Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inashiriki Mkutano wa 48 wa Baraza la Mawaziri Afrika unaofanyika jijini Addis Ababa, Ethiopia kuanzia Februari 11-12, 2026. Ujumbe wa Tanzania katika mkutano huo unaongozwa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mheshimiwa Mahmoud Thabit...
Ni kiwango kikubwa sana Cha ujinga maboss kuanza kuwashukiru waajiri wao waliowajiri
Cha ajabu hao maboss hawaambulii chochote Cha kwao binafsi ila wanawalipa waajiri wao Kwa wakati Kila mwisho wa mwenzi bila kukosa .
HIki kiwango Cha juu Cha ujinga Kwa wananchi kuwashukiru kwanza waajiri wao...
Rais Samia Suluhu, akizungumza katika viwanja vya Ikulu jijini Dar es Salaam Februari 7, 2026, amesema katika mazungumzo yake na Rais wa Uganda, Yoweri Museveni, ameiomba Serikali ya Uganda kuendeleza ujenzi wa Treni ya Umeme (SGR) kutoka Lusahunga, Wilaya ya Biharamulo, Mkoa wa Kagera, kuelekea...
Chama cha mapinduzi kimepoteza wabunge watatu kwa muda mfupi kuanzia disemba 2025 mpaka February 2026
Mbunge Jenista Mhagama alifariki 11 Disemba 2025
Mbunge Halima Nassor alifariki 18 January 2026.
Munde Tambwe alifariki tarehe 3 February 2026
Pole ziende kwa rais na chama chake.
Tajiri Elon Musk ametangaza kua kampuni ya Tesla itasitisha uzalishaji wa magari yake Model X na Model S.
Tajiri kasema factory zilizokua zinazalisha ayo magari zitafocus kwenye marobot yake ya Optimus.
Hata siku moja hauwezi kuona dubai imeingilia mgogoro wowote hapo mashariki ya kati.
Hata siku moja hauwezi kuona maandamano ya kuunga mkono palestina na hamas nchini mwao
Hata siku moja hauwezi kuona dubai inaendekeza itikadi na sera za MUSLIM BROTHERHOOD zilizoleta maafa mashariki ya kati...
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi ya Uganda, Jenerali Muhoozi Kainerugaba amesema Kiongozi wa Chama cha National Unity Platform (NUP) Robert Kyagulanyi Ssentamu Bobi Wine ameanzisha vita na taifa lake hivyo kwa namna yoyote ni lazima wamkamate.
Kupitia mtandao wa X Muhoozi amechapisha akisema kuwa...
Kitengo cha serikali ya Marekani maarufu kama "State Department" kimetangaza kusitishwa kwa utoaji wa viza za kuingia nchini Marekani kwa nchi zipatazo 75 nyingi zikiwa ni kutoka barani Afrika Tanzania ikiwemo.
Sababu ilotolewa na kitengo hicho imesema raia kutoka katika nchi hizo wafikapo...
Gari itatumika mazingira ya Tanga, matumizi ya lami na barabara za vumbi kidogo
Engine iwe inasifika kwa uimara na ikipata hitilafu mafundi wameizoea
Iwe na mifumo mingine ambayo imezoeleka na mafundi, sio kufunga safari hadi Dar au Kenya kurekebisha
Isizidi cc 2000
Ulaji mzuri wa mafuta
Umbo...
bajeti
bongo
gani
gari
gereji
kirahisi
kuanzia
mafuta
magari
matengenezo
mazingira
mikoani
milioni
milioni 30
mwaka
nzuri
pamoja
rahisi
ulaji
urahisi
yanauzwa
Kwa mtakaokumbuka mtakumbuka kuwa kipindi cha kampeni niliwaambia kuwa Aiport ya KIA inaenda kuuzwa kama ilivyouzwa bandari. Kuna wapuuzi na machawa waliniona mimi mchochezi na kwamba natunga vitu ili kujenga chuki. Haya Oneni hii.
Kipindi cha kampeni wamefungua kampuni kabisa brela, inaitwa...
Naapa kwa jina la JF kuanzia leo mimi Kazanazo nimeacha uzinzi sitakuja kurukia tena pisi za nje hata kama mke wangu aninyime kwa mwaka mzima
Hili gube gube limeniambukiza uti sijawahi ugua toka nizaliwe wallah nimekoma sirudii tena
Mamlaka ya hali ya hewa kanda ya Magharibi- Tabora imesema hali ya ukavu iliyojitokeza kwa wiki mbili katika mkoa wa Tabora ni mabadiliko ya kawaida ya hali ya hewa ambayo hutokea katikati ya msimu wa masika. Akizungumza na CG FM Menena wa mamlaka ya hali ya hewa kanda ya Magharibi Tabora...
Wife ana mtoto wa miezi miwili leo sijatoka mida ya mchana akaniambia nibaki na mwanangu yeye akachukue mboga aje kunipikia chakula
Alivyoniachia dogo alikuwa katulia vizuri dakika tatu badae dogo akaanza kulia bembeleza wapi kidogo namimi nilie aisee mana sikuelewa cha kufanya nadogo analia...
Yaani ukiwa makazini bila kuangalia ni sekta binafsi au ya serikali,ukija mitaani awe mtu mzima kijana au mtoto,Majumbani mwetu kuanzia wake zetu watoto kina baba mpaka wafanyakazi wa ndano hawampendi huyu mama.
Yaani sijawi kuona Rais aliyekataliwa kama huyu,
Kwa wale wazazi kama una mtoto kuanzia 2020 kwenda mbele kuna kitu naona kwa vizazi kuwa generation hii inaweza na IQ kubwa sana ya utafakari.
Watoto 2020 wanaweza kushika simu yako wakafungua youtube na kukwambia muwekee katuni au kitu anacho penda.
Kitu chengine mzazi ukiwa muongo au mtu wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.