kuboresha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    KERO Baraza la Madaktari Tanganyika (MCT) liwajibike katika kuboresha masuala ya Kimtandao, wanatukwamisha

    Kwanza nitangulize shukrani zangu kwa JamiiForums kwa kuwa siku moja baada ya lile chapisho lililoletwa na member kuhusu Baraza la Madaktari Tanganyika (MCT) kuharakisha kutoa matokeo ya Mtihani wa Leseni (Post Internship Examination) ya Madaktari uliofanyika Desemba 17, 2025, tuliona jambo...
  2. U

    Nahitaji mkopo kwa ajili ya kuboresha shule yangu ya day care

    Habari ndugu wanaJF wenzangu mimi ni mgeni humu ndani. Nimejulishwa jukwaa hili na rafiki yangu wa karibu baada ya kumuelezea changamoto nazopitia katika ofisi yangu. Kiufupi ni kwamba mimi ni msichana umri miaka 25 nimemaliza shahada ya ualimu mwaka juzi. Baada ya kukaa mtaani kwa takrban...
  3. Natafuta Ajira

    Kijana, usicheleweshe maendeleo yako kwa ajiri ya kuboresha maisha ya girlfriend

    Siku moja dogo mmoja hivi alinifuata kuniomba nimkopeshe laki moja kwa ahadi kwamba atanirudishia hela yake ya boom ikitoka. Sababu ya kuhitaji hiyo hela anataka kumalizia ada ya demu wake ili aweze kufanya mitihani ya mwisho wa semester. Nikabaki nasikitika tu. Huyo binti ana wazazi/walezi na...
  4. Fbn

    Tanesco sasa mnaleta matangazo pika kwa umeme unit ndogo mumeshindwa kupunguza bei za unit na kuboresha umeme.

    Sio mpenzi sana wa TV ,Leo tarehe 2 nipo nyumbani nikaona niangalie habari ITV. Sasa naona tangazo la Tanesco linaitwa pika kwa umeme,Yani wanajisifu majiko yana tumia unit ndogo yana uzwa tanesco. Ina maana Tanesco wameshindwa kutatua shida za umeme kufanya umeme kununulika kwa unit ndogo...
  5. Superbug

    Nashauri ili kuanza kuboresha taswira yake atafutiwe ziara mikoa ya pembezoni kuliko kujificha.

    Anaanza kusahaulika mioyoni na midomoni mwa watu anapotea kimya kimya jambo ambalo so zuri nadhani. Nashauri mtafutieni ziara hata ya mchongo tu katika mikoa ya pembezoni. Ili angalau magazeti na TV zimuonyeshe. Ni ushauri tu. Hoja haipigwi mawe.
  6. L

    Ushirikiano Kati ya China na Afrika waweka mwelekeo sahihi wa kuboresha kilimo barani Afrika

    Moja kati ya maeneo yanayotajwa kuwa na uwezekano mkubwa wa kuliondoa bara la Afrika kwenye changamoto za umaskini na usalama wa chakula ni kuboresha sekta ya kilimo. Kutokana na bara la Afrika kuwa na ardhi kubwa inayofaa kwa kilimo, idadi kubwa ya watu wanaojishughulisha na sekta ya kilimo, na...
  7. T

    Kingereza na uchumi; jipatie ofa hii ya KITABU kuboresha kiingereza kwa matumizi tofauti kiuchumi

    OFA YA KITABU CHA KIINGEREZA Mimi kama mwalimu wa kingereza imenibidi nikupe ofa ya kitabu (soft handbook) DOWNLOAD hapo👇 in case utaitaji msaada wa vitabu vingine au namuna ya kukitumia hicho kitabu (soft hand book) Tuwasiliane kwa namba 0623446608 Ubarikiwe!
  8. Lord Denning

    Tutatumia drones na Satelites kupiga picha Matukio ya kuboresha Mochwari mnazopanga kuzirekebisha kupotesha ushahidi

    Uzuri kila mnalopanga gizani taarifa zinatufikia. Tunajua mmepanga kufanya demolitions za mochwari na kuziboresha ili kuficha ushahidi. Kwa taarifa tu, sasa hivi tutatumia drones na satelite kupiga picha demolitions na renovations zote mnazopanga kuzifanya kwenye mochwari zetu ili tuioneshe...
  9. Yoda

    Tujitahidi kuboresha biashara ya kitimoto, tunahitaji mapinduzi ya upikaji kitimoto katika nchi

    Hapa nilipo kitimoto inayopatikana ni ya kukaanga iliyo kavu au rosti tu, ya kuchoma inapatikana kwa nadra sana, na hivyo ndivyo hali ilivyo sehemu kubwa ya nchi. Kwa hakika tunahitaji ubunifu zaidi katika mapishi ya kitimoto katika hii nchi, karibia kila mahali wanapouza kitimoto mapishi ni...
  10. Brayan_Jk

    Huwezi kuboresha Usichopima !!!

    Huwezi kuboresha usichopima! 💡 Moja ya changamoto kubwa kwa wafugaji wengi wa kuku ni kutokuweka kumbukumbu sahihi. Unanunua chakula kila wiki, unauza mayai kila siku, na unachoma chanjo mara kwa mara lakini unajua kweli kama unapata faida au hasara? 🤔 Hapo ndipo Fuga App inapokuja kutoa...
  11. Just Pray

    GE2025 Rais Samia: CCM inalenga kuboresha maisha ya watanzania

    Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameahidi kuwa serikali atakayoiunda endapo atachaguliwa itaendelea kwa kasi zaidi katika kutekeleza mpango wa kuboresha maisha ya watu na ustawi wa jamii, kama ambavyo Ilani ya CCM...
  12. Common Folk

    GE2025 INEC: Mfumo wa TEHAMA wa INEC umeunganishwa (Interphase) na Mfumo wa NIDA ili kuboresha utendaji

    Mwezi March 2025 wakati wa mkutano wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi na Wadau, Mkurugenzi wa TEHAMA-INEC (Stanslaus Mwita) alinukuliwa akisema " Tumefanya maboresho kwa kufanya maunganisho ya kimfumo kati ya mfumo wa kupiga kura wa INEC na Mfumo wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA)."
  13. M

    RC Mboni Mhita: Rais Samia ametupatia TZS155.24bn kwaajili ya kuboresha Elimu mkoa wa Shinyanga kwa kipindi chake cha miaka minne

    https://youtu.be/lSwXl5hBJ7o?si=vbfT9DfFtaDA19Jj Kupitia Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Mkoa wa Shinyanga umepokea TZS bilioni 155.24 kwa ajili ya ujenzi na ukarabati wa miundombinu ya elimu na kuongeza walimu wa shule za msingi, sekondari na vyuo vya kati. Mafanikio haya yameongeza uandikishaji...
  14. Dennis Robert Shughuru

    Kuboresha maradufu ligi ya basketball

    Kama nchi lazima tuwekeze kwenye miradi inayotengeneza fedha (money generating project) Katika jitihada za kuongeza vyanzo vingi vya mapato ntahakikisha Tanzania tuna-kuwa na better ecosystem ya mchezo wa basketball, NIKIWA RAIS WA TANZANIA kutajengwa Arena 23 kwa ajili ya ligi ya basketball...
  15. Roving Journalist

    Jenista Mhagam: Serikali imepanga kutumia Sh Bilioni 161. 3 za Mfuko wa pamoja wa Afya kuboresha na kuimarisha mifumo ya afya

    Serikali imeazimia kutumia Shilingi Bilioni 161. 3 za Mfuko wa pamoja wa Afya kwa ajili ya kuboresha na kuimarisha mifumo ya afya nchini ili kutoa huduma bora za afya ya msingi kwa wananchi sambamba na kupunguza vifo vya watoto vitokanavyo na uzazi na kuimarisha huduma za bima ya afya kwa wote...
  16. Dennis Robert Shughuru

    Njia ntakayotumia kuboresha maeneo kama Magomeni, Mburahati, Kigogo, Mabibo, Manzeshe, Kinondoni, Mwananyamala, Kijitonyama, Sinza, Ilala, Keko n.k

    Hayo maeneo ni sehemu ya city centre kwa hiyo yanatakiwa yaboreshwe Zifuatazo ni njia ntakazotumia kuboresha na kuyafanya ya kisasa ntatumia njia zifuafazo Hayo maeneo yatajengwa gorofa kuanzia 5 na mpaka 100 Wale wote wenye maeneo watatoa maeneo hayo na kuwapa madeveloper Madeveloper watajenga...
  17. R

    GE2025 Rais Samia atoa Bilioni 16.696 kuboresha Miundombinu ya Elimu Tanga

    Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, kupitia bajeti ya mwaka wa fedha 2024/2025, imetoa jumla ya shilingi bilioni 16.696 kwa ajili ya utekelezaji wa Mradi wa Kuboresha Ubora wa Elimu ya Sekondari (SEQUIP) mkoani Tanga. Kati ya fedha hizo, jumla ya...
  18. Brayan_Jk

    Tusaidie kuboresha Fuga 🫶🏾💚

    Tangu siku ya kwanza kabla hata ya kuandika code hata moja tulidhamiria kwamba Fuga lazima ijengwe kwa kusikiliza changamoto na maoni ya wafugaji wa kuku. Kila changamoto ambayo mfugaji anakutana nayo kama kufuatilia matumizi ya chakula, gharama, chanjo au kumbukumbu za kila ndizo zilitujengea...
  19. Brayan_Jk

    App hii inakusaida kuongezea Faida na Kuboresha Ufugaji Wako Bila Stress !!

    Kama ushawahi kujiuliza kwamba kuku mmoja anakula kiasi gani akiwa na umri gani,basi Fuga app itakupa majibu yote kuhusu ratiba ya chakula,kila siku . Hautopoteza tena chakula wala kuwapunja tena kuku wako Download Fuga app playstore [ Fuga - Apps on Google Play]
  20. Yoyo Zhou

    Kubana matumizi ya serikali ni kwa ajili ya kuboresha maisha ya wananchi

    China hivi karibuni imetangaza kurekebisha Kanuni za Idara za Chama cha Komunisti cha China na Serikali za Kubana Matumizi na Kupinga Ufujaji, na kufafanua kuwa idara za Chama na serikali zinapaswa kubana matumizi, ili kuhakikisha rasilimali nyingi zaidi za umma zinatumiwa kwa ajili ya kuboresha...
Back
Top Bottom