Leo hii kuna ajali imetokoe huko. Misungwi ambapo bodaboda zinazodaiwa kuwa katika mwendo wa kasi zimegongana na waliokuwa kwenye hizo pikipi kuungua moto vibaya sana ingawa wanacnhi waliwaokoa kwa kuwamwagia mchanga. na sidhani kama wote wame-survuve (mtu anaangua kama nyama iliyowekwa kwenye...
Itabidi wafurushwe na kurejeshwa kwenye nchi zao.....
New York City officials say nearly half of the 282 people arrested at pro-Palestinian protests on two campuses this past week are not currently affiliated with either school.
The arrest breakdown was released on Thursday by the New York...
Shida ya umeme ilipofikia sasa mkoa wa mtwara si pazuri, leo ni siku ya nne umeme hauwaki mchana unawaka usiku tu, tena hiyo usiku unaweza kusema labda kaachiwa mtoto achezee kidogo umewaka kidogo umekata ili mradi kero tu.
Tulitangaziwa kuwa umeletwa mtambo wa megawati 20 kumaliza tatizo mpaka...
China ndio nchi inayoongoza kwa bidhaa nyingi na teknolojia nyingi ila cha kushangaza kuwa na vyote ila ni wapenzi wa bidhaa za wazungu kuliko zao mfano vifaa vya Apple,kompyuta za makampuni ya kigeni ulaya na usa,vinywaji mfano henesi,heniken na n.k. swala la elimu wanapenda kusoma vyuo...
Muhimu: Elewa neno asilimia kubwa haimanishi ni wote, hata wazaramo wakimya wapo lakini asilimia kubwa ni waongeaji.
Introverts ni watu ambao wanapenda kuwa peke yao muda mwingi, mkikutana mnasalimiana, anaweza kukusaidia, n.k. wepo waongeaji wazuri tu lakini bado wanapenda muda mwingi kukaa...
Nilikuwa nasoma uzi wa Furtunatus Boyombe kuhusu idadi kubwa ya wahamiaji haramu ambao wako serikalini kwa idadi kubwa wote Wana akili kubwa kubwa mno
Mfano wengi unaawakuta wako BOT
UDSM
SUA
IFM
TRA
UHAMIAJI
WAJUMBE WA BODI
TARURA
TAKUKURU
JWTZ
Kwa kifupi Ni hivi, wote hakuna hata mwalimu wa...
Kwa kweli shillingi ya Tanzania inaporomoka kwa kasi ya kutisha dhidi ya sarafu nyingine. Ukitaka kujua kuwa shillingi yetu inaporomoka kwa kasi linganisha bei ya bidhaa kwa leo na ulinganishe na miaka mitatu, miwili na hata mwaka mmoja.
Chukua mfano wa nishati ya mafuta. Miaka mitatu...
Mimi nataka fungua nafaka jumla ila nashangaa wenzangu kila kona wana mzanii ile mikubwa kama hii.
Sas nilikuwa nauliza ya digital haifai kwani kama hii kupimia magunia ya kilo mia.
Kutoka insta live ya ally Kamwe , Leo engineer HERSI ametupa wananchi breaking news ya moto 😅😅
Engineer HERSI amesema kuwa katika msimu huu wa usajili dirisha kubwa , Kuna mchezaji mmoja uyo fundi akisajiliwa , itatengenezwa bango kubwa lenye picha ya mchezaji huyo alafu litabandikwa opposite...
Kujibu kile kinachojulikana kama "uzalishaji kupita kiasi wa China" ambacho kimechochewa hivi karibuni na baadhi ya nchi za Magharibi, Bw. Ayodeji Dawodu, ambaye anafanya kazi na kushughulikia mambo ya Afrika katika benki ya uwekezaji ya BancTrust yenye makao yake makuu mjini London alisema...
Imekuwa kama dharau kwa mzawa kocha Juma Mgunda kila timu inapopoteana (mwendelezo mbovu) na makocha wa kigeni kutimuliwa timu ya Simba sc huwa inamkubuka Juma Mgunda na kumpa timu tena.
Nani asiyejua uwezo wa Juma Mgunda katika ligi hii? Juma Mgunda siyo wakufanya kibarua cha saidia fundi ila...
Katika MAISHA ya siasa unabidi kuelewa ubora wako unategemea na ubora wa mpinzani wako.
Unapomgeuza mpinzani kuwa adui unabidi kujua unaenda kujiua na kujiangamiza.
Adui -ni yule anayepambana kukuondoa usiwepo
Mpinzani-ni yule anayetazama weakness zako na kuzi-expose ili uzifanyie kazi...
Nimeshangazwa kuona Yanga sc inaingia na mkataba na kampuni inayofahamika kinondoni ilala na temeke tu na bidhaa zake inauzia palepale Daresalaam tu tena kuna baadhi ya maeneo ya Daresalaam haifahmiki na haiuzi kiufupi hii kampunu ni janja janja tu
Wanajiita SILVER INVESTMENT walingia mkataba...
Kuna mambo hapa tanzania hususani hii biashara ya Forex imekuwa na majigambo mengi yani mtu ana kuonesha kapiga usd 5000 kwenye news kama CPI,NFP na n.k bado hapo hapo anaweka group au darasa la malipo watu walipie.
Au watu wa mikeka aka bettting
Kuna mashaka sana na hawa watu wa forex na betting
Bomba kubwa la maji linalogawa maji katika maeneo ya Kibanda cha mkaa, Kwa Msuguri, Temboni na suka, Lapata hitilafu hivyo kuna hatihati ya kukosa maji kwa siku hizi mbili tatu.
Habari ndugu wateja kutokana na Mvua kubwa imeathiri miundombinu ya Bomba kubwa eneo la kibanda Cha mkaa linaloleta...
Katika nchi 15 zenye asilimia kubwa zaidi ya wagonjwa wa kisukari duniani nchi 5 ambazo ni Kuwait, Misri, Qatar, Saudi Arabia na Sudan ni za kiarabu. Nchi moja ya Pakistan ina ustaarabu unaokaribiana na Waarabu nchi nyingine 10 zilizobaki katika listi hiyo ni visiwa vidogo vidogo.
Inasemekana...
Jina la ukoo lina nguvu sana. Jina la ukoo Sio jina kama unavyoliona. Ni damu ya uzao.
Hata kama umezaa na mtu na ukabadilisha jina la mtoto kisa baba yake HATOI matumizi au kisa umehangaika na MIMBA pekeako. Kumbuka damu ya mtoto NDIO imelala na jina hilo.
Vyote vinavyohusiana na mtoto huyo...
Mvua zinatandika kila kona ya nchi na huu ni msimu wa kilimo...Chadema wameitisha Maandamano watu wananyookea maandamano kama nzige ni Miziziolojoji?
Huku Manyara leo mashamba yako likizo wakulima wamemfuata Lissu
Chadema punguzeni spidi watu wakonsetreti kwenye Kilimo
Muungano hoyee
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.