Khanga kubwa nzito kutoka Zanzibar zinapatikana.
Material: Cotton
Bei ya Khanga: sh 20,000/=
Bei ya jumla: sh 18,000/= kuanzia Khanga 3.
Tunapatikana tabata kinyerezi/Makumbusho (Biashara ni ya Mtandaoni), tunafanya delivery. Mkoani tunatuma kwa gharama za mteja.
Contact/Mawasiliano: 0784...
Mzuka!
Kama hutojali, turingishie kwa picha idadi kubwa ya status viewers unazopata/ulizowahi kupata.
Mimi binafsi ni 000 digits, sijawahi fika 0000. (Ila picha sina).
Mufti kuku The Infinity
BICHWA KOMWE -
Maghayo
#Uzi_Tayari
Unapojenga jaribu sana kutafuta balance ya vifaa vya ujenzi na mafundi
Maiko hawezi kukataa tenda, hata ukimwambia una elf 10 ya nondo atapokea ila usije kustuka kaweka mbao 😂
Nimefuatilia sana kwanini baadhi ya wananchi wakiwemo viongozi wa dini wanapendwa sana na wananchi, kwa mfano Askofu Bagona anayefanana kichwa na msanii Mwijaku amekuwa akiisema sana vibaya serikali kwa kisingizo cha uhuru wa kutoa maoni, kauli zake zinatumiwa sana na wapinzani wa serikali...
Mimi tanzania Sina timu ila naongea kimpira Kuna timu inaitwa simba sipos kilabu au tuwaite mbumbumbu fc a.k.a makolo fc inaenda kuishia kwenye mdomo wa wasouth Africa ukweli usemwz wale waarabu wa Al masry ni wakulima wa mahindi pale misri hivyo wao na mpira ni vitu viwili tofauti Sasa...
Maeneo ya Sabasaba hapa Dodoma, majira ya Asubuhi na Jioni kuna foleni sana ya magari, hakuna utaratibu maalum uliowekwa eneo hilo.
Wakati mwingine Trafiki wanakuwepo lakini si mara zote unajikuta unakaa saa zima foleni.
Yaani hakuna utaratibu mzuri wa kuongoza yake magari pale Soko la...
Ni kwamba......
1. Hata siku moja usije Kumuamini 100% kiumbe kiitwacho Mwanamke
2. Hata siku moja usipende Kujimaliza 100% kwa Mwanamke / Mkeo
. Hata siku moja ukiwa katika Public usipende sana kumtambia Mkeo wa Watu kwani hawa Hawatabiriki
4. Hata siku moja usiyaamini maneno matamu matamu...
Khanga kubwa nzito kutoka Zanzibar zinapatikana.
Material: Cotton
Bei ya Khanga: sh 20,000/=
Bei ya jumla: sh 18,000/= kuanzia Khanga 3.
Tunapatikana tabata kinyerezi/Makumbusho (Biashara ni ya Mtandaoni), tunafanya delivery. Mkoani tunatuma kwa gharama za mteja.
Contact/Mawasiliano: 0784...
Zingatia T1 ndiyo barabara kongwe na inaanzia Dar Es Salaam mpaka Tunduma Border na kwajina lingine huitwa (TANZAM)
T1 ➡️ Dar es Salaam – Morogoro – Mbeya – Tunduma – Mpaka wa Zambia inapoendelea kama T2 (Zambia) (km 930)
T2 ➡️ Chalinze – Segera – Arusha – Namanga – Mpaka wa Kenya (km 650)...
Khanga kubwa nzito kutoka Zanzibar zinapatikana.
Material: Cotton
Bei ya Khanga: sh 20,000/=
Bei ya jumla: sh 18,000/= kuanzia Khanga 3.
Tunapatikana tabata kinyerezi/Makumbusho (Biashara ni ya Mtandaoni), tunafanya delivery. Mkoani tunatuma kwa gharama za mteja.
Contact/Mawasiliano: 0784...
Watanzania tumeshazoea siasa kwenye mambo yetu kwahiyo hata inapokuja mambo ya msingi tunataka weka siasa.
Huu uwanja wa taifa ni kweli hauna sifa kutumika kwenye mechi kubwa kwa hali uliyonayo.
Kwenye hii mechi ya Simba na Masry ukweli kila mmoja anajionea.
Uhalisia wa pitch ni tofauti...
Khanga kubwa nzito kutoka Zanzibar zinapatikana.
Material: Cotton
Bei ya Khanga: sh 20,000/=
Bei ya jumla: sh 18,000/= kuanzia Khanga 3.
Tunapatikana tabata kinyerezi/Makumbusho (Biashara ni ya Mtandaoni), tunafanya delivery. Mkoani tunatuma kwa gharama za mteja.
Contact/Mawasiliano: 0784...
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Emmanuel Nchimbi amesema hakuna mtu anayeweza kuzuia Uchaguzi Mkuu bila kujali nafasi yake, na kuongeza kuwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kina haki ya kutoshiriki Uchaguzi Mkuu 2025 kwa kuwa suala hilo ni hiyari kwao na hakuna haja ya...
Khanga kubwa nzito kutoka Zanzibar zinapatikana.
Material: Cotton
Bei ya Khanga: sh 20,000/=
Bei ya jumla: sh 18,000/= kuanzia Khanga 3.
Tunapatikana tabata kinyerezi/Makumbusho (Biashara ni ya Mtandaoni), tunafanya delivery. Mkoani tunatuma kwa gharama za mteja.
Contact/Mawasiliano: 0784...
John Mrema anadai kuwa dhana ya No Reforms no election ni kukusanya wimbi kubwa la jamii ili kuwaleta pamoja kuhimiza mabadiliko.
Kwani huko mikoani Lissu na wenzake wanafanya kazi gani? Wanakimbiza Mwenge? Wanaimba mama mama mama...Wanamsemea mama kwa kampeni ya asemewe?
Mimi hata...
Katika kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka 2030, ni muhimu kwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kutazama kwa makini makosa yaliyofanywa ambayo yanaweza kupelekea chama kusambaratika au hata kufa kabisa.
Hapa, nitajaribu kubainisha makosa hayo na kutoa mapendekezo ya marekebisho...
Waswahili husema: "Tembea uone!" Ukikaa sehemu moja tu huwezi kujua yanayoendelea katika sehemu nyingine duniani.
Jamani kuna watu wako "serious" na mambo ya rohoni. Hivi majuzi, nilipata fursa ya kusali kwa siku kadhaa katika Kanisa fulani lililoko nchi moja isiyo na vurugu vurugu.
Kanisa...
Mpo salama!
Kwa uelewa wangu nafahamu Wazalendo(wapenda nchi) wa dhati wapo popote.
Kuna Wazalendo wapo CCM.
Kuna Wazalendo wapo CHADEMA
Kuna Wazalendo wapo vyama vingine vya upinzani.
Na kuna Sisi Wazalendo ambao hatuna chama.
Ni kosa la kiufundi na ninyi Mjinga pekee ambaye atafikiri chama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.