Habari ndugu, kama kichwa Cha tangazo kilivyoandikwa nahitaji kuanzisha biashara ya kuuza dagaa waliokaangwa kutoka Bukoba -Dar hivyo nahitaji watu wa kushirikiana nao kupata soko, dagaa ni rejareja kwenye packet au kwa jumla pia wanapatikana kuanzia ndoo ya lita 10 mpk 20, hivyo kwa ambae yupo...
Kumradhi Ndugu yangu.
Nawaza kuanzisha biashara ila sijafikia muafaka mawazo yangu.
Sijazaliwa kwenye familia yenye umaridadi sana na biashara, ila hii haimanishi kwamba siwezi kufanya biashara.
Naamini naweza kuwa Maridadi sana kwenye Biashara.
Nahitaji data na mawazo Yako, Ndugu yangu...
Tunajua kwa exposure uliyopata kwa kusoma una expect vitu vikubwa huku ukisahau kwamba nidhamu ya fedha ndo kila kitu kwenye maisha ya biashara na ndo maana biashara nyingi zinafilisika
Mimi hainiingii akilini kabisa inawezekana vipi kijana msomi una degree yako safi unaua biashara ya duka ya...
Naomba mnishauri ni maeneo gani hapa Dar yanafaa kuanzisha biashara ya nafaka na mafuta ya kupikia kwa jumla na Rejareja?
Nimepata mtaji 10M nataka nianzishe store ya kuuza nafaka but naomba ushauri kujua ni maeneo gani yanafaa zaidi kwa hapa Dar.
Wafanyakazi wa serikalini na baadhi ya makampuni huwa wanakatwa pesa kila mwezi kwenye mishahara yao kwa ajili ya malipo yao ya mafao ya kujikimu wakistaafu.
Mafao wanayopewa kwa mkupuo moja huwa ni fedha nyingi sana mfano milioni 200, 150, 100, 50, 30, n.k. kulingana na kazi walizofanya...
Habari zenu ndugu zangu.
Naombeni kwa anayefahamu chochote kuhusu biashara hii ya shule za watoto wadogo anipe muongozo japo kwa uchache kwa kuzangatia yafuatayo:
1. Utaratibu wa usajili wa kituo na kiasi cha pesa cha kusajili
2. Curriculum nzuri ya kutumia ambayo ni applicable
3. Faida na...
Habarii zenu wadau, kama mada inavyoeleza nahitaji kuanza biashara hiyo ya dagaa waliokaushwa na jua kutoka mwanza to dar, nahitaji soko lake kwa hapa dar na details zingine zitakazo nisaidia katika kuanzisha biashara hiyoo.
Vijana mkimaliza chuo tafuta kazi kabla ya kuanzisha biashara,
Utafiti unaonyesha biashara mpya zinafeli ndani ya miaka 2 tu kwahiyo vijana mnaomaliza vyuo wakati mwingine ni kheri kwanza ukatafuta kazi kuliko kukimbilia biashara maana wengi wao wanakuwa awajakomaa kwenye eneo hilo na kuna...
Ni muda tena.
Katika tafuta tafuta zake akaje kunicheki na kuniomba ushauri kuhusiana na duka kiujumla duka la vyakula kama muitavyo nafaka.
Maswali aliyouliza. Je, kuanzisha biashara ya kuuza unga, mchele, mafuta, maharage nk inahitaji awe na nini (Vibari gani kisheria)
Anamaanisha je...
Ndugu zangu nimehangaika kutafuta pesa nikabahatika kuotea kama milion tatu sasa nataka kuendeleza hii milion tatu katika biashara
Lakini nimefikiria katika biashara ya kufanya wazo likanijia nifanye biashara ya M PESA ,,AIRTEL MONEY na TIGO PESA lakini sina uzoefu na hii biashara ..Naomba...
Habari za majukumu wadau! Naomba kujuzwa, je naweza kwenda benki nikakopa mkopo kwaajili ya kuanzisha biashara lakini nikatumia nyumba yangu kama dhamana? Naomba kufahamishwa ktk hili..
Hbr za siku,
Nina rafika yangu wazazi wake wote walikuwa waajiriwa wa taasisi za umma na kwa Kweli walifikia hadi nafasi za juu sana katika hizo taasisi walizo ajiriwa hivyo mishahara na pension zao ziko vizuri mno.
Hoja
Jamaa ni mwaka wa nne hana kazi ni kula kulala tu amejaribu kuomba angalu...
Wana jukwaa habari zenu!
Leo ningependa kushare nanyi kitu ambacho nimekiona ktk ka utafiti kangu kadogo kuhusu biashara nyingi za maduka ya nguo na saloon ama za kiume au za kike kufa kifo Cha mende.(hasa kwa maeneo ambayo yapo pembezoni mwa mji)
Nimekuja kugundua watanzania walio wengi...
Ngoja Mimi Leo nitoe njia ambazo Mtu anaweza kupata mtaji Kwa ajili ya Kuanzisha biashara ambayo anatarajia kuifanya.
wote bila Shaka Tunakubaliana kuwa watu Wengi wapo na ideas nzuri Sana za biashara ambazo kama wakiweza kuzi-finance basi baada ya miaka Kumi tungeweza kuwaita mabilionaire,Ila...
Habari Wana forum,
Kwa muda mrefu nimekuwa thoughts na desire ya kuanzisha biashara ya vipuri vya magari na pikipiki ila changamoto yangu ni bado sijakudanya data zenye uwakika zaidi, hivo naleta kwenu msaada juu ya kiwango cha mtaji , location, faida na hasara katika biashara hii ya vipuri...
Unapoanza biashara, kuna mambo kadhaa muhimu ya kuzingatia ili kuongeza uwezekano wa mafanikio. Kuanzisha biashara ni hatua kubwa na yenye changamoto, lakini pia inaweza kuwa fursa nzuri ya kufanikiwa na kufikia malengo yako. Hapa kuna mambo muhimu ya kuzingatia wakati unapoanza biashara:
1...
Wana jf naomba muongozo na ushauri wa kuanzisha biashara ya vitabu, vitabu hivi ni vile vya masomo
vinavyotumiwa na vyuo vikuu na taasisi nyingine za elimu ya juu, naomba ushauri kwenye:
Mtaji
Jinsi ya kuagiza kutoka publishers mbalimbali.
Vibali husika vya biashara
Kodi za bandarini na tra kwa...
Kuna aina nyingi za kufanya biashara (there are so many forms of doing business) kama vile biashara ya mtu mmoja (sole trade), biashara ya ushirikiano (partnership), vikundi, kampuni, trust n.k.
Kwenye hili andiko nitaongelea mchakato wa kusajili biashara binafsi na biashara ya ubia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.