake na...
  9. JamiiForums Tanzania Hili ndo jukumu kubwa la Mwanaume Kiasili. Mengine ni kuzidishiwa tu na kupewa Mzigo. Tujitambue

    Binadamu tuna asili ya wanyama kiasi flani. Na tabia nyingi za Wanyama zinahusiana na Binadamu. Kiasili suala la kulea watoto ni la Wanawake. Ndiyo. Wanaume kazi yao ni kutia mimba halafu wanapaswa waendelee na safari zao. Yaani kama umetoka Dar kwa miguu unaenda Tanga. Basi wewe kila kijiji...
  10. D

    JamiiForums Tanzania TARURA na TANROADS yale matuta pale kigamboni mnadani yanaumiza sana! Tunaomba yaboreshwe au muweke moja kubwa

    Kwa nia njema! Tarula/ Tanroad mmeweka matuta ili kupunguza speed! Lakini aina ya matuta mliyotumia ni mabaya sana na yanaharibu vyombo vya moto! Pia mbali na kuharibu vyombo vya moto yanatikisa mwili hadi ubongo! Sasa kwa vile njia hiyo pia inaelekea hospital! Ikipitisha wagonjwa na wenye...
  11. JamiiForums Tanzania Video: Polisi watoa tamko baada ya kuzuiwa kupita kwenye barabara ya mwendokasi

    Kwa hiyo hata jengo la MWENDOKASI Likiwa linaungua hakuna kupitisha zimamoto humo wawahi kuzima? Hawa ni walinda usalama wetu wanalinda mabenki, wanalinda wakuu wetu wa nchi, wanalinda hata ambavyo sisi kwa uelewa wetu hatuwezi ona! chukulia mfano kukawa na tukio hata la ujambazi ndani ya...
  12. JamiiForums Tanzania SoC02 Sayansi na Teknolojia: Wimbi kubwa la mabadiliko juu ya bahari utulivu za Afrika

    Sayansi na Teknolojia; vitu viwili vinavyoenda pamoja kama keki na aiskrimu au samaki na maji au, nipendavyo binafsi, dansi na muziki. Sayansi na teknolojia zimekuwa baraka kweli kweli katika ulimwengu wetu huu wa kisasa na wakati mwingine unaweza kuwa upanga ukatao kuwili; inaweza kusaidia...
  13. B

    JamiiForums Tanzania SoC02 Vijana na samaki kwani hii ni fursa kubwa sana

    Ufugaji wa Samaki ni fursa kubwa sana kwa mikoa ya Shinyanga na Tabora kwa kutumia maji ya ZIWA victoria. --- UFUGAJI WA SAMAKI(Sato) UNAWEZA KUTATUA HALI NGUMU YA KIUCHUMI KWA VIJANA WA MIKOA INAYOPITIWA NA MRADI WA MAJI TOKA ZIWA VICTORIA (Hasa SHINYANGA Na TABORA) Ufugaji wa Samaki aina ya...
  14. JamiiForums Tanzania Kwanini binadamu yeyote akikata roho (akifa) tu ni lazima atoe haja kubwa hata kama ni kiduchu?

    Nangoja kwa hamu sana kusoma maoni yenu ya kitaalamu enyi wajuvi wa JamiiForums, kwani nimedokezwa tendo la mwanadamu kujisaidia haja kubwa Wazaramo wanasema kuukweka) pale tu akikata roho ni la kisayansi zaidi. Hivyo nitafurahi nikielimishwa juu ya hili.
  15. M

    JamiiForums Tanzania SoC02 Kilimo fursa kubwa

    KILIMO FURSA KUBWA. Chanzo cha binadamu ni uumbaji wa Mungu. ‘’Mungu akasema , Na tumfanye mtu kwa mfano wetu, kwa sura yetu; wakatawale samaki wa baharini, na ndege wa angani, na wanyama, na nchi yote pia, na kila chenye kutambaa kitambaacho juu ya nchi...Mwanzo 1:26. Na pia, Biblia...
  16. D

    JamiiForums Tanzania SoC02 Tatizo kubwa la ajali za barabarani zinazosababishwa na pikipiki (boda) kwa jiji la Dar es Salaam

    Tatizo kubwa la ajali za barabarani zinazohusisha pikipiki(boda) katika jiji la Dar es Salaam Andiko langu linahusu tatizo sugu la ajali za barabarani zinazohusisha pikipiki (boda) katika jiji la Dar es salaam linavyoleta madhala makubwa kwa jamii. Dar es Salaam ni jiji kubwa linaloongoza kwa...
  17. JamiiForums Tanzania Japokuwa Madini ya Zinc huhitajika kwa kiasi kidogo mwilini yana faida kubwa sana kiafya

    Madini ya zinc huhitajika kwa kiasi kidogo mwilini lakini huwa na faida kubwa sana kwa afya. Kwa mujibu wa National Institutes of Health, wanawake wenye umri wa miaka 19 na kuendelea huhitaji kiasi cha 8 mg kila siku huku wanaume wakihitaji kiasi cha 11 mg. Wakati wa ujauzito na unyonyeshaji...
  18. JamiiForums Tanzania Ifahamu SIRI hii kubwa kutoka kwa Mwenyezi Mungu kwa faida yako maishani

    Ukiona popote pale (Mitandaoni pia Kunahusika) Unachukiwa na Wanaokujua, Wasiokujua hadi wale ambao kamwe hawajawahi Kuishi nawe ila Wanaamini mabaya yako ya Uwongo na Kufitinishwa na Maadui zako jua haya yafuatayo: 1. Umebarikiwa mno na Mwenyezi Mungu kuliko Walivyobarikiwa Wao na Shetani. 2...
  19. M

    JamiiForums Tanzania INAITAJIKA:JIKO LA NYAMA(USED)

    NAITAJI JIKO LA NYAMA(USED) KAMA KWENYE PICHA HAPO CHINI> KAMA UNALO NAOMBA NI DM MAWASILIANO YAKO.
  20. M

    JamiiForums Tanzania Kuna Timu Kubwa imeshinda Leo ila imecheza Mpira mbovu kiasi kwamba huko mbeleni ikikutana na Wanamume itafungwa 5 au 7

    Mabeki wake Wanakatika ( siyo Viuno vya Vitandani ) halafu Viungo wake ni wa aina Moja tu, Wachezaji wake wanapoteza Mipira kiurahisi halafu ina Washambuliaji wa Kubahatisha na Mmoja wao anayependa Kuzunguka zunguka hovyo kama Inzi wa Chooni halafu hana Madhara kabisa na Msaada kwa Timu.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…