kubwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Tunapotaka kutumia nguvu kubwa Kupindua Meza kwa Kaizer Chiefs FC je, tunaoenda kukutana nao Semi Finals tutawaweza?

    Najua kuanzia sasa nguvu Kubwa ya Kupindua Meza (kwa Fitna za nje ya Uwanja) zitaanza Kutumika ili Kuwafunga Kaizer Chiefs FC Wikiendi ijayo huku tukidanganywa sana kuhusu uwezo wa Timu yetu na Kuaminishwa mno na Kauli Mbiu za Kibabe za Kuujaza Uwanja ili Mapato yapatikane wakati wenye Kuujua...
  2. M

    Wanawake hasa wa miaka hii ya utandawazi wakifanikiwa kama wapo kwenye uchumba au ndoa lazima iteteleke (asilimia kubwa sio wote)ipo

    Habari zenu wandugu.. Nimependa nilete hii mada. Hivi ni kwanini wanawake wanashindwa kumudu mafanikio hasa wa miaka hii ya utandawazi. Mfano wa kweli kuna watu wengi nawafahamu wanawake zao baada ya kufanikiwa wakavunja mahusiano.. Pia hata Mimi ishawahi nitokea kuna binti nilikuwa nae...
  3. Hongera Mtaka: Ni heshima kubwa kwako kuwa Mkuu wa Mkoa Dodoma

    Ndugu Anthony Mtaka, Dhamana ya kupelekwa Dodoma ni kubwa sana kuliko kama ungepelekwa Dar. Umepelekwa Makao Makuu Rais ameonesha Imani kwako na uwezo wako kuwa juu ya siasa. Nakutakia Kila la kheri kujenga Makao Makuu.
  4. J

    Kuhamishwa kwa DPP ni pigo kubwa kwa Nusrat Henje na akina Halima Mdee

    Ulinzi wa ubunge wa akina Halima James Mdee na wenzake ulisimama katika mafiga matatu ya "kimkakati" yaani Spika, AG na DPP tena kikujuana zaidi. Figa moja binafsi limetenguliwa lakini litaletwa figa lingine kiofisi zaidi. Siku zote utatu mtakavitu ukitibuliwa kinachofuatia ni majanga...
  5. K

    Rais Samia azindua Kitabu cha Maisha ya Rais wa Tanzania wa Awamu ya Pili, Ali Hassan Mwinyi

    Mama Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania anategewa kuwa mgeni rasmi siku ya uzinduzi wa kitabu Cha maisha ya rais wa awamu ya pili Alhaj Ali Hassan Mwinyi al maaruf Mzee Rukhsa. ======== Rais wa Tanzania Samia Suluhu anatarajia kuwa Mgeni rasmi kesho May 08, 2021...
  6. Utawala wa Rais Samia umetia aibu kubwa sana,usipewe msamaha

    KITENDO cha kuahirishwa kwa pambano la Simba na Yanga lililokuwa lichezwe jana kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, kumewafanya wadau wa soka kucharuka na kudai ni aibu kubwa kwa soka la Tanzania, kwa mechi kuahirishwa kienyeji kwa sababu za kisiasa, huku wengine wakisema kuna kitu nyuma ya...
  7. Ili kutumia vyema rasilimali za taifa letu ilipaswa ijengwe Hospitali kubwa Mkuranga kumuenzi Mzee Ally Hassan Mwinyi

    Nimeshangazwa sana na uamuzi wa kumzawadia mzee Ally Mwinyi gari aina ya Mercedes lenye thamani ya mil 450. Kwani kwa umri wake huyu mzee anahitaji gari kama hilo la nini? Kama magari aliyashayatumia sana tena ya kila namna. Kwanini ili kuenzi utumishi wake uliotukuka usingejengwa hospitali...
  8. N

    Mchungaji Msigwa aliwahi kusema "akili ndogo inaongoza akili kubwa" - siasa hizi bhana

    Wale wabunge wanaojinasibu kuwa ni vichwa lakini ni darasa la saba tu sio tu hao Mchungaji Msiwa aliwasema. Bali hata viongozi wengine ambao hawatumii kabisa akili zao na kuelimika kwao (darasani) kufanya mambo ya kama hawajaelimika kabisa. Hawa watu ni dizaini ya Ndugai - yaani wanawategemea...
  9. Takwimu za Serikali zinaonyesha 6% tu ya Watanzania ndio wanaolipa kodi

    Takwimu za serikali zinaonyesha Watanzania sasa wako ama wanakafiriwa kuwa Milioni 60. Kwenye takwimu hizo, wazee ni Milioni 2 na ushee ila hawajafika Milioni 3. Wazee wa kuanzia umri wa miaka 61. Maximum ni Milioni 3. Kwenye hizo takwimu ina maana nguvu kazi ni watu Milioni 57, yaani ambao...
  10. Sheikh Mkuu Zuberi jenga shule kubwa badala ya misikiti mikubwa

    Idadi ya wiaslamu wako kwenye vyuo vikuu, ofisi za umma na sehemu zote za utumishi ni ndogo sana kulinganisha na watu wa dini nyingine. Bila shaka pamoja na mambo mengine ya kihistoria, imani, ukabila, ukanda na kiuchumi lakini idadi ndogo ya watoto wa kiislamu kwenye vyuo vikuu ukilinganisha...
  11. K

    Tofauti ya Hayati Magufuli na Rais Samia

    1. Hayati alipenda CCM kuliko Tanzania. Mama anapenda Tanzania kuliko Chama chake 2. Hayati aliogopo yeyote ambaye akubaliani naye. Mama alishazoea siasa za makubaliano kule Zanzibar hivyo haogopi wapinzani 3. Hayati aliwaogopa upinzani kuliko uwezo wao. Mama anajua nguvu ya upinzani inaishia...
  12. Klabu sita zaingia katika vita kubwa ya kutaka kumsajili Aguero

    Everton imejiunga na Chelsea, Leeds United, Tottenham, Barcelona na Inter Milan ambao wanataka kumsajili mshambuliaji wa Argentina Sergio Aguero, ambaye atapatikana kwa uhamisho huru atakapoondoka Manchester City msimu wa joto. (Daily Star on Sunday). Mshambuliaji wa Misri Mohamed Salah...
  13. Happy Birthday Joseph Mbilinyi Mbunge uliyeiletea heshima kubwa Mbeya , Mungu akupe Maisha Marefu

    Miaka ya zamani kidogo wanamuziki wa Hip Hop walionekana wahuni ambao zaidi ya kuimba na kuvuta bangi , hawakuonekana kama wanaweza kuongoza hata familia . Lakini wewe Sugu , Jongwe ambaye pia unaitwa RAIS WA MBEYA , ulifutilia mbali mawazo hayo ya kizamani na kuonyesha mfano uliotukuka kwa...
  14. G

    Dhana ya udini, ukabila na ukanda wa CHADEMA

    Bob Nyanga Makani ni mmoja wa waasisi wa CHADEMA, ni Msukuma, Mwislamu kutoka Kutoka Shinyanga na katibu mkuu wa Kwanza wa CHADEMA. Katibu mkuu ndiye mwenye siri zote Chama, ndiyo anakaa na mafaili yote, ni mwajiri wa wafanya kazi wa makao makuu nk. Nimejifunza mambo yafuatayo. Mosi, Kama...
  15. L

    Kuna hatari kubwa wa kuuendeleza Umagufulism bila ya Magufuli

    Tulitazamia mabadiliko makubwa kabisa wa mfumo wa kiongozi na namna ya kuendesha Serikali katika awamu hii ya sita lakini mambo yameenda visivyo kabisa kwani kuna mabadiliko machache sana yaliyotokea hadi hivi sasa lakini karibu asilimia85% ya nchi yetu mfumo unaotumika ni mfumo wa serikali...
  16. Binafsi naona hii ndiyo faida kubwa ambayo Tanganyika inapata kupitia Muungano

    Faida ya kupata sehemu ya bahari, yaani exclusive economic zone(EEZ). Kisheria mile 200 kutoka pwani ya nchi ni eneo la kiuchumi la nchi husika. Hapo inamaana kilomita kama 320 kutoka pwani ya Tanzania bara kuingia bahari ya Hindi ni eneo letu la kiuchumi. Mafuta na uvuvi wa eneo hilo ni wetu...
  17. Huenda Mwenyezi Mungu sasa katuchoka Wanaume na ameamua kuwainua Wanawake katika nyadhifa kubwa za kiuongozi Duniani ili tujifunze kwao

    Huko Marekani kwa mara ya Kwanza katika Historia yao Makamu wa Rais wa sasa ni Mwanamke Kamala Harris. Nchini Tanzania kwa sasa na haikuwahi kutokea Rais wa nchi ni Mwanamke Mama Samia Hassan. Huko nchini Kenya pia katika Historia yao kwa mara ya Kwanza leo imempata Jaji Mkuu Mwanamke Martha...
  18. Nahitaji msaada: Nachelewa kupata hisia katika mambo mbalimbali

    Kabisa nahisi nerves system zangu zina shida. Either ni kuna uzembe flani unakuwepo au kuna hitilafu. 1. Nilianza tu kama kitu kidogo nachelewa kusikia maumivu yaani naweza kanyaga mwiba then nikatembea baada ya dk kadhaa mbele ndo nasiki maumivu kama nimekanyaga kitu kikali. Wakati nlikanyaga...
  19. CORONA toka India, tuchukue tahadhari kubwa!

    Kumbumbu zangu zinasema CORONA iliingia kwa nguvu toka India mwaka jana, baada ya kuwepo tamasha la Diwali lililoalika watu toka India kwa wingi. Tanzania na India tuna mahusiano makubwa ya kibiashara na watu wengi huja na wengine kwenda India. Sasa hivi gonjwa la covid linatesa huko India...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…