kuandamana

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. USSR

    JamiiForums Tanzania Walio wahamasisha vijana kuandamana na kuchoma moto miundombinu ndio wanao waonea huruma

    Kama adui yao alikuwa ni serkali kwanini wamechoma vibanda vya maskini wa taifa letu, Kama adui yao ni tume ya uchaguzi kwanini wachome mwondokasi. Walipanga kuwauwa na kuchoka moto nyumba za wanaccm huku wao wakijiita wanademokrasia. Walikuwa wanawahimiza kuandamana na kuwaambia wajitoe...
  2. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Jeshi la Polisi yakanusha video ya Wamasaai Kuandamana kudai haki zao Arusha

    TAARIFA KWA UMMA Jeshi la Polisi lingependa kutoa ufafanuzi juu ya picha mjongeo (video clip) inayosambazwa kwenye mitandao ya kijamii ikisema "Wamasai waanza maandamano kudai haki zao Arusha". Ukweli ni kwamba picha hiyo mjongeo ilikuwa ni wakati wa sherehe za jando/tohara mwezi Juni 2025...
  3. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania GE2025 Je, Maandamano yamefeli mpaka sasa? Barabara nyeupe, mikwara yote kwisha

  4. R

    JamiiForums Tanzania Tahadhari: Toka kwa tahadhari, iwe ni kwenda kutiki ama kwenda kuandamana

    Salaam! Hizi ni sababu za kwanini utoke kwa tahadhari. 1. Muriro na Mafwele ndio wanaotoa kibali Cha maandamano kama walinda waandamanaji, na wamegoma kulinda waandamanaji. 2. Muriro na IGP na Mafwele ni watuhumiwa wa utekaji ambao waandamanaji wanaupigia kelele. 3. Wanaotoka kutiki na...
  5. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania Siwezi kuandamana kufanya kazi iliyotakiwa kufanywa na JWTZ

    Jana imetoka taarifa ikidai Kuna wananjeshi 500 wa Uganda wameingia kupitia ziwa Victoria kinyemela Ili kuja kuzuia waandamanaji na hata kuwaua kabisa sababu nchi hii mwananchi Hana thamani Sasa najiuliza JWTZ huwa wanalinda mipaka gani mpaka wanajeshi wa nchi nyingine wanaingia, halafu eti...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Faida za Kuandamana tarehe 29

    1. Hakuna Polisi wakusimamia uchaguzi na kuzuia kwa wakati mmoja, hakuna na hakuna. 2. Watu tukiandamana, kwa hofu ya kuanguka CCM itasema wafuasi wake nao watoke barabarani waandamane kuiunga mkono. 3. Watu wakijaa Barabarani kwa pande zote, Jeshi officially linabeba nchi. No reform no...
  7. Stuxnet

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa Bwege kwa wanaotaka kuandamana 29/25

    Bwege aomba Watanzania wasiandamane Oktoba 29, 'Hakuna anayeweza kuzuia mabadiliko'.
  8. Think2

    JamiiForums Tanzania Kuandamana kwa kukataa kupiga kura

    Maandamano yetu yawe ya amani hatupigi kura hadi reform zifanyike sasakm tume ni yao, majaji ni wao unategemea watashindwa ?? Tayari NIDA wamepewa magari 140 ya nini?? ili yasafirishe nini? Kwanini wapewe wakati huu wakufanya uchaguzi? Njia nzuri na ya amani nikutokwenda kuwachagua ili...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Kipi Bora, kukaa ndani usubiri kutekwa, au kutoka nje kuandamana?

    Salaam! Wanaotekwa na kupotezwa wengi hata SI wanasiasa, Wengine ni wachunggaji, wafanyabiashara,wanahabari, wakulima nk nk. Na ukisikiliza ahadi za wagombea hakuna anayeapa au kukemea vitendo vya utekaji.. Sasa machaguo ni mawili; 1. Kukaa ndani usubiri mlango uvunjwe, wakupoteze ujumla...
  10. W

    JamiiForums Tanzania GE2025 Juma Nature: Wananchi wenzangu tukapige kura, tusirubunike kuandamana

    Huyu nae washampa laki moja na sado ya dagaa, miaka yote kapotea kwenye game sasa hivi anatupigia kelele za kupiga kura.
  11. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania GE2025 Misime: Wanaotaka kuandamana waishie kuandamana hukohuko kwenye mitandao

    Msemaji wa Jeshi la Polisi nchini Naibu Kamishna wa Polisi (DCP) David Misime, akihojiwa na Kituo cha UTV, leo Jumanne Oktoba 14, 2025 amesema: “Sheria ipo wazi wanaotaka kuandamana kinyume cha Sheria watachukuliwa hatua, Jeshi la Polisi tupo imara na tupo tayari kuwalinda Watanzania wema kwa...
  12. thegreat1510

    JamiiForums Tanzania Ushauri wangu, Wananchi wasipojitokeza kuandamana 29th October

    Kuna kila dalili huenda wakajitokeza wachache wakakamatwa au wasijitokeze kabisa. Baada ya 29th October itakuwa wakati mzuri wa wanaharakati wa Tanzania kukata tamaa. Watanzania inabidi waachwe kwenye mateso na changamoto ambazo zitaamsha akili zao bila kuwepo yeyote wa kuwasemea. Idadi ya...
  13. kyagata

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Haya ninayoyashuhudia hapa Tanga sioni kama kuna mwanaume wa mkoa huu atajitokeza tarehe 29 kuandamana

    Nipo Tanga kwenye shughuli flani. Kwanza huu mkoa wao kila siku ni burudani tu,hawana stress za maisha kabisa. Kilichonivunja nguvu kabisa ni hiki,huku Tanga mziki wao mkubwa ni taarabu. Sasa nimeshangaa nimeenda sehemu flani nikakuta kuna shughuli na mziki unaopigwa ni taarabu,nimeshuhudia...
  14. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mbinu za kuandamana na kuzuia maandamano tarehe 29 zinaingiliana kama ifuatavyo

    Hamjambo! 1. Wanajukwaa Ladies and gentlemen. Upande huu kulia ni waandamanaji wanajipanga. Na kushoto kwa ni Wazuia maandamano. Wote leo wataonyesha mpango kazi wao kukamilisha zoezi la tarehe 29. 2. Kwa kweli haijulikani nani ataibuka kidedea kwani mbinu ni zilezile zinaingiliana. 3. Wote...
  15. Trainee

    JamiiForums Tanzania Kuna watu wanakusudia kuandamana siku ya uchaguzi: Tupige kura wanaounga mkono maandamano hayo na wanaoyapinga

    Nakusudia maandamano yale yenye lengo la kupinga zoezi la uchaguzi Kama ni hoja watu wametoa hoja zao sana na kama ni elimu watu wametoa elimu ya kutosha juu ya jambo hilo. Sasa tufanye tathmini ndogo hapa kila mtu aoneshe upande wake anaochagua kwamba anaunga mkono au haungi mkono maandamano...
  16. Poker

    JamiiForums Tanzania Naombeni kupewa muongozo wa kuandamana hiyo 29/OKTOBA

    Ningependa kupata muongozo, yaani kwa hapa Dsm tunakutania wapi? Au unajitokea tu kwa rodi unawasikilizia wenzio. Ningependa kupata muongozo nisije kutoka na bango langu na kuwa chambo wa mfano kwa wengine. Na vipi siku hiyo kwa wafanyabiashara nao wanafungua biashara zao au wanafunga kuonesha...
  17. Superbug

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kususia Uchaguzi ni Bora kuliko kuandamana hasa kipindi tukiendeacho sababu ni hizi

    1. Pamoja na kwamba uchaguzi wetu umekuwa haramu siku zote ila kuandamana Kwa wakati huu inaweza leta matatizo makubwa. A. Nguvu itatumika kubwa kuyazima hivyo kupelekea watu kuumizwa sana. B. Kuna matukio ya kitaifa yatakayofwatana mfululizo kwenye wiki la mwisho la October na wiki la mwanzo...
  18. H

    JamiiForums Tanzania Je waTanzania waandamane kutaka bima ya Afya kwa wote au kupinga uchaguzini?

    Ni kweli mnaweza kuandamana hiyo 29.10.2025 ila ni hatari sana iwapo hauna bima ya afya kwani utahitaji matibabu baada ya kipigo na utaenda kutibiwa kwa gharama sana. Je,tuandamane kugomea uchaguzi au tuandamane kudai bima ya afya kwa wote!! Tujitafakari!
  19. H

    JamiiForums Tanzania Nawakumbusha waTanzania kuwa kuandamana bila bima ya Afya kwa wote ni hatari sana!!

    Ni kweli mnaweza kuandamana hiyo 29.10.2025 ila ni hatari sana iwapo hauna bima ya afya kwani utahitaji matibabu baada ya kipigo na utaenda kutibiwa kwa gharama sana. Tujitafakari!
  20. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Waislamu waziba barabara Canada wakishinikiza Palestina iachwe huru, watu wahoji kwanini wasiende kuandamana huko uarabuni

    Nchi nyingi za Magharibi kwa miaka mingi zimekuwa zikikariwa na jamii ya watu wa Dini ya kikristo, Nazungumzia Amerika Kaskazini, Amerika Kusini na Ulaya. Lakini hivi karibuni kumekuwa na ongezeko la waarabu kutoka Mashariki ya Kati na Waafrika ambao upeleka tamaduni zao katika nchi hizo na...
Back
Top Bottom