kubwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    JamiiForums Tanzania Ni faida kubwa kwa Yanga kutoka sare na Mbeya City

    Hii ni kwasababu: Mbeya City ni moja ya timu inayotoa upinzani, hivyo matokeo ya mechi baina ya hii timu na timu zingine zinazofukuzia ubingwa, ni matokeo decisive katika kuja kutoa bingwa. Kwa maneno mengine, timu vigogo(Simba, Yanga na Azam) ni lazima zihakikishe zinaishinda ama kutoka sare...
  2. JamiiForums Tanzania Saratani ni tishio, bado bei ya tumbaku ni kubwa kuliko pamba, chai na katani

    Wizara ya Afya imetaja matumizi ya tumbaku kama moja ya sababu ya watu kupata saratani. Hata hivyo bei ya zao la tumbaku ni kubwa kuliko mazao mengine ya biashara katika soko la dunia Kwa takwimu za kuanzaia Januari 2015 hadi Septemba 2021, wastani wa bei ya tumbaku ni Dola 4.7 kwa Kilogram...
  3. JamiiForums Tanzania Ushauri: Job Ndugai karibu CHADEMA, utapata heshima kubwa kwa kusimamia misingi ya katiba na kuhoji harufu ya ufisadi. Utapata kick kubwa

    Nadhani hukujua kuwa wanaCcm kuwa ni watu wabaya na wenye unafiki kiwango cha Phd. Hukufanya kosa lolote kuhoji na kueleza unavyoumia baada ya Rais Samia kukopa pesa kwa ajili ya ujenzi wa madarasa ili hali kuna tozo na kodi. Walikuvizia, ukaomba msamaha kinafiki kama walivyowanaCCM na...
  4. JamiiForums Tanzania Maoni: Kutokana na ongezeku kubwa la walimu walioko mtaani, napendependekeze udahili wa idadi ya walimu wanaojiunga kusomea ualimu upunguzwe.

    Habari za wakati wakuu. Poleni na majukumu ya ujenzi wa taifa. Nikienda kwenye mada. Ni maoni yangu kwamba kutokana na ongezeko kubwa la walimu mtaani. Naona iko haja kwa serikali na taasisi za elimu ya juu kupunguza idadi ya wanaodahiliwa kwenda kusomea ualimu. Kwamba idadi ipunguzwe, mfano...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Usikubali heshima kubwa kanisani mtizame Mungu, isipokuwa tu kama unaheshimika na huna Fedha wala madaraka

    Kesho ni siku ya kuabudu na kumtukuza Mungu. Simaanishi kwamba siku nyingine sifanyi hivyo Ila ninaposali Mimi jumapili ni siku maalumu ya ibada. Nimewiwa kuwaomba wanaoingia kanisani kuanzia kesho wajitafakari kuhusu heshima wanayopewa, je heshima inatokana na wao wanavyomytumikia Mungu au...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Makomando na askari wa karne hii ni watu wenye nguvu za mwili au wanapaswa kuwa watu wenye upeo mkubwa wa kufahamu mambo(IQ kubwa)?

    Wakati tunapita JKT miaka 80+ kigezo Cha uaskari kilipimwa Kwa mambo yafuatayo; 1. Urefu 2. Mwonekano wa umbo 3. Uwezo wa kupiga paredi 4. Smartness Kwa maana ya unadhifu wa mavazi. 5. Unoko Watu wenye sifa zilizoelezwa hapo juu bila kujali uwezo wao wa kufikiri,kupambanua mambo na kufanya...
  7. JamiiForums Tanzania Wanafunzi wanaosoma katika shule ya msingi Kododo mkoani Morogoro, wapo katika hatari ya kuangukiwa na madarasa

    Wanafunzi wanaosoma katika shule ya msingi Kododo Tarafa ya Mgeta wilaya ya Mvomero mkoani Morogoro, wapo katika hatari ya kuangukiwa na madarasa wanayoyatumia kufuatia madarasa hayo ambayo yamejengwa kwa mawe tangu mwaka 1970 kuanza kupasuka kisha kudondosha mawe. Chanzo: EastAfricaTv...
  8. JamiiForums Tanzania Wamachinga kuwekwa kundi moja na wanawake watoto na walemavu ni matusi kwao

    Nimesikia kwamba wamachinga wamewekwa kwenye wizara inayoshughulikia wanawake,wazee, watoto na kundi Maalumu (walemavu). Nafahamu kuna baadhi ya wamachinga wachache ni walemavu na wanaweza kufall kwenye hiyo wizara kusaidiwa. Nafahamu pia sio walemavu wote hawajiwezi kuna baadhi yao wachache...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Imani kubwa ya Wachina kwa Serikali yao imethibitisha nini?

    Shirika kubwa zaidi la mahusiano ya umma duniani la Edelman, hivi karibuni limetoa ripoti ya mwaka 2022 ya “Edelman Trust Barometer”, ikionesha kuwa imani ya Wachina kwa serikali yao imefikia 91%, na kushika nafasi ya kwanza duniani. Katika miaka ya karibuni, nchi za Magharibi zimekuwa...
  10. D

    JamiiForums Tanzania Wiki ya sheria Tanzania: Je, Ibara hii ya Katiba inahitaji Elimu kubwa kiasi gani kuielewa?

    IBARA YA 149 (1) c YA KATIBA YA TANZANIA; Mtu yeyote mwenye dhamana ya kazi yoyote iliyoanzishwa na katiba hii. " ... Ataweza kujiuzulu kwa kutoa taarifa iliyoandikwa na kutiliwa sahihi kwa mkono wake, kwa kufuata masharti yafuatayo:- C) Iwapo mtu huyo Ni SPIKA au NAIBU SPIKA wa Bunge, basi...
  11. JamiiForums Tanzania Je, wajua bei ya Tumbaku kwenye soko la duni ni kubwa kuliko chai

    Kama unataka kuingia kwenye kilimo ni muhimu kujua bei za soko za bidha unazotaka kujihusisha nazo ili kujua zao ambalo litakulipa zaidi na ukajikwamua kiuchumi Kwa takwimu zilizopo bei ya Kilo moja ya Tumbaku ni kubwa kuliko bei ya Chai. Kwa kipindi cha 2002 hadi 2021 Tumbaku iliuzwa kwa...
  12. JamiiForums Tanzania Je, wajua Bei ya Arabica ni kubwa kuliko Robusta?

    Kwa bei za kahawa zilizoanishwa na Benki ya Tanzania, kuanzia mwaka 2002 hadi mwaka 2020 bei ya kahawa aina ya Arabica imekuwa kubwa kuliko bei ya robusta kwa mauzo ya kilogram moja kwa Dola za kimarekani Wastani wa bei ya kahawa aina ya Robusta ni Dola 1.7 kwa kg wakati Arabika ikiwa ni 3.2...
  13. JamiiForums Tanzania Austria: Kuanzia mwanzoni mwa mwezi wa Februari, wale ambao hawajachanjwa watatozwa faini kubwa

    Baada ya wiki chache, chanjo ya watu wazima itakuwa ya lazima nchini Austria. Kuanzia mwanzoni mwa mwezi wa Februari, wale ambao hawajachanjwa watatozwa faini kubwa. Tangazo hili lilitolewa Jumapili hii, Januari 16, na Kansela wa Austria, Karl Nehammer. "Tutapitisha wajibu wa...
  14. JamiiForums Tanzania Dada zetu fungukeni mtuambie ukweli. Je, size kubwa ya uume ndio mnaridhika kimapenzi?

    Inachanganya sana maana wanawake wengine wanasema size sio ishu maana raha ipo juu na cha msingi mtu ajue kutumia dudu. Wengine wanasema size kubwa ndio kila kitu. Huku wakiponda wnanaume wenye size ndogo. Sasa upi ni ukweli? Maana kila kukicha wanawake wanachepuka hovyo na huku ugoni...
  15. JamiiForums Tanzania Tujikumbushe chama kubwa linavyojua kujipanga hii ilikuwa 2002

  16. JamiiForums Tanzania Je, kuna Mall Kubwa itajengwa Darajani Unguja - Zanzibar?

    Baada ya kufurumushwa wafanyi biashara ndogondogo a.k.a wachuuzi/machinga na kuwekwa uzio wa mabati, wananchi wengi walitazama eneo hili kama sehemu sahihi ya kuwa na jengo la mfano litakalokuwa na huduma za kila aina kama zilivyo Mall nyingine huko duniani. Nilinasa picha hizi kwa mbali...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Timu kubwa hucheza kikubwa na timu inayocheza kibingwa hushinda mechi aijalishi imechezaje na katika mazingira yapi

    Nimeona yanga kwenye mechi ya coastal union nimejiridhisha kwamba msimu huu wamepania kufanya jambo ktk kuupigania ubingwa waliopoteza misimu 3 iliyopita, kuna kauli nazisikia zikisema yanga ilizidiwa umiliki wa mpira na coast lakini asiyeelewa ni kwamba yanga walikwenda mkwakwani wakijua ni...
  18. JamiiForums Tanzania Tatizo kubwa la kitochi 4G za tigo ni anaganda baada ya matumizi. Nimeambatanisha picha

    Hili limekua tatizo kubwa sana kwa simu za kitochi 4G ukiitumia baada ya muda Fulani Kanaganda yaani ukiiwasha haiwaki inaishia hapo tu kwenye "karibu tigo". Je, unaweza kutumia mbinu gani kukatengeneza mwenyewe bila kwenda kwa fundi ikiwa una laptop. Maana hata ukikatengeneza baada ya muda...
  19. JamiiForums Tanzania Wachezaji wa kitanzania wenye thamani kubwa.

    Katika kwenye transfer website wafuatao ni wachezaji wa kitanzania Africa wenye bei kubwa.
  20. JamiiForums Tanzania Rais Samia leo kafanya kosa kubwa sana. Huwa hatukunjui makucha kwa waliotukosea

    Leo Samia amefanya kosa kubwa sana kwa kitendo chake cha kujibu mashambulizi kwa Ndugai. Hii mbungi ya Ndugai ndo ilikuwa chance kubwa ya mama kuwajua maadui zake kwa kirefu. Mama angepaswa kuwa soft kabisa kwa siku ya leo. Na ingependeza kama angeanza kumshukuru kwa dhati Ndugai kwa kuomba...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…