kuandamana

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    JamiiForums Tanzania Hakuna kijana aliyelipwa kuandamana Oktoba 29. “Tumechoka na Uchaguzi wa maigizo”

    Baada ya kufanyika maandamano ya Oktoba 29, 2025, yaliyokabiliwa kwa nguvu za kijeshi na vyombo vya ulinzi na usalama, Novemba 3, 2025 Rais Samia Suluhu Hassan, alidai kuwa waliohusika kwenye maandamano hayo ni raia wa kigeni, kauli ambayo hata hivyo hakuithibitisha. Alipozindua Bunge la...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Trump: "Iran msiache kuandamana, msaada utafika hivi karibuni, Hifadhini majina ya wauaji watalipa gharama kubwa, "

    Ameandika hivyo Rais wa Marekani Donald Trump kwenye mtandao wake wa Truth
  3. Life2

    JamiiForums Tanzania Leo wanawatumia kuandamana kesho watawatumia kwenye ajira, vyuoni na kwenye hospitali

    Ni jana tumeshuhudia wanaojiita wakatoliki feki wakiandamana kuelekea kwa Balozi Mwakilishi wa Baba Mtakatifu Tanzania. Mungu alivyokua wa Ajabu hata kabla ya Sinema zao kaamua kuwaaibisha, kwa ishara na matendo yao. Leo walioratibu huo mpango either wanatoka Serikalini au Chama cha Mapinduzi...
  4. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Majambazi yameua alafu yamejiundia tume kujichunguza wananchi mlipsaswa kuandamana mkesha wa mwaka mpya kupinga huu upuuzi

    Majambazi yame uwa alafu yamejiundia tume kujichunguza wananchi mlipsaswa kuandamana mkesha wa mwaka mpya kupinga huu upuuzi
  5. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania Sasa hivi Kila mtu anamtegea mwenzi kuandamana na kumlaumu mwenzie

    Kumeibuka na hili jambo watu kulazimisha wenzao kuandamana unakuta li mtu linalaumu wenzie hawajatoka mda huo lipo kitandani Kam kule TikTok mtu kafungua live anawaambia wenzie waandamane lenyewe lipo ndani linatia lawama wazee Sasa hivi watanzania hawawezi kutoka barabarani kama mnavyofikiria...
  6. ChekoFagia

    JamiiForums Tanzania Paul Makonda kuiongoza Taifa Stars AFCON 2025 nchini Morocco

    Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda ndiye ataongoza msafara wa Tanzania katika Fainali za Mataifa ya Afrika (AFCON) zitakazofanyika Morocco kuanzia Desemba 21, mwaka huu hadi Januari 18, mwakani. Hilo limethibitishwa leo na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na...
  7. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Museveni kwa wanaopanga kuandamana: "Tuna risasi za kutosha

    Kauli ya Rais wa Uganda Yoweri Museveni kuhusu kuwapa askari risasi 120 kabla ya uchaguzi mkuu imezua hofu na ukosoaji mkubwa. Upinzani na wananchi waonya vitisho hivyo vinaweza kudhoofisha amani, demokrasia na haki. Rais wa Uganda, Yoweri Museveni, amekosolewa vikali kufuatia kauli yake kuhusu...
  8. Ertugrul Bey

    JamiiForums Tanzania Vijana, Hakuna Kuandamana Mpaka Muone Kibali Rasmi Cha Maandamano

    My people, Ni muendelezo ule ule wa makala zetu mbali mbali za kuwakomboa vijana dhidi ya ushawishi wa kufanya maandamano haramu,ambayo madhara yake wote tunayajua Kwa mujibu wa taratibu za nchi yetu,ili maandamano yawe halali au yapate uhalali basi kuna mambo kadhaa au masharti yapate...
  9. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Hakuna kibaraka, haramia au gaidi ataruhusiwa kuandamana popote pale Tanzania

    Ndugu wadau wa heshima na wa maana sana JF, Ni vizuri kama waTanzania kuelimishana na kufahamishana kinagaubaga kwamba maandamano ya aina yoyote nchini kwetu ni haki ya kila kundi, na ni shartiyafanyike kulingana na sheria za nchi, lakini pia yawe yenye kibali kutoka kwenye vyombo vya ulinzi na...
  10. stakehigh

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Wote wanaotaka kuandamana wamekuwa maadui wakubwa wa wananchi, hakuna mwananchi yuko tayari kukaa ndani tena

    Wananchi wengi wanakasirika sana kuambiwa kukaa ndan kwa sababu wanakosa kufanya biashara zao, ukwel ni kwamba itakapotokea mtu anataka kuandamana tena basi wananchi watadeal nae moja kwa moja kwa sababu hawataki kuwekwa ndan tena Hivyo wanaharakati angalieni siasa mnazofanya saaahv msije...
  11. Trainee

    JamiiForums Tanzania Tuache kuwaletea dharau, kebehi na kiburi wale wenye mzuka wa kuandamana kwani kufanya hivyo ni kuwachochea watekeleze kile walichokuwa wanakipanga

    Lengo la kuzuia na kupinga maandamano haikuwa kuonesha ubabe au kumkandamiza mtu Serikali iendelee kutatua changamoto na matakwa ya vijana hao kwa kadri inavyowezekana Sisi wengine hakuna kinachotuhusu hivyo ni vyema tukachunga ndimi zetu. Mwenye jukumu la kutekeleza matakwa yao ni serikali...
  12. ChekoFagia

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Polisi: Ni picha mjongeo ya zamani kuhadaa wananchi kuandamana

    Jeshi la Polisi lingependa kueleza kuwa, kuna hii picha mjongeo ya zamani na nyinginezo zinasambazwa kwenye mitandao ya kijamii zikihadaa wananchi kuwa maandamano yameshaanza. Hakuna jambo kama hilo kwani vyombo vya ulinzi na usalama vipo mitaani kudhibiti hali kama hiyo kama kuna ambao...
  13. stakehigh

    JamiiForums Tanzania Waliokuwa wanatisha kuandamana bado wapo online wanachat, wamewasaliti M029

    Si ajabu kwan mara kadhaa watu wenye akili walionya kuhusu hawa wanaoanzisha maadamano kwamba wenyewe hawatokagi na kwel tumeshuhudia bado wako online mpaka sasa wengine hawataki kuoga asubui hivo basi ewe mtanzania kamwe usifuate mkumbo wa hawa wanaharakati wenye visukari
  14. McLaren

    JamiiForums Tanzania Video: Kimara wameshaanza kutesti mitambo. Watu wameanza kuingia barabarani

    Wakuu, Naambiwa huko Kimara mambo yameshaanza kuchemka. Wananchi wameanza kujitokeza barabarani
  15. Hance Mtanashati

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kinachovunja watu moyo wa kuandamana ni ile shuruti ya kuandamana, wengine wanaingiza pesa ndefu wakiingia kazini

    Rais Samia hapendwi na mamia ya watanzania, ila sasa kinachofanya watu wasitamani maandamano yawepo wakifikiria suala la maslahi. Wengine wakienda kazini wana uhakika wa kukunja laki 5 na kuendelea kwa masaa machache tu . Sasa suala la kukaa ndani au kuandamana linasababisha mtu kukosa hela ya...
  16. Trainee

    JamiiForums Tanzania Narudia tena; ukifa kwenye kuandamana wewe ni motoni na ukiua wanaoandamana pia wewe ni motoni!!!

    Najua hiyo ni ngumu kumeza lakini hakuna namna isukumieni hivyo hivyo hata na maji Angalizo: Hiyo ni kwa sheria ya uislamu ukipinga lete ushahidi
  17. McLaren

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Sheikh Mziwanda: Wanaotaka kwenda kuandamana wanapingana na mpango wa Mungu

    Wakuu, TEC wakisimama kukemea dhulma watu wanapanick ila sheikh hapa kusimama hadharani kufanya siasa its okay. Basi sawa ------------------------------------ Kiongozi wa Taasisi ya Asaalam Islamic Foundation Sheikh Muharram Mziwanda akiwa anazungumza hivi karibuni amesema kwamba" "Wanaotaka...
  18. Foffana

    JamiiForums Tanzania KERO Hivi hii shida ya maji ni huku tu au nchi nzima?

    Hello Wakuu Hii mitaa yetu huku Dar es Salaam tunakabiliwa na changamoto ya maji karibia wiki nzima na sio kawaida kabisa Naomba kuuliza ni viunga vyetu tu hivi vya kimaskini au nchi nzima hili tatizo lipo? Hii hali ikiendelea hivi mbele kutakuwa kubaya sana
  19. jiwe angavu

    JamiiForums Tanzania Hizi hapa ndizo sababu hasa zilizopelekea vijana wa kitanzania kuandamana.

    Pamoja na kuteua tume ya mchongo itakayo kuja na majibu ya uongo ili muendelee kuudanganya umma na kujisafisha. Tambueni umma wa sasa sio wa miaka ya uhuru hili mulielewe kabisa na umma wa sasa umewakataa. Baada ya hayo tambueni hizi ndio hoja za msingi za vijana. Kukithiri kwa vitendo vya...
  20. Ertugrul Bey

    JamiiForums Tanzania Hakuna Haja Ya Kuandamana Na Kupoteza Uhai,Damu Iliyomwagika Awali Inatosha

    My people, Natambua kabisa bandiko hili halikubaliki kwa wengi wenu na mna haki ya kufanya hivyo kama ambavyo nami nina haki ya kuandika haya Guys Serikali inaondoka madarakani pale tu ambapo jeshi au majeshi ya Ulinzi na Usalama yakiwa pamoja na wananchi na kujitenga na Dola,hapo ndio mtegemee...
Back
Top Bottom