kubwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania KERO Uhamiaji kuna tatizo gani? System ya Emergency Passports Haifanyi Kazi na Passport kubwa zinachelewa

    Wasalaam ndugu zangu, KUna mambo yanayoendelea kwenye nchi yetu , unajiuliza kwa kukosa userious kwenye mambo ya msingi kweli hii nchi itapiga hatua ya kimaendeleo tunaoitamani kuiona? Mfumo wa utoaji wa document za dharura kwa ajili kusafiri ( Emergency Travel Document) haufanyi kazi toka...
  2. JamiiForums Tanzania CCM jengeni Chuo kikuu Mwanza na Hospital kubwa yenye hadhi ya nyota tano muziite CCM MEDICAL UNIVERSITY and Teaching Hospitali

    Haya mabilioni ya shilingi zenu njoeni muwekeze Mwanza mjenge Hospital ya hadhi ya nyota tano hafu mjenge chuo kikuu kikubwa Sana
  3. H

    JamiiForums Tanzania Wachina Kuichangia CCM ni Ukiukaji wa Wazi wa Mwongozo wa Makampuni ya Kigeni Yanayowekeza Nchini. CCM ni Chanzo Cha Huu Uchafu Wote.

    Mwongozo wetu kwa makampuni yote ya nje, hayaruhusiwi kujishughulisha kwa namna yoyote ile kwenye mambo ya vyama vya siasa na siasa kwa ujumla. Jambo la ajabu, tumeambiwa kampuni ya China imeichangia CCM. Hiyo tayari ni ukiukaji dhahiri wa mwongozo mkuu wa makampuni yanayowekeza nchini. Lakini...
  4. I

    JamiiForums Tanzania Wi-Fi za Umma Sio Hatari Moja kwa Moja akini Makosa Haya Huifanya Iwe Tishio Kubwa

    Wi-Fi za Umma Sio Hatari Moja kwa Moja—Lakini Makosa Haya Huifanya Iwe Tishio Kubwa Kwenye viwanja vya ndege, hoteli, au café—Wi-Fi ya bure imekuwa kama msaada wa haraka kwa wanaosafiri au wanaofanya kazi nje ya ofisi. Ni rahisi kujiunga, haraka, na hakuna malipo. Lakini uzembe mdogo unaweza...
  5. JamiiForums Tanzania Kuzaliwa sehemu ambayo si sahihi ndiyo technic kubwa sana huitumia shetani kumfanya mtu asiishi katika wito wake

    Hili jambo wenye D tatu za rohoni ndio watanielewa. Mungu ameweka vitu 3 ndani ya mwanadamu kutoka katika ofisi zake kuu 3 . Kuna karama Kuna huduma na Kuna kipawa. Vitu hivyo 3 ndivyo vinatimiza lengo la mtu kuwa duniani. Lengo la binadamu kuwepo duniani si kula, si kuabudu bali kutimiza wito...
  6. JamiiForums Tanzania kuku anayeuzwa Tsh 700,000 bei kubwa kuliko ng'ombe

    kuku anayeuzwa bei zaidi ya ng'ombe angalia kuku anayeuzwa bei kubwa
  7. JamiiForums Tanzania Kuku anayeuzwa Tsh 700,000 bei kubwa kuliko ng'ombe

    https://www.youtube.com/watch?v=GmJyilSz9i0&t=71s kuku anayeuzwa bei zaidi ya ng'ombe
  8. JamiiForums Tanzania Mke wa Ndugai hayupo sawa asaidiwe naona amepata hofu kubwa sana .

    Nimetazama Clip ya Mke wa Ndugai . Nimeona anahitaji msaada wa karibu wa kiroho na kisaikolojia. Msipuuze ujumbe huu watu ambao mpo Karibu na huyo mama. Kuna kitu anapitia ambacho either kinampa fear of unknown na kumpa guilty.
  9. JamiiForums Tanzania Huku Yanga Vs Esperance de Tunis kule Simba vs Al hilal, Yupi ana nafasi kubwa kupita?

    Mfano ikitokea hivyo itakuwaje?
  10. JamiiForums Tanzania Jumanne Kaseja ni akili kubwa na hakuna mtu anamuweza hapa Bongo

    Kelele ni nyingi Ila Jumanne Kaseja hakuna MTU anamuweza hapa Tanzania.
  11. JamiiForums Tanzania KERO Madereva wa gari za Abiria Mbeya - Kyela wadai Maafisa wa LATRA wamekuwa kero kubwa kwao

    Usafiri wa gari za kutoka Jiji la Mbeya kuelekea Wilayani Kyela uliyumba kwa saa kadhaa jana Agosti 7, 2025 baada ya madereva wa magari ya abiria kugoma, wakilalamikia kero, usumbufu na faini kubwa zisizoendana na uhalisia na hali ya kipato chao kutoka kwa Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini...
  12. JamiiForums Tanzania FREM KUBWA YENYE MOVIE LIBRARY NA KLA KITU INAUZWA MBEYA[NZOVWE],TANZANIA

    Sold
  13. JamiiForums Tanzania Bila Shaka wajumbe wa CCM wamefanya kazi kubwa kwa niaba ya watanzania!

    Nikiri katika mwaka huu wa kiuchaguzi wajumbe wa CCM wenye mamlaka ya kuchuja na kupendekeza majina ya wagombea ambao hatimaye ndio huchaguliwa kuwa wawakilishi wetu wamefanya kazi kubwa sana na ya kizalendo mno. Nawashukuru!
  14. H

    JamiiForums Tanzania Watazania mkitaka kesi za wapinzani ziishe mapema i.e: Lissu msizipe nafasi kubwa na kuzijali

    Ni wazi kesi dhidi ya wapinza zinatengenezwa na serikali kwa kushirikiana na wapinzani husika i.e:Lissu kwa maslahi ya viongozi wa serikali au chama tawala na viongozi wa upinzani ambao ni sehemu ya ccm. Nakuhakikishia kesi hizo ni za kutungwa na viongozi wa upinzani wako kazini kwa masilahi ya...
  15. JamiiForums Tanzania Mpina kafanya kosa kubwa sana kuhama ACT. Aliyemkata jina CCM, ndio huyo huyo atakeyemkata kuwa Mbunge

    Ni Kweli MPINA Hauna Mpinzani KISESA hili liko wazi Ila ilikupasa ukubaliana na Ukweli kua chini ya SAMIA SULUHU hutakiwi kua Mbunge Kwa Namna yoyote Ile . Angetaka uwe Mbunge ,asingekukata, Angekubakisha CCM, ila alikukata Licha ya yeye kujua ukweli kua unakubalika. Kilichomfanya akukate...
  16. JamiiForums Tanzania Kazi anayoifanya Malisa Gj ya kurudisha tabasamu kwa jamii , ni kazi kubwa sana ambayo hakuna waziri wala Mbunge ambaye ameweza kuifanya.!.

    Vijana Kama hawa ni hazina kwa TAIFA , kwakuwa ukihesabu watu waliosaidiwa kupitia kwa Malisa GJ hawahesabiki. Huyu ni zaidi ya Mbunge na waziri
  17. JamiiForums Tanzania "CONTEMPORARY DESIGN (HIDDEN ROOF) ni chaguo kali sana – inakupa nafasi kubwa ya ubunifu na kuifanya nyumba yako iwe ya kipekee. Ila ujue ni ghali

    "CONTEMPORARY DESIGN (HIDDEN ROOF) ni chaguo kali sana – inakupa nafasi kubwa ya ubunifu na kuifanya nyumba yako iwe ya kipekee. Ila ujue, gharama yake ni juu kidogo kulinganisha na za kawaida!" check out this 4bedrooms with balconies call/whatsap us +255624004650 design and construction...
  18. JamiiForums Tanzania Kujaamiana na mke wangu,kwangu ni tendo la furaha na hadhi kubwa sana

    Tunapolifanya tendo hili na wake zangu,ni tendo la furaha kubwa na hadhi ya juu sana: 1.Kila mmoja wetu huwa na shauku la kulifanya na kila mmoja anataka kujua mwenzie atakuja kujaje,staili gani 2.Kila mmoja huwa anamtaka mwenzie kwa hamu kubwa 3.Tunapolifanya hulifanya kwa kushambuliana sana...
  19. JamiiForums Tanzania Mbinu mojawapo kubwa ya kupunguza ghalama za ujenzi ambayo inasahaulika kusemwa

    Mbinu mojawapo kubwa ya kupunguza ghalama za ujenzi wakubwa Heshima kwenu leo nakusogezea hii huwa haisemwi Mbinu kubwa ya kupunguza gharama ya ujenzi: Tumia Interlocking Stabilized Soil Blocks (ISSBs) badala ya matofali ya kawaida au mawe ya saruji. ✅ Faida za ISSBs: Hakuna haja ya kutumia...
  20. R

    JamiiForums Tanzania Video: Madaktari Wakiendelea na Upasuaji wakati wa Tetemeko Kubwa la ardhi Urusi

    Video ya kushangaza kutoka Petropavlovsk-Kamchatsky, Urusi, imeonyesha madaktari wakiendelea na upasuaji wa mgonjwa wakati tetemeko kubwa la ardhi lenye ukubwa wa 8.8 likitokea leo Julai 30, 2025 katika pwani ya mashariki mwa nchi hiyo Licha ya mtikisiko mkubwa uliosababisha tahadhari ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…