Hizi comments hapa chini zimenitisha sana na zinaatoa picha halisi ya jinsi utawala wa CCM unavyochukiwa nchi hii. Sijui huo ushindi wa 99% kwenye chaguzi unatoka wapi!
Chuki ya wananchi kwa serikali na watawala ni jambo la hatari sana. Chuki hii ya watu wengi hutengeneza kitu katika ulimwengu...