kubwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Intelejensia: CHADEMA wamewatega polisi, wamejazana Dar na sasa wanapaswa kulinda maandamano ya amani 23/09

    Barua hii ya tarehe 20 Septemba 2024 inayotajwa kupelekwa polisi mikoa ya Ilala na Kinondoni ni dhahiri imeonesha namna chama hiko wanavyozichanga vyema karata kuelekea maandamano ya 23 Septemba 2024. Tumeshuhudia mrundikano wa polisi kutoka mikoani kuletwa Dar kudhibiti maandamano haya...
  2. F

    JamiiForums Tanzania Mpaka sasa CHADEMA wameshatimiza lengo kuu la maandamano ni akili kubwa imetumika, polisi wanahaha.

    Kuna njia nyingi za kuandamana au kufanya shinikizo kwa serikali yoyote. Mojwapo ya njia hizo ni maandamano tunayoyajua. Njia nyingine ni kufanya mzunguko wa taarifa zitakazoifanya serikali ione kuna tatizo flani na wananchi hawafurahii hali hiyo. Mpaka sasa zipo taarifa za polisi kutoka mikoa...
  3. JamiiForums Tanzania Amani ni kubwa kuliko Utulivu, utulivu ni muhimu kuliko Demokrasia, na Demokrasia ni kubwa kuliko vyama vya siasa

    Tunahitaji amani sio utulivu, lakini ni heri ya utulivu kuliko demokrasia yenye vurungu, na bila kusahau kuwa demokrasia kwa watu hata wasiokuwa na vyama; ni zaidi ya vyama vya siasa kurahisishiwa kuwa viongozi na kwenda Ikulu. Amani: Ni kuwa na uhakika wa kuwaona wajukuu zako kutokana na...
  4. JamiiForums Tanzania Al-Ahli Tripoli wagomea Gari kubwa, mizigo yote wamepakia kwenye Kenta

    Al-Ahli Tripoli wamegoma mizigo yao kuingia kwenye gari kubwa na mizigo yote wamepakia kwenye gari ndogo aina ya Kenta wameweka vifaa vyote vya kufanyia mazoezi na vyakula vyao wametoka navyo nchini Libya. Hivi ndivyo klabu ya Al-Ahli Tripoli ilivyowasili Tanzania kucheza mchezo wa marudiano...
  5. JamiiForums Tanzania Ulevi wa Kupindukia, Ubakaji na Ulawiti ni Janga Kubwa kwa sasa Mkoani Kilimanjaro

    Mkuu wa Wilaya ya Moshi James Khaji kasema anaomba Viongozi wa Dini wauombee Mkoa wa Kilimanjaro kutokana na sasa kukumbwa na Janga Kubwa la Wanaume kuwa Walevi wa Kupindukia, Kubaka na Kulawiti. Chanzo: TBC1 Asubuhi ya Leo. Mashemeji zangu Wachagga mmekumbwa na nini tena Siku hizi? Na nyie...
  6. N

    JamiiForums Tanzania Natafuta dawa ya kuondoa michubuko sehemu za siri (haja kubwa)

    Natumain ni wazima wa afya kwa mtu yeyote anaweza nisaidia jina la dawa na sehemu ya kuipata kuondoa michubuko sehemu ya haja kubwa pembeni ule utandu utandu wote uondoke
  7. JamiiForums Tanzania INAUZWA Nauza Mitandio na Kanga za Zanzibar na Mombasa

    Mitandio ya cotton na Mpira plain inapatikana Cotton bei ya rejareja sh 8000, bei ya jumla sh 7000 kuanzia mitatu. Mpira plain imebaki miwili, bei yake kila moja sh 5000. Mawasiliano 0784 829565
  8. JamiiForums Tanzania Siasa ni dude kubwa linaloisumbua Tanzania, Afrika kwa ujumla.

    Siasa ni utamaduni wa kiutawala ambao kawaida jamii imekubaliana kutumia namna au njia fulani kujiongoza/kujitawala ,Mfumo wa demokrasia ni moja wapo ya njia ambazo jamii za kiafrika zimelazimishwa kuzitumia katika kujitawala. Utamaduni huu umekuwa kaa la moto kwa viongozi wa kiserikali kwani...
  9. F

    JamiiForums Tanzania Kuwaambia watu kuwa “wameota mikia” ni dharau kubwa

    Viongozi wa siasa wanapaswa kuwa makini na kauli wanazotoa wawapo majukwaani. Malumbano ya kisiasa hayapaswi kutawaliwa na jazba au mihemko kwa namna yoyote kwani kufanya hivyo kwaweza kuleta kutoelewana kwa pande mbili. Kiongozi hawezi kuwa sawa kwa mfano kwa kuwaambia wengine kuwa wameota...
  10. JamiiForums Tanzania Bei ya kondom ni kubwa mno zishushwe bei.

    Ndugu zangu kulingana na hali zetu kiuchumi kuwa siyo nzuri, kuna mdau hapo chini amependekeza kushushwa kwa za kondom nchini, tunaziomba mamlaka husika zilifanyie kazi suala hili.
  11. JamiiForums Tanzania Bajeti kubwa migao midogo Kwa sekta/wizara muhimu kwa maendeleo ya nchi

    Habari za mapumziko! Inasikitisha sana kuona sekta muhimu za kuleta maendeleo hazipewi kipaumbele Kwa maana ya kupewa rasilimali pesa kulingana na bajeti zilizopitishwa na Bunge, sekta muhimu kwenye nchi kama Ardhi, kilimo, Mifugo, uvuvi zina hali mbaya kifedha kutokana na kupelekewa bajeti...
  12. L

    JamiiForums Tanzania Al Ahly Tripoli ni wa kawaida lakini kazi kubwa lazima ifanyike ikiwa tunahitaji kuingia makundi

    Wengi tunajipa hopes kuwa hapa nyumbani lazima wakae. Wengi tunajipa hopes kuwa kule kwao tulicheza kimkakati ndio maana tumeambulia sare Wengi wetu tuna ushabiki sana kuliko uhalisia Guys, wale waarabu sio kama Al Ahly ya Misri, ni wa kawaida sana, hilo sibishi. Jana mechi ile haikuwa...
  13. G

    JamiiForums Tanzania Hongerani Hauth wa Yemen kwa kushambulia nyasi za Israel na kufanikiwa kufyeka Eneo kubwa

    Wakati mwingine nafikiri Israel inaachilia makombora yasiyo na madhara ili inapolalamika inavamiwa jumuiya ya mataifa iwaelewe vizuri Pia inaachia makombora yasiyo na madhara makubwa ili ikilipa kisasi mataifa mengine yaweze kuelewa nani mchokozi na mkorofi Kwa Sasa Yemen na Lebanon ikipokea...
  14. JamiiForums Tanzania Eneo kwawajili ya project kubwa au kwaajili ya biashara linauzwa Madale Mivumoni

    Habari za wakati huu... Eneo linauzwa madale mivumoni... Lipo karibu na shule ya atlas Eneo limezungukwa na njia kubwa kabisa pande zote nne... Eneo lipo tambalale kabisa...🔥 Eneo linafaa kwa projects kubwa kama shule,hospital na hata viwanja vya michezo au sports academy.. Pia kwa wale...
  15. JamiiForums Tanzania Mikoa ambayo itakuwa na competition kûbwa Kutokana na wasailiwa kuwa wengi Vs mikoa yenye competition ndogo

    Jamhuri ya Muungano wa Tanzania... Waalimu mmepewa Siku tatu za kufanya mabadiliko katika akaunti zenu kuchagua mikoa àmbayo ntakuwa comfortable kufanya usaili WA mahojiano endapo mtafauku Written. Choose wisely. Unaweza ukajikuta umechagua Mkoa weñye wasailiwa wengi zaidi na hiyo kuzidisha...
  16. JamiiForums Tanzania Takwimu: Hii hapa klabu kubwa Afrika Masharii na kati (CECAFA)

    Yafuatayo ni mafanikio ya Al Hilal ya sudan kwenye CAF CHAMPIONS LEAGUE. Kama kuna mtu timu yake ina mafanikio zaidi ya haya basi alete hapa 1966 - Semi-finals 1987 - Finalist 1988 - Quarter-finals 1990 - Quarter-finals 1992 - Finalist 2007 - Semi-finals 2009 - Semi-finals 2011 - Semi-finals...
  17. JamiiForums Tanzania Epuka kuwa na circle kubwa ya wanawake

    Kadiri unavyokua na idadi kubwa ya wanawake kwenye circle yako iwe kimapenzi au kirafiki ndivyo unavyojiandalia maisha ya kuishia kwenye umasikini. For every 10 women you attract into your life only one genuine woman might respect and value you, other nine just want a piece of your success...
  18. JamiiForums Tanzania Tusome wote Biblia Takatifu kwa sauti kubwa

    Mwanzo 9:6 Inasema Atakayemwaga damu ya mwanadamu, damu yake huyo itamwagwa na mwanadamu, maana kwa mfano wake Mungu alimfanya mwanadamu.
  19. JamiiForums Tanzania Tuambizane ukweli: kauli ya Nchimbi imebeba hofu kubwa iliyopo CCM kwa sasa

    Katibu Mkuu wa CCM leo tarehe 13 Septemba 2024 aliitisha kukao cha dharura na waandishi (selected) wa habari kuelezea msimamo wa CCM kuelekea maandamano ya amani ya Wananchi kupitia CHADEMA. Amekutaka chama cha CHADEMA kusitisha maandamano iliyoyaitisha. Pia ikiwataka vyama vikae mezani...
  20. JamiiForums Tanzania Mara nyingi vita huwa ni mbinu ya kumrejesha nyuma adui yako

    Ni vigumu sana binadamu kukwazana mpaka kufikia hatua ya kupigana hasa katika ulimwengu huu wa sayansi na teknolojia, sishangai Marekeani na washirika wake wanaweka vizuizi kuzalisha VILIPUZI kwa IRAQ, IRANI na mataifa mengine huku wao wakiendeleza kutengeneza mabomu haya. Kawaida kila taasisi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…