kubwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    JamiiForums Tanzania Nani mwingine anamuona Dkt. Bashiru kwenye nafasi kubwa sana pengine kurejeshwa kwenye ukatibu Mkuu kiongozi?

    Kwa walio na uwezo wa kuona mambo kwa jicho la tatu wataona Dkt. Bashiru atakuwa kiongozi mkubwa sana wa Taifa na anaweza kurejeshwa kwenye ukatibu Mkuu kiongozi au ukatibu Mkuu wa CCM. Hili ni mara ya pili nalisema juu ya Dkt Bashiru
  2. J

    JamiiForums Tanzania Polepole alifanya kosa kubwa kutowafichua waliomteka dada yake. Sasa na yeye ametekwa

    ..alidai waliomteka dada yake amewaona. ..na akadai anawajua waliowatuma. ..badala ya kuwaweka wazi yeye akaendelea na mambo yake. ..watekaji wakajipanga upya na sasa wamemteka. ..hili ni fundisho kwa sisi wengine tuliobaki. ..Si busara kutowafichua wahuni, na watekaji.
  3. JamiiForums Tanzania Kwa usd billion 5 tunajenga natural gas project (drilling) kubwa na tunaimudu kabisa-fahamu ecosystems yake

    Miaka 20 iliyopita Rais mkapa alifungua mlango kwa waekezaji wa madini kule kanda ya ziwa ila kwa masikitiko makubwa mpaka leo kuna umaskini wa kutisha wakazi wa kule hawaoni faida ya madini na yale makampuni- utakua upunguani kuwapa makampuni ya kigeni gesi yetu eti hatuwezi na tutakuwa...
  4. JamiiForums Tanzania Genereta kubwa linauzwa Tsh. 900,000/-

    Genereta aina ya boss kubwa naliuza tsh laki 9 tayar limetumika mwaka ... changamoto ni betri tu
  5. JamiiForums Tanzania RESOLVED KERO Janga la uhaba wa maji ni kubwa kwa wakazi wa MailiMoja – Kibaha (Pwani), shida ni kubwa mno

    Ni takribani mwezi mmoja sasa maeneo mengi ya Kibaha MailiMoja kuna changamoto kubwa ya maji na majibu ya Mamlaka ya Maji yamekuwa ya kuungaunga. Awali walitoa taarifa kuwa maji yatakoseka kwa siku chache takribani tatu hadi nne kutokana na maboresho ya mitambo yam aji, lakini ilipita wiki...
  6. JamiiForums Tanzania Kwa yanayoendelea sasa nchini, tumaini pekee la wananchi ni Jeshi

    Si mitaani, si majumbani, si vijijini si kwenye mitandao, kauli ya Watanzania kwa sasa ni moja tu, Jeshi lichukue nchi na kuionyoosha. Kauli hizi za Watanzania hazijaja bure, kauli hizi za Watanzania ni ishara ya mwisho ya kukata tamaa kwa Wananchi. Kauli hizi za Watanzania ni uthibitisho kuwa...
  7. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mzee Warioba una jukumu kubwa la kusuluhisha hili Taifa, wewe pekee ndo mzee unakubalika na umma

    Baada ya Kauli ya mzee Butiku, ambaye naamini atakuwa ametumwa na watu wa mfumo ili kumkana afande Tesha, mimi nimuombe tu mzee Warioba kuwa yeye peke yake kwa sasa ndiye akiongea kitu umma utamsikiliza, namshauri asichukue upande, asimame kama msuluhishi na ajiepushe kuuza mtaji huu muhimu...
  8. JamiiForums Tanzania China wajenga daraja kubwa kuliko yote duniani

    Wametumia miaka mitatu na nusu tu kujenga na kumaliza kabisa daraja lote, kwa mwendo huu ndio maana Wachina wameridhika na utawala wa uimla wa Wakomunisti maana ni kama wanawatendea raia wao miujiza katika maendeleo.
  9. 4

    JamiiForums Tanzania GE2025 Unaenda vipi kwenye Uchaguzi nchi ikiwa katika alert kubwa namna hii?

    Wakuu jf amani ya Bwana ikawe juu yenu kila mmoja kwa imani yake ,poleni na Tanzania pia. Kwa mara ya kwanza nchi ya tz inaweza kwenda kwenye uchaguzi mkuu katika alert kubwa , why , na nini kipo Ikulu kisa madaraka tu ambayo huwezi zikwa nayo, baki nayo milele. Leo wenda vijana wetu katika...
  10. JamiiForums Tanzania Ni nchi gani nyingine kubwa imewahi kutawaliwa na nchi ndogo hapa Afrika?

    Ukiacha li nchi hili tunalolijua ambalo lina watu milioni sabini lakini linatawaliwa na kanchi kenye watu milioni 2 nanusu! Nchi hilo ambalo limejaa wajinga wengi, yani tofauti ya msomi na asiesoma tofauti yao ni makaratasi tu. Kubwa jinga ambalo kwake gharama za matibabu na nishati ni ghali...
  11. T

    JamiiForums Tanzania Elimu kubwa vs Mafanikio ya maisha

    Simaanishi kusoma hakuna maana, bali unaweza kusoma sana kwa kiwango kikubwa cha elimu lakini ukaja kukuta kitu kilichokufanya ukapata mafanikio ya maisha kwa kuwa na utajiri hata havihusiani na elimu uliyosoma. Kuna kijana wa kisomali nilisoma nae mpaka chuo kikuu, na akaendelea mpaka...
  12. JamiiForums Tanzania Tetesi: Kuna mtu anadai kuonesha epl na ligi zote kubwa kwa bei ndogo facebook

    Kama picha zinavoonesha hapo anadai kuonesha ligi zote kubwa ulaya kwa bei nafuu tu matangazo yako facebook. Naomba ufafanunuzi kama hii kitu inawezekana anadai king'amuzi kinaitwa premium hd. Kama kuna mtu anafaham hii habari atutoe tongotongo
  13. JamiiForums Tanzania Kwanini Foxy Brown yupo underrated kwenye game la HipHop hapewi heshima kubwa anayo stahili

    Kwa nini game ya HipHop upande wa kina dada haimpi heshima kubwa sana Foxy Brown ?
  14. S

    JamiiForums Tanzania CPU mashine kubwa kabisa na mpya HP 290 G4, SSD ndani

    IMEUZWA
  15. I

    JamiiForums Tanzania Usipuuze Sauti Hizi 6 Kutoka Kwenye Kompyuta Yako — Ni Dalili Kubwa ya Hatari

    Kompyuta yako si kifaa kinachofanya kazi kimya kabisa. Ndani yake kuna fans, diski zinazozunguka, na sehemu za kielektroniki ambazo kwa kawaida hutoa sauti ndogo. Lakini pale sauti zinapobadilika ghafla kuwa kubwa zaidi, za ajabu, au zisizo za kawaida, hapo ndipo tatizo linaanza. Leo tutaeleza...
  16. JamiiForums Tanzania Ningekuwa na uwezo na kuruhusiwa na mamlaka ningejenga sanamu kubwa la TRUMP, SHEIKH ZAYED na NETANYAHU

    Sheikh Zayed wa UAE. Trump wa US Netanyahu wa Israel
  17. M

    JamiiForums Tanzania Wanajeshi wa Afrika wana tatizo kubwa la ushamba wa kuonesha ubabe kwa raia, kama mtu kakosea akamatwe sio sawa kumpiga au kumdhalilisha hadharani.

    Uvae uniform ya kijeshi hata inayofanana kwa mbali, upite sehemu yao hata kwa bahati mbaya, u overtake gari yao, n.k. wao huona ndio nafasi ya kuweza kuonea raia na kujichukulia sheria mkononi watakufuata bila kutaka kujua sababu yoyote, watakuchangia kukupa kipigo kikali, kukurukisha kichura...
  18. JamiiForums Tanzania Usiombe kuangalia mechi kwa TV alafu kuna jirani yako yeye anasikilizia kwa redio pia kaweka sauti kubwa , inakera mnoo.

    Mjini redio zinafanya nini? si mrudi kijijini mkalime.
  19. JamiiForums Tanzania Ifahamu Wizara ya Usalama wa taifa ya China na majukumu yake kwa nchi hiyo kubwa Duniani

    https://www.youtube.com/watch?v=j1UH7Yn6gSg Hii ni makala ya pili inozungumzia nchi ambazo zina wizara kamili inoshughulikia Usalama wa taifa. Wiki ilopita nilizungumzia umuhimu wa raisi ajae kufikiria kuanzisha wizara ya Usalama wa taifa ambayo itashughulikia usalama wa nchi na mipaka yake na...
  20. JamiiForums Tanzania Police nyie ni jamaa zetu na ndugu zetu pia. Punguzeni kutumia nguvu kubwa tunajua mpo kazini

    Ndiyo police nyie ni ndugu zetu na wengine ni marafiki zetu na jamaa zetu pia. Tunajua nyie mko kazani lakini punguzeni kutumia nguvu kubwa pasipo na ulazima. Tukio la leo mahakamani sio tukio la kiungwana watanzania bado ni watu ambao wanaelekezeka bila hata kutumia nguvu kubwa. Tutawatia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…