kubwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Hivi mnajua watoto kuanzia 2020 wana IQ kubwa ambayo unaweza kusema ni wasomi

    Kwa wale wazazi kama una mtoto kuanzia 2020 kwenda mbele kuna kitu naona kwa vizazi kuwa generation hii inaweza na IQ kubwa sana ya utafakari. Watoto 2020 wanaweza kushika simu yako wakafungua youtube na kukwambia muwekee katuni au kitu anacho penda. Kitu chengine mzazi ukiwa muongo au mtu wa...
  2. Nguvu kubwa haiondolewi na nguvu ndogo; hiyo ndio maana halisi ya Dola

    Hamjambo! 1. Nitaongea kidogo kifalsafa na kisayansi. 2. Kisayansi kuna law inasema survival of the fittest kwa tafsiri ya mwenye nguvu ndiye anaishi. Sikumbuki aliitoa Mwanasayansi Charles Darwin au Bwana Lameck. Kwa Wahenga wanasema Mwenye nguvu mpishe. 3. Nguvu ndogo haiwezi kuondoa nguvu...
  3. PHD Kitima kanyooka sana akili kubwa hajaja kutusomea yaliyotengenezwa kwenye karatasi bali nondo zinatoka kichwani hapo hapo

    PHD Kitima kanyooka sana akili kubwa hajaja kutusomea yaliyotengenezwa kwenye karatasi bali nondo zinatoka kichwani hapo hapo.
  4. Bado nina Imani kubwa na kauli ya "Yaliyopita si Ndwele tugange yajayo" pamoja na " Maji yakishamwagika hayazoleki"

    Nimetoka kumfariji mzee mmoja nikajikuta nimeingia JF na uzi wa faraja Ila nitakufundisha faraja lakini sitakufundisha kuhesabu machungu kwasababu utaumia zaidi Bado nina Imani kubwa na kauli ya "Yaliyopita si Ndwele tugange yajayo" pamoja na " Maji yakishamwagika hayazoleki" Nilipompoteza...
  5. Miongoni mwa siku zinazosubiriwa kwa hamu kubwa

    1.Siku ya kurudi kwa Masihi 2.Tisa Disemba Pia list ya watu wa hovyo kuwahi kutokea tanzania imepata mwanachama mpya anayeitwa Thabiti Kombo
  6. BAKWATA ifanyiwe pia reform. Asilimia kubwa ya Watanzania tangu enzi na enzi hatukubaliani na uongozi wao.

    Kiukweli bakwata imeoza, hivyo hakuna budi kupaza sauti nayo ifanyiwe reform kwenye uteuzi /uchaguzi wa viongozi au kama vipi ifutwe tu tujue moja. Yani viongozi wa bakwata asilimia kubwa ya matamko yao wanafanya kwa niaba yao , hawafanyi kwa niaba ya waislamu wote wa TZ kwa ujumla . Asilimia...
  7. PostGE2025 Hatimaye mwili wa Dainesy wapatikana hospitali ya Kivule, familia yapanga upya siku ya mazishi

    ‎Familia ya Dainesy, msichana wa miaka 28 aliyeuawa na polisi katika tukio la Oktoba 29 huko Tabata, imeupata mwili wa mpendwa wao baada ya siku kadhaa za sintofahamu na mateso ya kutokujua alipopelekwa. ‎Kupitia taarifa ya Esha Buheti, ambaye amejitambulisha kama ndugu wa marehemu, familia...
  8. PostGE2025 Ukombozi, then reforms kubwa ni lazima!

    Haya yote ambayo polisi na vyombo vya usalama wanayafanya ya kuteka, kutesa wananchi hata ambao hawajahukumiwa bado (ingawaje hata aliyehukumiwa hastahili kuteswa nje ya hukumu aliyopewa) yanaruhusiwa na ni sehemu ya training yao, na hawawezi kufanya tofauti, mtalalamika mnavyotaka lkn polisi...
  9. PostGE2025 Kosa kubwa alilofanya ni kutoa amri ya shoot to kill daah!.

    Aki ya Mungu sijui nani alimshauri aisee.. huwezi kuuua watu ambao hawana risasi alafu mbaya unawafuata mpaka mtaani na Majumbani . Ni bora tuu ungetoa Amri ya kupiga za miguu tuu na sio kuua damu ya mtu ni mbaya Aki ya Mungu naionea Tanzania yangu huruma we shall never be the same aise hili...
  10. McLaren wamepokonywa point kwenye Las Vegas GP. Nafasi ya Max Verstappen kushinda taji la Driver Championship bado kubwa!

    Formula One sio kama michezo mingine, ambapo kipyenga kikipulizwa basi mchezo umeisha, kwamba ata makosa yakionekana baadae basi hamna namna kwani mchezo ushamalizika. Sasa, F1 mkimaliza race, mshindi akatangazwa, magari yanaenda kukaguliwa kuonesha kamakuna cheating yoyote imefanyika. Sasa...
  11. K

    Serikali fake: Tatizo ni kubwa haiwezekani kusingizia tena! Kubalini makosa kwanza

    Serikali fake: Tatizo ni kubwa haiwezekani kusingizia tena! Kubalini makosa kwanza. Hamtaweza kusingizia TEC, Chadema wala Diaspora. Tatizo la yote ni moja tu HAKI bila kuweka utaratibu wa kupata HAKI yote mnayofanya ni bure. Mazoea ya kujidanganya yamefika mwisho
  12. Kwa nini raisa Samia hakubali ukweli kuwa ufisadi na upendeleo wa familia yake na Kikwete ni tatizo kubwa?

    Kuna familia tatu hapa nchini zimegeuza hili taifa kuwa la kisultani. Hili suala linawakera na kuwaudhi watanzania. Hizo familia zinajulikana. Maandamano ya Oktoba 29 watu wengi wamepoteza mali sababu tu zilihisiwa kuwa mali za Ridhiwani Kikwete. Au wataoto wa hayati Mwinyi au Familia ya rais...
  13. R

    Nyie wazee 7, mnakaribia kurudi kwa Muumba wenu, achana na Unajisi wa kutenda dhambi kubwa. Tubuni dhambi na si kuongeza dhambi

    Achana na DHAMBI hii kubwa ya kusafisha mauaji ya HALAIKI. Mnakaribia kufa, kwa umri wenu , ni muda wa kutubu dhambi mlizozifanya mkiwa madarakani. Msiongeze DHAMBI HII KUBWA YA KUBARIKI MAUAJI YA HALAIKI/ KIMBALI. TUBUNI HUKUMU ZA UONEVU MLIZOZITOA NA SI KUONGEZA HUKUMU ZA UONEVU
  14. M

    PostGE2025 Huzuni kubwa: Mama huko mkoani Kagera aeleza ushuhuda wa mauaji aliyoshuhudia wakati wa maandamano ya Oktoba 29

    Huyu ni mama huko mkoani Kagera, anaeleza kwa huzuni mauaji aliyoshuhudia huko mtaani kwao. Anasema kuwa mtaani kwao pekee alishuhudia watu watano wakiuawa, tena watu wasio na hatia. Je hali ilikuwaje nchi nzima?. Msikilize wewe mwenyewe.
  15. Gen-Z msiache impact yenu ni kubwa sana

    POLISI "Epuka kujiunga au kushiriki kwenye makundi ya mtandaoni yanayochochea vurugu. Ni kosa kwa mujibu wa sheria". KAMA KATIBA YA NCHI IMEVUNJWA IJE IWE HIO SHERIA?? WAMEFANYA MAUAJI YA KUTISHA KWANI SHERIA HAWAKUIONA ?? WAVUNJA SHERIA WANAONGOZA WANANCHI WAFATE SHERIA NI KICHEKO Hao ni...
  16. Kuna kundi kubwa la Watanzania hawajielewi, naona wameanza kuwashobokea wasanii tena

    Yani kuna watu kukaza hawawezi yani yapo yapo tu kama mafala. Ndio maana wasanii wanajiona miungu watu maana mmezidi kuwashobokea . Kuna kampeni ilipita tena ilienda vizuri na ikaanza kuonesha muitikio chanya , kampeni hiyo ilihusu kwanza kuwa unfollow wasanii na machawa wote wa CCM , kuto...
  17. M

    Waafrika tuna allergy kubwa sana na UWAJIBIKAJI, hatupo tayari kuonekana tumekosea

    Tuna tatizo kubwa sana pale tunapo kosea kufikiria ni wapi pa ktupia lawama, kusingizia, kubana ukweli, kuwapa kesi wanaoanika ukweli, n.k. Na hata pale kila kitu kinapokuwa wazi tunakimbilia kuomba misamaha ya sinema huku mambo yale yale yakirudiwa. Kitu pekee kinachoweza kutulinda ni sheria...
  18. Gumzo kubwa leo: Uwe masikini au tajiri, hamia Burundi kama hutaki tozo

    Hii imekuwa ndio gumzo kubwa sana leo hii
  19. Kupuuza maoni ya Wananchi Mtandaoni: Hatua ndogo inayoweza kuigharimu Taifa kubwa

    Ripoti ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) iliyochapishwa Julai 2025 inaonyesha kuwa idadi ya watumiaji wa intaneti nchini imefikia milioni 54 kufikia robo ya nne ya Mwaka wa Fedha 2024/2025, hilo ni ongezeko kubwa kutoka milioni 29, Mwaka 2020. Katika kipindi cha miaka minne hiyo...
  20. Nimefukuzwa Kazi kwa sababu ya "Chapisho la Kisiasa"

    Na: Jumanne Mwita Leo tarehe 12/11/2025 nimesimamishwa kazi. Sio kwa sababu nilichelewa kazini, wala kwa kosa la kitaaluma — bali kwa sababu nilichapisha au nili "screenshot" chapisho la mtu mwingine lenye mtazamo wa kisiasa. Chapisho hilo halikuwa la matusi, halikuhusiana na kazi yangu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…