kubwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    JamiiForums Tanzania Sherehe kubwa Lumumba, CHADEMA wakiparurana

    Misahafu inasema mwana mpotevu aliporudi kwa babaye, mwana mwema aliyekuwa kabakia Kwa babaye alichukia mno. Kwamba kwanini baba yao amfanyie sherehe mwovu huyo hali yeye alikuwa pale siku zote asifanyiwe dhifa yoyote? "Kwa hasira kali alisusa sherehe ya nduguye, akaondoka nyumbani na kutokomea...
  2. JamiiForums Tanzania New York! Mafuriko ya kutisha katika jiji kubwa zaidi huko USA!

    "Hii ni dhoruba inayotishia maisha," gavana Wa New York alisema. Mvua ya mwezi mmoja ilianguka kwa masaa machache tu ijumaa, wataalam wa hali ya hewa walisema. Hadi 20 cm ya mvua ilianguka katika sehemu zingine za jiji. Mamlaka za jiji zilitangaza hali ya dharura. Video inaonyesha watu...
  3. JamiiForums Tanzania Jambo kubwa linaloifanya CCM kuwa na nguvu siku zote ni kukubalika na watu wa dini zote. Wapinzani igeni hili

    Huu ni ukweli ambao wengi hawapendi kuusikia, hata Mods humu hawaupendi. CCM ni chama pekee cha siasa ambacho hakiwezi kunyooshewa kidole cha udini. CUF ilikuwa na nguvu sana, lakini kila mtu aliona kupitia safu yake ya juu kilivyoegemea dini fulani. CDM kilikuwa na nguvu, na hata leo kina nguvu...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Simu mpya za iphone zagundulika kuwa na changamoto kubwa

    Simu za iPhone 15 & iPhone 15 pro ambazo zimeingizwa sokoni hivi karibuni zimelalamikiwa na baadhi ya watumiaji wake kuwa na msululu wa matatizo Watumiaji wengi wa simu hizo toka kampuni kinara Duniani kwa utengenezaji wa simujanja wameeleza kuwa simu hizo mpya zina changamoto ya kutoa joto...
  5. JamiiForums Tanzania Ni hasara kubwa kuwa na wanasiasa kama Mbowe wenye kujali matumbo yao

    Kwa nini mtu usig'atuke na kupisha watu wenye nia thabiti ya kuwakomboa Watanzania? Tozo, ufisadi, umeme kukatika hovyo na wizi wa mali za umma iiuweze kudhibitiwa unahitaji viongozi wenye nia thabiti na madhubuti. Sio matapeli wa kisiasa kwenye karne kama hii. Wanaodhani siasa ni ulaghai ili...
  6. JamiiForums Tanzania Wahehe waliwahi kuwa kabila lenye ushawishi na nguvu kubwa nchini. Ni kitu gani kimepeleka anguko lao?

    Ni moja ya kabila lililowahi kuwa na influence serikalini, jeshini, elimu, vyeo vizito, n.k. Kwa sasa ile glory ya wahehe imeporomoka sana, limekuwa kabila la kawaida sana, kilichibaki kuwatambulisha labda historia ya Mkwawa. Nini kimepelekea hali hii?
  7. JamiiForums Tanzania Ukichaa wa akili ya mwanadamu tatizo kubwa Duniani

    Hakuna kipindi ambacho jamii yetu inahitaji elimu ya kujifahamu "consciousness education"kama sasa. Tunapita kwenye kipindi chenye upotofu mwingi juu ya "mtu ni nani " kuliko kipindi chochote kile. Taasisi za misingi ya jamii kama familia, shule na maeneo ya ibada leo kwa kiasi kikubwa...
  8. L

    JamiiForums Tanzania Japan kumwaga maji taka ya nyukilia baharini kwasababisha hasira kubwa ya jamii ya kimataifa

    Kampuni ya Umeme ya Tokyo ya Japan imetangaza kuwa imemaliza awamu ya kwanza ya kumwaga maji taka ya nyuklia baharini, na awamu ya pili inatarajiwa kuanza hivi karibuni. Tangu Japan ilipoanza kumwaga maji taka ya nyukilia baharini, kitendo hiki kimesababisha hasira kubwa ya jamii ya kimataifa...
  9. JamiiForums Tanzania Sakata la Kocha: Singida tumechagua kukaa kimya, tuna kazi kubwa mbele yetu

    Salaam, Nimeona mijadala mingi humu ikizungumzia sakata la kocha wetu ambaye amenukuliwa na vyombo vya habari nchini Afrika Kusini kuhusu sababu za yeye kuondoka kambini. Kwa upande wa klabu bado hatujasema chochote, taarifa yetu ya awali tulitoa kuhusiana na yeye kuondoka kambini kwa sababu...
  10. JamiiForums Tanzania Hii ndio mikoa ambayo Rais Samia amewekeza nguvu kubwa kuiletea maendeleo

    Habari zenu wanaJF wenzangu, Wakuu.... wengi wetu hapa JF na nchini kwa ujumla, tunajua kwamba raisi wa JMT mh Samia S. Hassan anapambana usiku na mchana, ili kuhakikisha serikali yake inaleta maendeleo katika wilaya, mikoa na nchi yote ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Lakini kama ilivyo...
  11. JamiiForums Tanzania Career au Mapenzi ama vyote kwa pamoja?

    Kwa mara ya kwanza Getafe wameuza jezi nyingi zenye jina la Mason Greenwood mgongoni ndani ya wiki moja kuliko walizouza kwa mchezaji yeyote katika historia ya klabu hiyo. Mkopo wa Greenwood huko Getafe umepokelewa kifalme kuanzia kwa wachezaji wa Getafe, mashabiki na wafanyikazi kwa ujumla...
  12. JamiiForums Tanzania Mbunge Bahati Ndingo - Ni Heshima Kubwa Kuchaguliwa Kuwa Mbunge Wenu Mpya

    MBUNGE BAHATI NDINGO - NI HESHIMA KUBWA KUCHAGULIWA NANYI KUWA MBUNGE WENU MPYA Anaandika Mbunge Mpya wa Jimbo la Mbarali, Mhe. Bahati Keneth Ndingo. Wapendwa wenzangu wa Jimbo la Mbarali! Ningependa kuwashukuru kwa dhati, ni heshima kubwa kuchaguliwa nanyi kuwa Mbunge wenu mpya. Ninaipokea...
  13. JamiiForums Tanzania Chatu mkubwa katika pori jirani na 'Chuo Nyeti' Mbweni Malindi adhibitiwe upesi kabla hajaleta madhara

    Mida yake ya kuvuka barabara hiyo ya lami ni kati ya saa 2 hadi Saa 3 usiku na ni mkubwa sana. Nina uhakika wale wote wanaopita hiyo njia wakiwa ama katika Bajaji au Pikipiki za Bodaboda au DalaDala za Mbweni - Makumbusho au hata gari binafsi ama mmeshawahi kukutana nae au nanyi hivi karibuni...
  14. JamiiForums Tanzania Pigo kubwa na lenye madhara kwa Chama cha Walimu Tanzania

    Chama cha Walimu Tanzania kimepitia misukosuko kadhaa ambayo isivyo bahati imekiyumbisha chama hadi kukiuka Katiba, kanuni zake na maamuzi mbalimbali ya vikao vya chama. Hali hii imejitokeza baada ya kufariki kwa aliyekuwa katibu mkuu Alhaj Yahya Bakari Kilo Msulwa ambapo nafasi yake kwa mujibu...
  15. JamiiForums Tanzania Video: Urusi kunawaka moto, depo kubwa ya mafuta imelipuliwa na drone

    Madogo wanaendelea kubonyeza bonyeza tu, vita vya kisasa tamu sana.... A Ukrainian drone has caused significant damage to a Russian oil storage facility, triggering a fire in one of the gasoline tanks. A Ukrainian drone caused damage to an oil storage early on Sunday, resulting in a fire in one...
  16. JamiiForums Tanzania Je, yule Mchezaji wa Timu Moja Kubwa niliyesema 'Karogwa' na ataanza Kucheza vibaya mmeshamjua au bado?

    Ni lini mtanijengea Sanamu langu GENTAMYCINE hapa JamiiForums au basi hata tu Kunupigia Salute kama Heshoma, kwani huwa nawapeni Taarifa kabla na Uhalisia wake huwa kuja kuwa Kweli. Kama tu uliangalia Mechi Mbili za Wakubwa wa Tanzania jana ile ya Ndola Zambia na Kigali Rwanda nina uhakika...
  17. U

    JamiiForums Tanzania Serikali inunue umeme Ethiopia, tatizo ni kubwa mno. Pole Biteko

    Biteko anawaambia TANESCO kuwa wananchi wanataka umeme, wananchi hawataki kusikia sijui kuna mipango na porojo gani kama alivyokuwa anasema Makamba, lakini hata akiwaambia wananchi wanataka umeme huo umeme utatoka wapi? Kwanini wananchi tusiwapime CCM kwa kutumia umeme? Jinsi na kadiri siku...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ndiye Rais atakayeongoza nchi kwa mafanikio makubwa sana. Ni suala la muda tu kila mtu atamuelewa dhamira yake kwa Watanzania

    Nawasalimu Kwa Jina la JMT. Kama Thread inavyojieleza,Huyu Mhe.Rais Samia Mimi binafsi naona amebeba maono makubwa sana ya Nchi hii, malengo yake ni makubwa,kila nikimtazama natamani Watanzania wote muelewe Dhamira yake ilivyo Kubwa ya maendeleo na kuifanya Tanzania kama Ulaya. Sababu Kubwa...
  19. JamiiForums Tanzania Ushauri Wizara ya Elimu: Nyadhifa zitolewe kwa kuzingatia Kiwango cha Elimu, kipaumbele kikiwa kwenye elimu ya juu zaidi

    Kwa miaka ya sasa ni rahisi sana kuona mwalimu ana Masters/PhD lakini yupo tu anafundisha huko shuleni, ila mabosi wake wote wana Shahada. Huyu mwalimu mwenye Masters/PhD anaambulia kuhujumiwa tu na mabosi hao ili kumkatisha tamaa. Mfano, anaweza akawa amepata mchongo mahali pengine kutokana na...
  20. JamiiForums Tanzania Hii ndio sababu kubwa kwanini dunia nzima kuna upungufu mkubwa wa matangazo ya ajira

    Kwa sababu siku hizi kuna fursa nyingi za watu kupata pesa bila kuajiriwa kuliko kipindi chochote tangu dunia iwepo. Makampuni mengi hayana sababu kufanya kila kitu yenyewe wakati kuna watu wengi tu wako majumbani wanaweza kuwafanyia hizo kazi bila kujibebesha mizigo ya Bima za afya, kodi, kero...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…