kubwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    JamiiForums Tanzania KERO Tembo bado ni tatizo kubwa kwa Wakulima wa Liwale

    Kwa takribani miaka mitano sasa, tembo wamekuwa wakiingia katika mashamba ya wakulima wa Liwale na kuharibu mazao, ikiwemo mikorosho. Je, mamlaka zimeshindwa kudhibiti tatizo hili, zinafanya makusudi, au hazina uwezo wa kulitatua? Mpaka lini wakulima tutaendelea kupoteza mazao na kuhatarisha...
  2. JamiiForums Tanzania Hakuna mtu aliyetenda dhambi kubwa duniani kama aliuegundua kuweka sponji kwenye sidiria.

    Yaani, ukiwa pale mashati bar njia panda ya mbweni huwezi kuamini macho yako. Dah! One man down, tena leo jumatatu mchana sijui ndio amekuja kula lunch alafu akamalizie pale DM Lounge. Nawasilisha
  3. JamiiForums Tanzania SERIKALI NI DUDE KUBWA SERIKALI NI NDOA.

    Ndugu zangu tunajisahau sana, kila kukicha mnalichokonoa hili Dubwana. Raia wote mnapaswa kujua Hatari kubwa sana inaweza kupata endapo utataka shindana na Serikali. Kwa uhalisia Serikali yoyote dunian inapaswa kuwa na nguvu kukabiliana na maadui wote wanaoonekana na wanaofikirika. Kuna madhara...
  4. A

    JamiiForums Tanzania KERO Mipeko - Mkuranga umeme ni mdogo, mwaka wa pili sasa TANESCO wameahidi kuweka Transformer kubwa

    Wakazi wa Mkuranga Mkoani Pwani maeneo ya Mipeko (MSIKITI wa KIPATI) tuna changamoto ya umeme, ni mdogo sana (low voltage) ni shida, ikifika Saa moja Jioni unakatika na kurejea Saa 6 Usiku. Giza linasababisha kutokuwepo kwa usalama katika baadhi ya maeneo, watu wanafanyiwa uhalifu. Umeme...
  5. U

    JamiiForums Tanzania Kwanini Wachaga Kila ofisi kubwa wapo, na position nyeti wapo

    Hii nchi bwana, Wachaga sijui kwanini Kila taasisi au sehemu nyeti serikalini wapo wamejaa kibao, unaweza sema wanapendelewa na mfumo, lakini hii si kweli, Wachaga wamejaa kwenye maofisi ya serikalini, na binafsi , ila vyeo vikuu vya kisasa hawapati. Huwezi kukuta mchaga Raisi, Mchaga Waziri...
  6. JamiiForums Tanzania Wanangu wa CODE!!+ Kuna habari kubwa sana, itatokea nchini hivi punde, zingatia neno habari kubwa sana!!! Watu wapo kwenye feature!!

    Wanangu wa CODE!!+ Kuna habari kubwa sana, itatokea nchini hivi punde, zingatia neno habari kubwa sana!!! Watu wapo kwenye feature!!
  7. R

    JamiiForums Tanzania Tangu lini watawala wa ccm wakawa na uchungu na wananchi! EL NINO kwao ni fursa kubwa ya kupiga hela na most likely "zimeshapigwa".

    Bilioni 700 ni pesa zimeshagawanywa ...ni fursa...vikao nadhani vimeshakula robo! ☺️ ☺️:CarltonPls: Time will tell!
  8. JamiiForums Tanzania Hadi leo waafrika lukuki wanajiuliza kazi kubwa iliyokuwa inamfanya biggy kukutana na viongozi wa juu afrika ni ipi?

    jamaaa alikuwa muwekezaji kama dangote au alikuwa ni mtu wa tenda na supply za kimataifa?
  9. JamiiForums Tanzania idadi ya watu waliokufa na walio hai ipi kubwa?

    Wasalaam.Kutokana na Theory na vyanzo mbali mbali vya kidini na kisayansi huthibitisha dunia iliumbwa miaka mingi iliyopita.Je watu waliokufa wakafufuliwa leo idadi yao itazidi walio hai? Naomba wataalamu mnijuze
  10. JamiiForums Tanzania Kwa herini JF juzi nilienda hospital ya mhimbili nikagundulika na tatizo kubwa

    Madaktari bingwa waligundua 🤔 Sina mfupi wa kuishi , tatizo langu ni vibe la kulewa na kuwazindua , na daktari amesema niendelee tu nawazibua kwa afya zao
  11. JamiiForums Tanzania Masauni Atoa Siku Saba Kukamilisha Tuta La Mto Lumemo, Aonya Athari Za Mvua Kubwa

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mhe. Mhandisi Hamad Yussuf Masauni, akizungumza na Wananchi wa Kata ya Ipangalala pembezoni mwa Mto Lumemo wilayani Kilombero mara baada ya kumaliza ziara ya siku mbili mkoani Morogoro, kukagua hatua mbalimbali zinazochukuliwa...
  12. JamiiForums Tanzania Kwa nini Tanzania tusingeanza ujenzi wa Industrial Parks nyingi kubwa kila pembe ya nchi hata 20+?

    Kwa nini Tanzania hatupo serious na ujenzi wa viwanda licha ya population yetu kuwa kubwa na kukua kwa kasi Kwa nini tusitake advantage ya population yetu wenyewe inayokua sasahivi tukaanza kujenga viwanda vingi nchini na kuuza products humuhumu? Kwa mfano sasahivi ingependeza uwepo mradi wa...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Inakuwaje mifugo kuwa na bei kubwa hvi

    Short and clear Ipo hivi, ukitoa mambo mengine yote ninayoweza kufanya Kwa ajili ya kujipatia kipato na kuchangamsha akili basi ni ufugaji wa ngombe wa maziwa ,samaki, kuku na samaki na kilimo kiufupi nafurahia Sana kwenda mashambani na kukaa huko,inanisaidia Sana kupunguza stress, uchovu na...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Inakuwaje mifugo kuwa na bei kubwa hvi

    Short and clear Ipo hivi, ukitoa mambo mengine yote ninayoweza kufanya Kwa ajili ya kujipatia kipato na kuchangamsha akili basi ni ufugaji wa ngombe wa maziwa ,samaki, kuku na samaki na kilimo kiufupi nafurahia Sana kwenda mashambani na kukaa huko,inanisaidia Sana kupunguza stress, uchovu na...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Ni aibu kubwa kwa serikali na nchi kumfungia kufanya sanaa mtu anayepambana kurekebisha hali mbaya iliyopo ya mmomonyoko wa maadili katika jamii.

    Wanaume wote wapo pamoja na dudu baya. Wamama,wadada hadi wabibi wanaowapenda na kujivunia vijana wao wakiume,wanaunga mkono kampeni ya dudu baya. Kwa kifupi watanzania wote [ukiwatoa mashoga,wasagaji na basata] ya serikali ndio hawaoni jambo jema,tukufu na la kheri analofanya dudubaya. Hii la...
  16. JamiiForums Tanzania Watumishi wa Umma wanalojambo kubwa sana La kumshukuru Rais Samia Suluhu!

    Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni, Katika kundi ambalo limeneemeka miongoni mwao ni kundi la watumishi wa Umma, Rais amelitendea haki na kuhakikisha wanapata stahiki zao, Lipo jambo kubwa sana la Kumshukuru Mheshimiwa Rais na Amiri Jeshi mkuu, Mungu akubariki sa uendelee kuwakumbuka na...
  17. JamiiForums Tanzania Chacha, ni kweli tunajua Serikali na Vyombo vyake ni Mali ya chama Cha mapinduzi lakini kututamkia hadharani ni dharau kubwa kwa watanzania

    Hivi kwa matamshi haya tutegemee Kuna siku CCM itatoka madarakani? Je tutegemee Tundu Lissu atatendewa Haki? Je tutegemee watanzania kupata mabadiliko ya katiba? Huko CCM mkiwa mnachagua viongozi muangalie na watu wa kuwateua sasa imagine Huyu hajui hata mipaka ya Serikali na Vyombo vyake...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Ni wapi naweza kupata router ndogo ya 5G inayoingiza laini zote, hizi router tunazopewa ni kubwa kama matunguli 😀

    Tulishazoea hapo zamani unabebakarouter kako kirahisi Lakini hizi router za 5 G kubwa kama matunguli 😀 Ni wapi naweza kupata router portable
  19. JamiiForums Tanzania Alinitesa ila nilitoka kidedea na somo kubwa.

    Katika kukuwa niliamini kuwa ukiona watu wawili wameoana na kuishi pamoja sio by chance... Yaani kuna some sort of intervention wao kukutana, kuoendana na kuishi pamoja. Sasa kuna msichana mmoja ambaye kanitesa, akiniyumbisha na kunifanya nipitie tanuri la moto.. Ni kama nilikuwa nimerogwa kuwa...
  20. JamiiForums Tanzania Kosa Kubwa Kupata Kufanywa na Serikali Yetu Katika Historia ya Nchi Hii ni Kutokuionyesha KESI YA LISSU LIVE KWA SASA

    Kama nchi bila kujali yapi yatakuwa Matokeo ya mwisho, yaani Hukumu kwa kesi ya Uhaini ya Tundu Lissu kutokuionyesha na kuweka kumbukumbu ya documentary ya video. Hakika hii ilikuwa daresay la Aina yake katika mifumo yetu ya sheria na mienendo ya uendeshaji ambayo ingeingia katika historia kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…