kuachwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mtu Kwao

    JamiiForums Tanzania Kuna maumivu ya kuachwa, lakini pia kuna maumivu ya kuachwa bila kula tunda

    Wakuu salam! Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu. Kiukweli unapoachwa na mtu uliekuwa unampenda sana maumivu yake ni makali mnoo. Lakini pia kuna maumivu yale umeachwa halafu hukuwahi kula tunda na ulikuwa unahudumia kila kitu. Ila kwenye swala la kula tunda bado ulikuwa unazungushwa mpaka...
  2. MR.NOMA

    JamiiForums Tanzania Msichana alivyonizingua na kuniacha, sielewi kitu

    Wanajanvi kwema? Ninaleta kwenu stori ya kweli ya mkasa uliyonikumba mimi mwenyewe hivi karibuni. Miezi minne iliyopita nilikuwa safarini kutokea Singida Kuja Dar, nikiwa stend Singida nilipanda bas lililotokea Mwanza kuja Dar, bahati nzuri siti ya Jirani kulikuwa na Msichana mwembamba mrembo...
  3. Muuza simu used

    JamiiForums Tanzania Ukiachwa halafu hauna mahusiano mengine

    Yaani ukiachwa halafu hauna backup utataabika sana unajua ni ngumu sana kupata demu kama huna demu! Hakikisha unakuwa na backup (sio mchepuko)ili siku ukisikia nyuma geuga unageuka na backup yako kazi inaendelea. Hakikisha unamuweka backup kwenye friend zone siku yale yajayo yanafurahisha...
  4. E

    JamiiForums Tanzania Hivi mwanaume mwenye hela anaweza kuachwa?

    Habari za leo wakuu, Nimekua nikijiuliza maswali haya leo nikiwa nimetulia nikaona ngoja niwashirikishe na ninyi. Hivi wakuu mwanaume mwenye hela anaweza akaachwa? Ni mazingira gani yanaweza kusababisha mwanaume mwenye hela kuachwa. Na wadada nao sasa huwa mnajiskiaje mnapojaribu kumwacha...
  5. Melancholic

    JamiiForums Tanzania Nimeachwa na mpenzi wangu, naumia sana

    Kuna dem alikuwa ananikubali mbaya na kazi zake anafanyia jirani na napoishi nikamuaproach dem akakubali na ni pisi kali sio poa, mwanzo alikuwa anapenda sana kuniita ofisini kila saa mara njoo nikuone usipoenda bac ananuna na vile vile anajua madem wa hapa home wananipenda mno nikaona niwe...
  6. Mboka man

    JamiiForums Tanzania Kuepuka maumivu na msongo wa mawazo baada ya kuachwa na mwenza fanya yafuatayo

    1.Hatua ya kwanza piga moyo konde kukubali matokeo kila lenye mwanzo Lina mwisho huyo sio wako tena. 2.hatua ya pili futa kumbukumbu zote kuhusu yeye ikiwemo namba za simu picha Meseji n.k ili kuepuka mazingira ya kumfatilia. 2.hatua ya tatu epuka kusimulia watu wako wa karibu kama umeachwa we...
Back
Top Bottom