kozi

Közi is a Japanese musician, singer-songwriter and DJ. He is best known as guitarist for the visual kei rock band Malice Mizer. After the band went on indefinite hiatus in 2001, he formed the industrial rock duo Eve of Destiny and also started a solo career. Közi is currently in the bands Dalle, XA-VAT, ZIZ and Vamquet, while occasionally performing solo shows.
During his time in Malice Mizer, Közi often assumed the role of a pierrot doll, dressing in clown-like costumes with large ruffs, always in shades of red, his favorite color. In music videos and on-stage he would often make movements reminiscent of a marionette. Közi has continued this visual style to some extent, but his contemporary stage costumes are more gothic. His work on the Izayoi no Tsuki project was reminiscent of carnival music, and artwork for his projects usually follow a dramatic, theatrical theme. Very few details about his private life are known.

View More On Wikipedia.org
  1. Mia saba

    JamiiForums Tanzania Anayefahamu kuhusu hii kozi naomba msaada wa kimawazo

    Kuna mdogo wangu kachaguliwa. Agriculture economics and agribusiness pale SUA. Nimekuja hapa jukwaani kuuliza kwa wanao ijua vizuri na fursa zake katika Dunia ya sasa. Je, inaweza msaidia 2025 atakapo graduate. Natanguliza shukrani 🙏
  2. Mr Pixel3a

    JamiiForums Tanzania Udom kukosa kozi kama civil , electrical na mechanical engineering ni tatizo

    Poleni na majukumu Wakuu,hoja muhimu ni kwamba Imekaaje chuo Chuo kikubwa nchini kam UDOM kukosa kozi tajwa hapo juu ,ikizingatiwa ni chuo chenye uwezo wa kubeba wanafunzi wengi Tanzania.Kwanini wadau na wizara zisipunguze mzigo kwa vyuo kama Udsm,DIT,MUSTnk maana vinachukua wanafunzi wengi...
  3. N

    JamiiForums Tanzania Novemba 21: Matola kasome kozi ya CAF A Diploma, usikimbie

    Ni kama vile Suleiman Matola hapendi kusoma hizi kozi bila kujua anajinyima fursa za maana, ndugu yangu Matola, TFF washatangaza hii nafasi nenda kasome sasa we mzee. Uongozi wa Simba pangeni ratiba kabisa huyu jamaa apewe nafasi akapate cheti hicho, ikibidi hata yule Sebastian Nkoma naye aende...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada kwa wenye kujua kozi gan nzuri kati ya Tourism managent an markerting, BAGES au IT application and management

    Tafadhali msaada kwa wenye kujua...halafu ni ipi kwa hapo ipo marketing
  5. B

    JamiiForums Tanzania Ufafanuzi kuhusu bachelor in human resources managenent na labour relation na public management

    Nimechaguliwa chuo Cha institution of social work kozi ya human resources nataka kubadilisha nisome kozi ya labour relation na public management naomben ushauri wenu niende ipi Kati ya hizo au nibaki na hiyo niliochaguliwa
  6. Fazzah5x

    JamiiForums Tanzania Je, kuna uhusiano wa kuhama kozi au chuo na kupata mkopo?

    Ndugu zanguni hebu nisaidieni Kivi kuna uhusiano kati ya kuhama kozi au chuo na upataji wa mkopo wa elimu?
  7. D

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri wa kuhusu kozi ya kusoma katika vyuo hivi

    Habari za majukumu ktk ujenzi wa Taifa? Kati ya Bachelor of Sociology Udom, Bachelor of Sociology SAUT Mwanza na Bachelor of Public Administration Mzumbe Campus ya Dar, na Community & Development Studies Ardhi bora wapi? Ni mtoto wa kike anaomba ushauri aconfirm wapi. Ahsante
  8. Masinki

    JamiiForums Tanzania Naomba kuelekezwa vyuo vinavyohusika na kozi za utunzaji kumbukumbu (Records management) Mwanza

    Kichwa Cha habari kinajieleza vema, Mwenye kufahamu vyuo hivyo Jijini Mwanza naomba anipe Maelekezo na wilaya kilipo!!! Nawasilisha!!
  9. Iam__junior

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi Wa Kozi

    Habari Wana JF. Naomba Kuuliza Kipi Hupewa Kipaumbele Katika Uchaguzi Wa Kozi.?? Ama Nini Mtu Aweze Kuangalia Katika Uchaguzi Wa Kozi.?? NB:Achana Na Ajira
  10. B

    JamiiForums Tanzania Nataka kuanzisha Chuo, Nishaurini nianze na kozi zipi?

    Wadau, kuna fursa nimepata ambapo natakiwa kuanzisha chuo. Kwa kuanza, chuo kitakuwa kinatoa mafunzo kwa ngazi za certificate na diploma kisha baadaye tutaenda level za juu zaidi. Sasa natamani kujua ni kozi zipi nianze nazo? ambazo zinapendwa, zenye soko na zitakazouza jina la chuo vizuri...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Rais Mwinyi awataka wahitimu wa Kozi ya Usalama na Stratejia kuyatumia vema waliyofundishwa

    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mheshimiwa Dkt. Hussein Ali Mwinyi amewataka wahitimu wa Kozi ya Usalama na Stratejia kuyatumia kwa vitendo maarifa waliyoyapata katika Chuo cha Taifa cha Ulinzi (NDC), kilichopo Kunduchi Jijini Dar es Salaam. Dkt. Mwinyi ameyasema hayo...
  12. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Uchambuzi wa kina kuhusu kozi za computer - IT, Computer science, Computer Engineering, Software engineering na Cyber security

    Uchambuzi wa kina kuhusu utofauti wa IT, Computer science, Computer Engineering, Software engineering na Cyber security. Post hii nimewandalia hususan wanafunzi waliomaliza sekondari wakitarajia kwenda vyuoni kusomea kozi za computer ila kwa sababu ya ugeni wa elimu ya chuoni pamoja na muda...
  13. A

    JamiiForums Tanzania Je ni kozi zisizokuwa hazikosi ajira?

    Nimemaliza pcb 2022 nimepata division 1.8 phys C chem B na Bio C natafuta course ambayo nikimaliza tu chuo nipate ajira swali langu je ni kweli kuwa kozi za afya ni kozi ambazo watu wake hawakosi ajira kamwe pindi tu anapotoka chuoni (fresh graduate)
  14. N

    JamiiForums Tanzania Kozi ya Uhandisi

    Habari, wakubwa naomba ushauri wa kozi ipi nikasome, hapa nimemalza Diploma ya Mechatronics engineering. Naombeni ushauri wa kozi nzuri ya kusoma level ya degree
  15. Isolated

    JamiiForums Tanzania Msaada kasoma pcb kwa matokeo haya a Hague kozi gani

    Physics C Chemistry C Biology D BAM D USHAURI tu Mana naona kozi za afya ni ngumu kutoboa
  16. Zero Conscious

    JamiiForums Tanzania Msaada: Kozi ya ‘Biotechnology and Bioinformatics’ inahusiana na nini?

    Habari za muda huu tena wakuu. Naomba msaada na ufafanuzi juu ya Kozi hii inahusika na mambo Gani? BACHELOR OF SCIENCE IN BIOTECHNOLOGY AND BIOINFORMATICS Natanguliza Shukrani
  17. Gordian Anduru

    JamiiForums Tanzania Kwa ufaulu huu Engineering atapata? Na je aombe kozi gani?

    wadau ushauri kwa mpwa wangu please G/STUDIES - 'E' GEOGR - 'C' PHYSICS - 'D' ADV/MATHS - 'E'
  18. ommytk

    JamiiForums Tanzania Ushauri je kwa kwa matokeo aya anaweza kusoma kozi gani nzuri

    Wadau naomba ushauri huyu mjukuu wangu he kwa matokeo aya anaweza kwenda kusoma kozi gani au chuo gani General study E History E Geography E English D Ana dv 3 ya 14
  19. Mstahiki Mea

    JamiiForums Tanzania Kozi ya kufundisha kiswahili kwa wageni

    TANGAZO ! Kozi ya kufundisha Kiswahili wageni Asasi ya swahilispeaking.co.tz (Dar es Salaam, Tanzania), inayojishughulisha na ufundishaji wa Kiswahili kwa wageni inatarajia kutoa mafunzo mafupi kwa mtu anayependa kujua namna ya kufundisha wageni. Ni asasi binafsi ya KISWAHILI kwa WAGENI, ni...
  20. Zero Conscious

    JamiiForums Tanzania CBG kapata D tatu, asome kozi Gani?

    Wakuu habari za wakati huu. Nina mdogo wangu amesoma mchepuo wa CBG na amepata D tatu. Naomba msaada ni Kozi Gani nzuri anaweza akasomea?
Back
Top Bottom