Uongo uongo kila siku. Ooooh mossad oooh IDF. Mliambiwa hawa Israel hawana nguvu mnayoihubili kila siku hapa jukwaani. Kitendo cha US kuishambulia Iran kinamaanisha wanaunganisha nguvu kupigana na Iran kwasababu wayahudi pekee ni weupe. Na bado kuna madhabiki wa mashoga wataendelea nyimbo za...
PICHA HII ILIPIGWA JANUARY MWAKA 2010.
,, Wa kwanza kulia (waliokaa) ni Prof.Idris Mtulia, aliyekua Mbunge wa Rufiji. Anayemfuatia ni Prof.Mark Mwandosya
wakati huo akiwa Waziri wa maji na umwagiliaji. Anayemfuatia ni aliyekua mkuu wa wilaya hiyo Bw. Kassim Majaliwa.
Prof.Mwandosya akiwa...
Inasemekana kuwa kuna kanuni mpya za kulipa fao la wategemezi ambazo zimeanza kutumika mwaka huu 2025.
Hapo awali mstaafu ambae alikuwa mtumishi akifariki ilikuwa warithi wanalipwa miezi 36 ya mafao ya marehemu .
Ila sasa kanuni zinabagua kwamba watalipwa warithi amaboa wana umri chini ya...
Siku tatu zilizopita ilionekana kwamba US angeingia vitani, ila kwa hali ilivo sasa hiyo option inaenda ikipotea. Atachofanya US kuipa silaha Israel lakini sio direct involvement.
Kuna jambo limemuogopesha US kuingia kichwa kichwa, na hapo ni baada ya Iran kupiga Hypersonic bomb na pia...
Tafadhari mi si wa mbeya
Angalia takwimu hizi
Dar es Salaam: 17% (Sh32.1 trillion)
Mwanza: 7.2% (13.5 trillion)
Mbeya: 5.58% (Sh10.5 trillion)
Morogoro: 4.8% (Sh9 trillion)
Arusha: 4.7% (Sh8.9 trillion)
Tanga: 4.65% (Sh8.8 trillion)
Mbeya ni mkoa ambao hauna project kubwa ukiringanisha na...
Nikiwa Rais kutajengwa hospitali kubwa za kisasa zisizopungua nane (8)
Zitakuwa na sifa zifuatazo;-
7t (7 tesla) MRI machine @4 kwa kila hospital kwa kuanzia na baadae zitaongezeka kulingana na mahitaki
Ct scan number @12 na zitaongezeka kulingana mahitaji ya hospotali
Radiotherapy facilities...
Acha akili kubwa iendelee kuongoza dunia na itakuwa hivyo milele
Najifunza mengi sana kwenye hii vita
Ukiangalia mashambulizi ya pande zote Mbili, Iran na Israel
Huwenda uwezo wao ni mmoja tu na ama wanazidiana kidogo sana ila akili ndiyo inayoamua hii vita
Mashambulizi ya Iran yanalenga...
Niaje niaje.............hivi nyie Dstv ni watoa huduma kwenye hii tanzania kweli au mko sa? pesa mnapokea harafu mnaladhimisha mtu apande kifurushi ili agundue nini?? Ili amuangalie huyo kim kardiashian au nguzu au hizo bongo movie zenu.
Mh Rais Mstaafu Jakaya Kikwete naomba kukung'ata sikio ila pia naomba pia sio lazima chukua wazo langu mimi ni mdogo sana ila natamani kuona ccm na Taifa lina kuwa tulivu na ccm ina tawala hata kama miaka mia ila zingatia haya.
Wewe ni Rais mstaafu kama wastaafu wengine wa serikali epuka kuwa...
Baada ya agizo la Dharura, Foleni ya kuondoka Tehran imekuwa ni kubwa sana,
Trump kalazimika kukatisha mkutano unaoendelea nchini Canada wa G7 na kurudi haraka Marekani, Amewaagiza wajumbe wa Baraza la Usalama wa Taifa (NSC) wawe tayari kwenye chumba cha dharura (Situation Room)...
CHADEMA chama kikuu cha upinzani kimefail kujua dhamira kuu ya watu waliomweka Lissu ndani.
Lengo si kumnyonga kama ilivyo ada hukumu ya uhaini nchini.
Lengo ni kumpunguza speed huku mhasimu wake akipewa point 2 kipindi hichi cha mshikemshike na miezi 2 ya mwisho kabla ya uchaguzi apewe point 1...
Hapo vip!
Simba ni club kubwa na bora barani Afrika na ni ya tano sasa kwa ukubwa barani Afrika.Hivyo ni club kubwa na bora no.1 Tanzania,Afrika mashariki na kati.
Ni aibu kwa club ndogo kama yanga kutumia siasa kuharibu mpira Tanzania.
Nb: Tukumbuke yanga tokea Dunia kuubwa na kuanzishwa kwa...
In Tanzania, the right to legal representation is enshrined in various laws and constitutional provisions, and the courts have emphasized its importance in ensuring a fair trial. Any denial of this right, especially if it prejudices the accused, can have serious legal consequences.
Denying an...
Khanga kubwa nzito kutoka Zanzibar zinapatikana.
Material: Cotton
Bei ya Khanga: sh 20,000/=
Bei ya jumla: sh 18,000/= kuanzia Khanga 3 kila moja.
Tunapatikana tabata kinyerezi/Makumbusho (Biashara ni ya Mtandaoni), tunafanya delivery. Mkoani tunatuma kwa gharama za mteja.
Delivery unalipia sh...
Ni nani Leo angejua mtoto wa kimasikini kutoka Tandale angefanya Show Uingereza London na ticket kuwa sold out
In this life everything is possible keep chasing ur dreams and don't give up.
Katika picha hii nitaweka Muhtasari wa Kisa kwa Mchoro ulivyo:
1. Picha ya kwanza (kushoto juu):
Mwanaume anamuendea mtabiri wa baadaye (psychic), ambaye anamwambia namba “70323”.
2. Picha ya pili (kulia juu):
Mwanaume anaenda kununua tiketi ya bahati nasibu (lotto) akitumia...
Kama kisemavyo kichwa cha habari ntaruhusu uraia pacha sababu unafaida nyingi mfano
Uta-facilitate technology transfer
Utaongeza wigo wa skilled labour kwenye critical sector
Utaongengeza na kuchochea uwekezaji
Utatupandisha kwenye michezo sababu kuna diaspora wengi wako tayari kuchezea timu...
Nimeanzisha channel WhatsApp nataka kuandika habari za matukio ya kisiasa kijamii na kiuchumi na. Kuandika historia mbali mbali hasa wale wapenzi wa siasa so naombeni mnifollow mdogo wenu kunisapoti Asanteni...
Mkiambiwa hamna akili au wengi hamna akili. Mnawakishwa na wasio na akili. Kweli Mbunge na akili timamu anaona hitaji kubwa walilo nalo ni namba maalum za magari? Watanzania wakati huo mnashangilia Simba na Yanga.
Kwa mujibu wa Ma engineer wazuri wa ujenzi wa barabara duniani, barabara bora yenye viwango vya uhakika inayoweza kudumu kwa muda mrefu inapaswa kujengwa kwa viwango hivi;
Kinachonipa hofu ni namna ujenzi wa barabara zetu nchi nzima unavyofanyika. Nyingi hazijengwi kwa ubora huu na ndo mana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.