kuachwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Southern Giant

    JamiiForums Tanzania Je, hili limekukuta kuachwa na bus kisha ukatumia bodaboda kulifukuza bus

    Habari ya uzima wana JF moja kwa moja niingie ktk mada bila ya kupoteza muda Je..? umewahi kuachwa na bus au kuchelewa kufika stendi kwaajili ya safari na ukakuta bus limesha ondoka kisha ukatumia bodaboda kufukuzia bus embu tueleze ilikuaje na gharama za kulifukuza zilikua kiasi gani. Mimi...
  2. KING MIDAS

    JamiiForums Tanzania Vijana wa CCM jiepusheni na u Barakala, mnatumika na kuachwa

    Wapi tumepotea ? Wapi tulipoangukia? Je! Yawezekana viongozi wanakaa muda mrefu sana madarakani kwasababu hatuna utaratibu mzuri wa kujiongoza kwenye mambo yetu? https://www.facebook.com/534107560/posts/pfbid021RJ4RMrx9V1WEkn9gQXukxhz8MTN39en5BMhXzTTActCWtHrVH2ykDvVi5fM28Q3l/?app=fbl
  3. K

    JamiiForums Tanzania Feitoto ana gundu kuachwa tena Stars?

    Jana kocha wa Taifa Stars, Adel Amrouche amemuacha tena kiungo wa Azam FC, Feisal Salum 'Feitoto' na Jonas Mkude kwenye kikosi kitakachocheza dhidi ya Sudan. Hii inakuwa mara ya pili mfululizo kwa Feitoto kuachwa na Amrouche akitangulia kukosa mechi dhidi ya Niger na Algeria, wakati Taifa Stars...
  4. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Huyo Mpenzi uliyenaye atakuvumilia katika Matatizo? Mpenzi wa Fei Toto aliolewa wakati wa Sakata la Fei na Yanga

    Akizungumza katika 'Intavyuu' maalum na Mwananchi Feisal Salum maarufu Fei Toto amefunguka yafuatayo kuhusu mahusiano yake. "Lile sakata liliniathiri kwenye mambo mengi sana sio kwa upande wa kucheza pekee, wakati niko kwenye wakati mgumu kama ule kila wakati unafikiria hii kesi itaishaje...
  5. MK254

    JamiiForums Tanzania Maeneo saba yakatikiwa na umeme Urusi na kuachwa kwenye giza baada ya kupigwa bomu na Ukraine

    Warusi wanandelea kukipata pata ndani ya nchi yao.... Seven settlements in Kursk Oblast, Russia, have been left without electricity following an alleged attack by a Ukrainian drone. Source: Roman Starovoyt, Governor of Kursk Oblast, on Telegram Quote from Starovoyt: "This morning a Ukrainian...
  6. W

    JamiiForums Tanzania Mke mwenye mimba ya miezi minne hatarini kuachwa, inawezekana?

    Ni jeuri kuliko ujeuri wenyewe! Ujeuri wake hauangalii kamwe usingle mother wake, wala msaada unaofanywa na mumewe wa kuishi na mtoto wake aliyemkuta. Ye ni kumjeuria tu mumewe muda wote tangu mwaka wa kwanza wa kuoana kwao....kasababu kadogo tu maneno ya nyodo mengiiiiii; 'una nini wewe?'...
  7. Kichwamoto

    JamiiForums Tanzania Ni dhambi na nuksi kuoa mwanamke alieachika au kuachwa kwa mwanaume mwingine na angali huyo mwanaume yu hai

    Habarini nyote, Maarifa na ufahamu ni kitu cha bure, napenda kuwajuza ya kwamba haifai kuoa mwanamke alieachika au kuachwa kama mume alokuwa nae bado yupo. Ni nuksi mbaya na ni dhambi ogopa nuksi. Itoshe kusema hayo chukueni tahadhari. Yangu ni hayo tu.
  8. K

    JamiiForums Tanzania Achoma nyumba kisa kuachwa

    katika kile kinachoonekana kama kuongezeka mtaani kwa vichaa wasiojishughulisha kuokota makopo,kijana mmoja ambae anasemekana kuwa ni askari police, huko katika kata ya Bwanga,Chato ameichoma nyumba ya wazazi wa mke wake baada ya mwanamke huyo kumuacha na kutokomea sehemu isiyofahamika
  9. THE JAGGERS

    JamiiForums Tanzania Kuachwa kunauma vibaya

    Wakuu asiwaambie mtu kuachwa kunauma💔💔 vibaya.
  10. kavulata

    JamiiForums Tanzania Ombi la Rais kuhusu Fei Toto kwa Yanga ni agizo lakini lisivunje kanuni za FIFA

    Mpira ni taasisi yenye lugha yake, taratibu zake na sheria zake. Mpira ndio taasisi inayoruhusu mtu kuuzwa kwa mkataba fulani wa muda fulani kwa kiasi fulani. Hii inafanyika kwakuwa: 1. kila timu inataka wachezaji wazuri kuliko timu pinzani. 2. Wachezaji wazuri sio wengi sana kwenye jamii...
  11. technically

    JamiiForums Tanzania Wachezaji wanatakiwa kuachwa Yanga 2023/24

    Wa Nje Dumbia Morrison Kisinda Juma Shaban Wa Ndani Ngushi Ambundo Bryson Zawadi Mauya Johora Yanga inahitaji kama wachezaji 4 wapya wenye quality wa nje. Pia wachezaji 5 wa ndani wenye quality!
  12. Infinite_Kiumeni

    JamiiForums Tanzania Jinsi Ya Kupunguza Mawazo Baada Ya Kuachwa.

    Unapoachwa na mtu umpendaye inauma. Hasa ukifikiria kwamba huyo mtu mlikua mnaendana sana. Mlikua mnaelewana. Mawazo huwa ni mengi, lakini kitu kinachotokea ni kwamba unajikuta huwezi waza kitu kingine zaidi ya mawazo ya kuachwa. Kila ukiwaza unaumia. Unaona mambo ni mabaya kila sehemu, hupati...
  13. Webabu

    JamiiForums Tanzania Wasudan wajiuliza kuhamishwa raia wa nje kuachwa wao wapigane kuna hekima gani

    Mataifa karibu yote duniani yenye raia zao Sudan wanashindana kuwakimbiza nchini humo. Imekuwa kama ni siasa kuwahi kuwaondoa raia hao kwa mbinu tofauti. Nchi inayochelewa kufanya hivyo kama kwamba inahofia kuingia matatani kwa wananchi wake huko nyumbani. Katika kuondoka huko kila nchi imekuwa...
  14. anti-Glazer

    JamiiForums Tanzania Historia yangu ya mapenz. Niliachwa: ogopa sana kuachwa

    Nina umri was miaka kadhaa sio teenager tena ni mtu mzima flan ila napenda chini na kwa imani yangu mambo magumu mno. Niliachwa wkt nikiwa college, niliteseka Sana, nilikuja kugundua asb kumekicha. Wanawak chuo ni wengi TU hats sielewi Kwa NN Binti wa kinyaturu akanitesa mtoto was watu...
  15. Mwachiluwi

    JamiiForums Tanzania Kipenzi changu anatishia kuondoka

    Hello Africa Nipo kwenye mahusiano na mdada mmoja ambaye tulijuana tukiwa shule ya upili ni mda sasa tangu tuwe kwenye mahusihano sasa kila tukigombana anakunja nguo zake anataka kuondoka na mbembeleza sasa juzi tena tumegombana kakunja nguo zake kaondoka na mimi nimemuacha sija mbembeleza...
  16. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Hii ndiyo sababu Kuu (Kubwa) ya Mabeki Shomary Kapombe na Mohammed Hussein kuachwa Taifa Stars

    Sasa kama GENTAMYCINE nakuwa Informed hivi na nina Sources wangu ( Authoritave, Credible and Reliable ) kila Kona kwanini nisiwe Mshindi wa Jumla ( Bora ) wa Jukwaa la Michezo ( Sports ) hapa JamiiForums kwa mwaka 2022? Haya chukueni hii na nawaomba muiamini tena kwa 100% kwani nimeitoa kwa Mtu...
  17. Ndondombi Mulin

    JamiiForums Tanzania Mambo unayopaswa kufanya mwanaume pale ndoa au mahusiano yako yanapovunjika

    Nasema na wanaume kwa sababu nimesikitika kuona wanaume wakiwa wanarudia makosa yaleyale mara pale mahusiano au ndoa zao zinapovunjika na kujikuta wanapoteza muelekeo wa Maisha yao. Listen; 1. Mwanaume hutakiwi kurukia mahusiano mapya kabla hujaacha 100% yale yaliyopita. Ukisha achana nayo jipe...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Wale wanaotamba "Najua kuacha sijui kuachwa" mara nyingi baadae huwa wasumbufu kwa wapenzi waliowaacha

    Kuna wale wanajionaga mafundi wa mapenzi sababu ya mionekano yao,uzuri au fedha zao wanajiamini kwamba wanajua kuacha hawajui kuacha,ila baadae hujaga kuwa wasumbufu. Nakumbuka nilikuwa na demu mmoja mzuri, ki ukweli huyu demu alikuwa mzuri Black beauty bonge la figure, halafu mara nyingi...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Basilla Mwanukuzi: Wakweli hawatakiwi nchini. Uongozi wangu ni kuweka maslahi ya wananchi mbele hata ikibidi kukosa cheo

    Na Basilla Mwanukuzi KUNA CHA KUJIFUNZA Aina yangu ya uongozi siku zote na muda wote ilijikita na itajikita katika kwanza kuweka mbele maslahi ya wananchi kwa gharama zote (hata ikibidi kukosa cheo) 2. Pili kuleta matokeo Hakuna jambo kwangu ni hasara kama kua kwenye hali ya kutakiwa kuleta...
  20. Jbst

    JamiiForums Tanzania Mapenzi ni upuuzi

    Nimegundua kwa mara ya pili mapenzi ni upumbavu na upuuzi tu, yalishanikuta mara ya kwanza nikapuuzia na hii mara ya pili nathibitisha ni upuuzi tu! Baada ya siku kadhaa kuwakejeleli watu hapa JF waliokuwa wakilialia kipuuzi kuhusu mapenzi na mimi yamenikuta aisee! Unampenda mtu na kumjali na...
Back
Top Bottom