Think2
JF-Expert Member
- Jan 3, 2025
- 2,937
- 5,532
POLISI
"Epuka kujiunga au kushiriki kwenye makundi ya mtandaoni yanayochochea vurugu. Ni kosa kwa mujibu wa sheria".
KAMA KATIBA YA NCHI IMEVUNJWA IJE IWE HIO SHERIA??
WAMEFANYA MAUAJI YA KUTISHA KWANI SHERIA HAWAKUIONA ??
WAVUNJA SHERIA WANAONGOZA WANANCHI WAFATE SHERIA NI KICHEKO
Hao ni polisi, wameshachelewa ndugu zetu wameuawa sasa ni muda wa kisasi tu.
TCRA
"Mtandao ni Darasa! Linaloweza kumpa mtu elimu ujuzi na maarifa. Jukwaa hili ni muhimu kwa kukuza uwezo na Uchumi wako"
Hawa nao wameanza mambo yao anyway hawa nao walimaanusha hichihicho cha polisi