Kwenye majukwaa ya hadhara utasikia Bwana Yesu Asifiwe, Tumsifu Yesu Kristo
Tofauti hapo ni nini ?
Au utasikia "Asalam Aleikum, Bwana Asifiwe, Tumsifu Yesu Kristo.
Zinatumika salamu za dini zote mbili ili kuleta balance, sasa kwa nini za Wakristo ziwe mbili? Na mbili zenyewe ni kitu kile...