kubomoa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Mtindo mpya Kariakoo ni kubomoa maghorofa na kujenga Mapya

    Kariakoo inaanza kuwa na mwonekano mpya, kila mtaa ukipita unakuta ghorofa limeangushwa linanyanyuliwa lingine, safi sana. Ila mengine bado yapo imara lakini yanabomolewa na kujengwa mapya, wacha nitafute pesa.
  2. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Wametumwa kubomoa miundombinu yetu?

    TAZARA Flyover hapo , kwa Mfugale. Gari linapindukaje? Tena gari la namba za daladala. Serikali mpooo?
  3. SYLLOGIST!

    JamiiForums Tanzania Jamii yetu na Lugha hasi. Je, tunajenga Jamii kwa kubomoa?

    Ndugu zangu... Sio Leo, wala Jana, au Juzi wala Majuzi tumekuwa tunasoma Lugha zenye utata katika baadhi ya nyuzi na maudhui yanayo ambatana nayo...mfano mzuri ni kama zile za mambo ya ndoa, nywele za wanawake n.k Kiujumla ni zile zinazotoa wosia kwa Jamii kwa ujumla. Wakati nyuma yake...
  4. JITU LA MIRABA MINNE

    JamiiForums Tanzania Nguvu ya mwanamke katika kujenga au kubomoa Familia, Taifa na Dunia

    Mwanamke ni kiumbe kinachoonekana ni dhaifu kwa mawazo yetu lakini shetani akimtizama mwanamke anaona ni mtu makini ambae anaweza kubomoa au kujenga dunia REFFERENCE (Mwanamke) 1.Aliongea na shetani katika bustani ya Edeni akashawishiwa kula tunda akala akamshawishi na Bwana wake wakala...
  5. EINSTEIN112

    JamiiForums Tanzania Rais wa Ukraine anafikiria kubomoa Sanamu ya Catherine II aliyekuwa Malkia wa Odesa na kujenga sanamu la kumuenzi Shoga wa Marekani

    Rais wa Ukraine Volodonyr Zelensky anafikiria kuvunja sanamu la Malkia wa zamani wa Dola la Urusi anayejulikana kama Catherine Mkuu au Catherine II huko katika jiji la Odessa. Badala ya sanamu hilo Zelensky atajenga sanamu lingine la muigizaji wa sinema za utupu (porn star) ambaye ni shoga wa...
  6. Kijakazi

    JamiiForums Tanzania Kuna viongozi huwekwa wa MAKUSUDi ili kubomoa Jamii

    Hii inatokea sana Duniani kote, kuna Viongozi huletwa mahsusi kwa kazi moja tu ya kubomoa jamii ambayo tayari ilikuwa imeshaanza kujitambua, ikumbukwe kwamba poverty ya Afrika ni biashara, kuna watu wanaishi kwa sababu ya poverty ya Afrika na wana Mishahara ya kukufuru, fikiria tu kwa mfano UN...
  7. T

    JamiiForums Tanzania Jinsi Tajiri aitwaye saa tatu alivotumia nguvu ya pesa kubomoa nyumba huko Tunduma.

    Tukio hilo la kubomolewa Kwa nyumba hiyo limetokea huko Tunduma na nyumba hiyo inasemekana ni mali ya marehemu pamoja na mke wake ambaye yuko hai. Inasemekana marehemu aliacha watoto kutoka kwa wake tofauti na kila mke alikuwa na nyumba yake. Baadaye watoto wa marehemu Wakafungua shauri la...
  8. U

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Wilaya Dodoma atangaza kuondoa makazi ya watu zaidi ya elfu 10 kata ya Kizota

    Kumetokea na sintofahamu baada ya ya hati JPM kuaga dunia, Mkuu wa Wilaya ya Dodoma ametangaza kuondoa makazi ya watu zaidi ya elfu 10 kata ya Kizota na bila kujali hawanchi wataenda wapi wala kuishi wapi bali wanajali kupata pesa. Wananchi wameuliza sababu za kubomoa makazi.
  9. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Arusha: Anayedaiwa kubomoa nyumba ya ndugu yake, achomewa nyumba na wananchi

    Baadhi ya wananchi wa kata ya Sokoni 2 halmashauri ya Arusha leo Ijumaa Julai 9, 2021 wamechoma moto nyumba ya Ng'ida Loisulye anayedaiwa kubomoa nyumba ya ndugu yake, Benjamin Mollel kwa maelezo kuwa ameshinda kesi mahakamani. Akizungumza na waandishi wa habari nje ya nyumba hiyo...
  10. mbikagani

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, wakulima wa Miwa wanatishia kukibomoa Kiwanda cha Sukari cha Mbigiri

    Salaam kwa jina la jamhuri ya muungano Mama Samia Suluhu Hassan! INGILIA KATI KWENYE HILI WAKULIMA WANATAKA KUKIBOMOA KIWANDA CHA SUKARI MBIGIRI. Kiwanda cha sukari Mbigiri ambacho haijulikani ni lini kitaanza kazi kuokoa mamilioni ya pesa yatayopotea kwa kuaribika kwa miwa iliyofikia...
Back
Top Bottom