Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 1,447
- 3,759
Waziri Mkuu mstaafu wa Tanzania Jaji Joseph Sinde Warioba akizungumza na wanahabari leo Jumatano Disemba 04, 2024, mkoani Dar es Salaam kuhusu uchaguzi wa Serikali za Mitaa uliofanyika Novemba 27, 2024 amesema:
"Haiwezekani kwamba wananchi waamini kwamba walioenguliwa (Kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa 2024) walikosea, tena kwa maelfu, lakini wanaoenguliwa ni wa upande mmoja, kwamba kuna vyama ambavyo wanachama wake wanajua wanafuata masharti na kuna vyama ambavyo hawafuati, tunazungumzia Watanzania wa kawaida hapa."
"Haiwezekani, na wala tusije tukadanganyika kwamba kuna maelezo kwamba sababu kubwa ya watu kuenguliwa ni wao kutofuata masharti, tutakuwa tunajidanganya kama tukiamini hivyo."