kuangalia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    JamiiForums Tanzania Makonda: Kila Mkoa tuweke screen kubwa kuangalia heshima inayojengwa na vijana wetu Serengeti Boys, Juni 2, 2026

    Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Paul Makonda amewataka wakuu wa mikoa Nchini kote Siku ya Jumanne, Juni 2, 2026 Kila Mkoa waweke Luninga kubwa ili watu watazame fainali ya michuano ya AFCON kati ya Timu ya Taifa ya Vijana chini ya umri wa miaka 17 Serengeti Boys na Senegal...
  2. JamiiForums Tanzania Naomba chimbo la kuangalia Arsenal tarehe 30

    Wakuu baada ya kuona wenzetu wa Kenya Uganda Ethiopia na kwingineko Duniani wakifurahia ubingwa WA timu pendwa ya Arsenal na hapa Dar nilipanga niende viwanja vya posta lakin baada ya kuona wameingiza siasa na kuweka mgeni rasmi siwezi kwenda tena kama kuna chimbo jingine naomba nielekezwe...
  3. JamiiForums Tanzania Je, unaweza kuchambua mpira kama wataalamu AU ni kuangalia tu mechi?

    Uchambuzi wa mpira wa miguu (Football Analysis) si kubahatisha matokeo tu — ni uelewa wa kina wa jinsi mchezo unavyochezwa kupitia takwimu, mbinu, na maamuzi ya timu na wachezaji ndani ya uwanja. 👉 Kwanini timu inashinda? 👉 Kwanini nyingine inapoteza hata ikiwa na wachezaji bora? 👉 Tactical...
  4. JamiiForums Tanzania Nisaidieni brand ya syrup nzuri ya kikohozi kikavu

    Nimepata kikohozi pale mafua yalpoisha. Nisaidieni wakuu.
  5. JamiiForums Tanzania Series gani uliwahi kuangalia na hutamani Tena?

    kipindi Cha nyuma mwaka jana nliwahi kuangalia hili dubwasha Kwa jina la "From" Najutaa🤣
  6. M

    JamiiForums Tanzania Ni websites au app gani nzuri za kuangalia historia ya ajali, matemgenezo na service za magari kutoka Japan?

    Ni websites au app gani nzuri za kuangalia historia ya ajali, matemgenezo na service za magari kutoka Japan? Msaada kwa hizo websites tafadhali
  7. C

    JamiiForums Tanzania Jinsi nilivyokaa siku 100 bila kuangalia saa

    Kuna kitu nilifanya mwaka jana ambacho watu wengi waliniona kama nacheza mchezo wa ajabu kidogo. Nilikaa siku 100 nzima bila kuangalia saa. Hakuna sababu maalum. Sikuamka asubuhi nikasema tu moyoni, “leo naanza.” Nikajiambia nione kama inawezekana kuishi kawaida kabisa bila kujua muda ni saa...
  8. JamiiForums Tanzania Wadau mna lipi la kusema? Maana sielewi Simba as the

    Wadau mna lipi la kusema? Kesho nilale ndani au?
  9. JamiiForums Tanzania Wakili peter madeleka: Mafwele huwezi kutajwa na wananchi kama muuwaji na mtekaji alafu tuka kuangalia tu lazima uwajibike

    "Hauwezi ukawa unatajwa wewe ni muuaji alafu tukawa tunakuangalia tu, yani wewe umekuwa Malaika mtoa roho au?? Kila anayepotea akirudi anakutaja wewe aliyetekwa akibahatika kutoka salama anakutaja wewe mashahidi wanakutaja wewe, wewe umekuwa nani haswa?? Kama tumekupa jukumu la kulinda usalama...
  10. U

    JamiiForums Tanzania Site ipi ni nzuri kwa kuangalia mechi za ulaya live

    Kama kichwa cha habari kinavoonesha hapo juu, ni site ipi nzuri kwa kuangalia mechi za ulaya live
  11. JamiiForums Tanzania Nchi zetu zinataka tutumie internet kuangalia games, mpira, pornography, movies na mambo kama hayo. Ukigusa sensitive issues hawataki kabisa

    Africa sijui tutakuja kuamka lini aisee Unaona viongozi wanapambana sana na Internet linapofika suala la mambo ya msingi mustakabali wa maisha yetu na kutaka haki na utawala bora. Ukweli ni kwamba aidha watake au wasitake hawawezi kupambana na teknolojia. Mwanzo walianzaga hivihivi, wakaanza...
  12. T

    JamiiForums Tanzania Kazi za kuangalia Nyumba, ulinzi wa Nyumba na pia usafi

    Natafuta kazi za kuangalia Nyumba kama vile usafi nakutuzia Nyumba mpaka pale utakapokuja ikiwa na mtu wa kuangalia, pia kama una chochote kile kulinda hapo Nyumba hapo pia nitakilinda , Miaka mpaka kumi nakaa kuangalia ulinzi na kazi zingine nafanya pia, pia wenye hotel naangalia mazingira...
  13. JamiiForums Tanzania WhatsApp wanapaswa kuangalia haya maudhui ya channels wanazotupendekezea

    Sina magrupu ya ngono wala nini basi waseme ni algorithm, yani unaamka asubuhi hii ndio unacho kutana nacho. Kuna namna ya kunyuti utumbo huu?
  14. JamiiForums Tanzania Waziri wa maji baada kutatua maji yanapotoka unaenda kutembea kuangalia mtaani

    Hii nchi itakuwa na channel ya maajabu huko mbinguni.
  15. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Maseneta wawili wa Marekani wataka Marekani kuangalia upya mahusiano yake na Tanzania baada ya Maandamano ya Oktoba

    Wakuu Hivi ndo kusema kwamba tunaenda kutengwa kimataifa? Maseneta wawili wa Kamati ya Mahusiano ya Kigeni ya Seneti ya Marekani wameitaka Marekani kutathmini upya uhusiano wake na Tanzania kufuatia ukatili uliofanyika wakati na baada ya uchaguzi mkuu wa Oktoba 29. Chanxo; Risch, Shaheen...
  16. JamiiForums Tanzania GE2025 Nilijiona mbabe wa kuangalia Horror movies, ila haya yamenishinda

    Mtoto anakimbia na mama yake anapigwa shaba anakufa taratibu huku anaona analia mama amka..? Kijana anakufa taratibu wakati utumbo wote umemwagika nnje?? Watoto wanalia mamayao kafuatwa hadi ndani kapigwa shaba wanalia juu ya damu iliomwagika??? KWASASA SITOANGALIA VIDEO NYINGINE KWA...
  17. JamiiForums Tanzania Usiombe kuangalia mechi kwa TV alafu kuna jirani yako yeye anasikilizia kwa redio pia kaweka sauti kubwa , inakera mnoo.

    Mjini redio zinafanya nini? si mrudi kijijini mkalime.
  18. JamiiForums Tanzania Wikiendi hii chukua muda wa kuangalia hizi SPY MOVIES 6 na hautojutia

    1: THE GOOD SHEPHERD Mwamba anachukuliwq kutoka chuo ili kuwa sehemu ya CIA, anaanzia kazi nyumbani kugundua maspy wa kinazi marekani hadi kupelekwa ujerumani kupambana na maspy wa kirusi. Jamaa ni mtiifu kwa CIA hadi ilifikiwa wakati alimuua mchumba wa mtoto wake baada ya kugundua ni spy...
  19. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania kwenu waraibu wa punyeto, acheni kuvuta hisia kwa kuangalia porn ni bora ujiwaze wewe ni muhusika kuliko mwanaume mwengine

    Heri nusu shari kuliko shari kamili Punyeto na porn ni mambo mawili ambayo yamekuwa tatizo kubwa hasa katika zama hizi za teknolojia za smartphones unazoweza kutumia ndani ya blanketi, chooni, vyumbani, n.k.. wengi wanaopiga punyeto wamejikuta wakiingia kwenye uraibu mwengine wa kuangalia...
  20. JamiiForums Tanzania Utaratibu wa Kumpata Bingwa Kwa kuangalia Head to Head endapo timu ziki tie poinits, ni wa ovyo

    Bodi ya ligi wamepitisha kanuni za kuendesha ligi msimu huu Moja ya kanuni za ovyo ni kumpata bingwa Kwa kuangalia H2H badala ya goals different, au kuzingatia ushindi wa michezo ya ugenini Binafsi naona ni utaratibu wa ovyo maana kwenye ligi hazishindani timu 2, wangechukua kigezo cha Goals...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…