kubwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Mtoto wa kiume apewe support kubwa ya ari na mali tofauti na wa kike

    Katika kitu nilichojifunza katika mahangaiko ya dunia yangu ukweli ni kuwa mtoto wa kiume apewe support kubwa ukilinganisha na wa kike. Mtoto asome asisome apewe support asipewe support mwisho wa siku lazima atakuwa chini ya mamlaka ya mwanaume achana na hao wanaojiita single mothers mtoto wa...
  2. F

    JamiiForums Tanzania Kijana ambaye upo chini ya miaka 25 , wekeza kwenye kujenga brand ya jina lako. Ajira zipo ukiwa na jina kubwa

    Habari kijana under 25. Kama bado upo Chuoni jitahidi usome kwa bidii uwe nondo kwenye proffessional unayosomea. Ila pia uwe na extra callicular ya kukufanya ujulikane na kukujengea jina kubwa . Hakikisha mpaka unafika 30. Uwe maarufu kwa ujuzi fulani. Mimi nakushauri kama unatoka ukoo ambao...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Mbunge Miraji Mtaturu amponda Tundu Lissu, asema hata Mbowe alimshtukia Baada ya kupokelewa na WATU kiduchu. Adai amerudi alikotoka kimya kimya!

    Mbunge wa Singida Mashariki mh Miraji Mtaturu amesema Tundu Lisu amerejea alikokuwa kimya kimya Baada ya kuona Wana wa Ikungi wameshaachana na mambo ya Upinzani Mtaturu amesema hata Mbowe alishangaa kukuta Wapinzani kiduchu Ikungi hali iliyofanya amuhiji Tundu Lisu " Ulisema Ikungi kuna...
  4. JamiiForums Tanzania Mikopo inatisha, yanaenda wapi hayo matrilioni!

    Mpaka sasa Mama amekopa Matrilioni mangapi ndugu zangu..!? Lakini Matrilioni hayo ni kwa ajili ya nani!?? Yanaenda wapi hayo matrilioni!?? Mbona umasikini unazidi kutamalaki wazee. Lakini mpaka masikini wa kutupa analipa haya madeni. Mbona maisha yanazidi kuwa ya kifukara? Kuna watu hapa...
  5. JamiiForums Tanzania Furahia Uhuru ulionao sasa, ni zawadi kubwa sana maishani mwako

    Nilikuwa sina mpango hata wa kuandika Hii thread lakini naiandika kwa ufupi sana baada ya kupita instagram na kukutana na clip hatari za wahuni wakiwa wanahamishwa gereza huko El salvador Kuhamishwa kwao,mikao yao yani imenikumbusha Moment hatari sana nilizowahi pitia miaka ya zamani hiyo Gusa...
  6. JamiiForums Tanzania Mfadhili mkubwa wa Hezbollah akamatwa

    Mohammad Ibrahim Bazzi ambaye amekua akifadhili magaidi ya Hezbollah, amekamatwa pamoja na utajiri wake wote.. ======== ALebanese and Belgian citizen considered a key financier of Hezbollah has been arrested in Bucharest, Romania's capital, U.S. federal authorities said. Mohammad Ibrahim...
  7. JamiiForums Tanzania TAESA imekuwa ni janga kubwa la kukata ndoto za vijana. KwaniniSerikali (PSRS) isianze na vijana wa TAESA kwanza kwa uzoefu walio nao?

    Habari wana JF, Mimi ni kijana ambaye kwa sasa nipo chini ya Taesa, kwa msiojua utaratibu wao ni kuwa wanakutafutia sehemu ya kufanya internship kwa mkataba wa mwaka mmoja halafu wanakulila 150k per month (Ambayo ni kipengele kwa kweli kuipata) na then mkataba ukiisha wanakuacha. Hii kitu...
  8. JamiiForums Tanzania Nani aliyemshauri Rais Samia jambo hili ambalo limeleta mateso na aibu kubwa mitaani na mitandaoni?

    Habari zenu wana JF wenzangu. Leo sina mengi zaidi ya kutafuta jibu la swali langu hapo juu. Maana ukiliangalia suala hili kupitia baadhi ya waathirika wenyewe unaweza kuliona dogo, lakini kiuhalisia ni kubwa na lina madhara mabaya ya kimwili na kiakili. Fikiria watu walikuwa wanapiga kelele...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Tulianza kuwasha moto Afrika Kusini, leo basi limeingia kinyumenyume! Tumebakiza kutoa haja kubwa tu viwanjani ili tushinde

    Timu ya Tajiri #13 Afrika inafanya Mambo ya Kipumbavu na Aibu kabisa halafu bado unataka Mwenyezi Mungu aibaeiki ishinde. Tulichokibakiza sasa kutokana na Kuamini Kwetu Uchawi ni Kuwaambia tu Wachezaji wakiongozwa na Babu (Mzee) Joash Onyango wajitahidi kujisaidia uwanjani kwa Mkapa ili...
  10. JamiiForums Tanzania Nimefurahi jinsi Hersi alivyofanya leo Kwa Mayele na Mashabiki. Mayele anastahili Heshima kubwa sana.

    Ndiye mchezaji pekee anayejituma sana hapa Yanga. Na Aziz Ki naye anajitahidi. Ila michezaji ya ndani imezubaa sana. Huoni hata ikiumia tunapopoteza points. Nimependa Hersi jinsi ambavyo amepiga simu na kumuweka loud speaker Mayele akimtaka kesho kutupatia magoli. Mayele amesisitiza atatetema...
  11. JamiiForums Tanzania Serikali iwekeze nguvu nyingi kwenye sekta ya Sanaa na Michezo

    Ni wazi kabisa tena bila upinzani hii sector pendwa sana wananchi wa Tanzania ipo haja ya serikali sasa kuwa serious na hii sekta na kuitazama kwa macho mawili. Ni sector inayoweza kuingiza trillion za pesa kwa serikali kama tutadhamiria kweli. Uwejezaji mkubwa kwenye michezo kama ya mpira wa...
  12. JamiiForums Tanzania Mamlaka ya Ngorongoro kuna tatizo kubwa sana

    Huwezi amini hili eneo linapokea na kulaza wageni zaidi ya 100 kila siku. Ngorongoro Simba camping site huu mlango una zaidi ya miezi mitatu bila kufanyiwa matengenezo baada ya kuharibiwa na tembo ila tangu uharibike haujawai kutengenezwa na wala hakuna kiongozi anayeona hili ni tatizo. Pia...
  13. L

    JamiiForums Tanzania Waraka No. 1 wa China wasisitiza kujenga nchi yenye nguvu kubwa ya kilimo

    Hivi karibuni serikali kuu ya China ilitoa waraka No. 1 wa mwaka huu kuhusu suala la kilimo. Huu ni mwaka wa 20 mfululizo, ambapo China imetoa waraka No.1 kuhusu kilimo, na jambo ambalo linaonesha kuwa suala hili limepewa kipaumbele zaidi nchini China. Mwaka huu, kwa mara ya kwanza waraka huo...
  14. JamiiForums Tanzania Ni kosa kubwa mwanamke kumtawala mwanaume na Mungu amekataa hili

    Nikosa kubwa mwanamke kumtawala mwanaume na Mungu amekataa hili, soma 1timotheo2:12 (Simpi mwanamke ruhusa ya kufundisha Wala kumtawala mwanaume). Je, waislamu maandiko yenu yanasemaje kuhusu hili? Wanawake wa sasa hawalitii hili agizo la Mungu wanalazimisha wawe sawa na wanaume na ni kitu...
  15. P

    JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli huwezi kusahaulika kwa miaka mingi sana kwa Meli kubwa Ziwa Victoria

    Mwaka 1996 wakati ajali kubwa ikitokea Ziwa Victoria mimi nilikuwa Ukraine nikiwa nimemaliza mwaka wa kwanza wa lugha nikijitayarisha kuingia mwaka wa masomo. Nakumbuka namna sisi watanzania tulivyoanzisha mjadala juu ya ajali hiyo iliyoua ndugu na jamaa zetu wengi. Mwaka huu itatimia miaka 27...
  16. JamiiForums Tanzania Ningependa kumzungumzia huyu adui namba moja ambaye ni Ujinga

    Wakati wa uanzishwaji wa falsafa ya ujamaa na kujitegemea, Mwalimu alitaja maadui watatu wakubwa wa kupambana nao ili taifa liweze kupata ustawi ulio bora maadui hao ni pamoja na :- i, UJINGA ii, UMASIKINI iii, MARADHI Ningependa kumzungumzia huyu adui namba moja ambaye ni Ujinga. UJINGA Kwa...
  17. JamiiForums Tanzania Asilimia kubwa tunanunua simu na laptop zenye uwezo mkubwa na pesa kubwa wakati matumizi yake ni madogo

    Ili jambo watanzania tunajikuta tunapoteza sana pesa kwa kununua kitu chenye uwezo mkubwa kuliko matumizi.yani mtu ana nunua laptop yenye uwezo wakufanya kazi za production,game na injinia alafu yeye anaenda kutumia kwa ajili ya kuandikia barua na kazi za ofisi. Tuje kwenye simu huku ndio...
  18. JamiiForums Tanzania Wateja wa Mabenki chukueni tahadhari kubwa, kuna wizi kwenye tozo na commission zao

    Ndugu wana-JF, kumbe tulipoambiwa kuwa eti Serikali imesikia kilio cha wananchi kuhusu tozo, na hivyo kuamua kupunguza, inaelekea ilikuwa ni hadaa kubwa. Sikuwa na kawaida ya kuomba bank statement kama hakuna sababu ya msingi. Safari hii, kuna account yangu moja iliyopo CRDB Bank ambayo huwa...
  19. JamiiForums Tanzania Mwanaume ni Competitive, ni hunter hiyo ni tofauti kubwa kibaolojia!

    Sasa hivi nchi imetulia tulii kama kama maji, hakuna mashindano, hakuna ari ya kutaka kuwa wa kwanza na kuwazidi wengine, hata washindani wa Tanzania kama Kenya wame relaxed na kupumua kwani hakuna mikiki mikiki ya ushindani wanapata kila wanachokitaka. Hiyo ndiyo tofauti kubwa kati ya Mwanamke...
  20. JamiiForums Tanzania Dr. Mwaka ana akili kubwa sana na ana mjua Mungu

    Hello JF Kila mwanaume halisi ambaye ni kizazi halisi cha Adam na Hawa, walioishi bustani ya Eden na kupewa kila kitu na yenye kila kitu ndio wataelewa. Asante Dr Mwaka kuwa mcha Mungu, unajua maandiko, hekima na busara zako ni kubwa sana. Ishi na mwanamke at your own risk, a woman is an...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…