KOSA-TV, virtual and VHF digital channel 7, is a CBS-affiliated television station licensed to Odessa, Texas, United States and serving the Permian Basin area. The station is owned by Gray Television, as part of a de facto triopoly with MyNetworkTV affiliate KWWT (channel 30, also licensed to Odessa) and Big Spring-licensed CW+ affiliate KCWO-TV, channel 4 (which is simulcast in high definition on KOSA-TV's second digital subchannel); it is also sister to two low-power stations: Odessa-licensed Telemundo affiliate KTLE-LD, channel 7.5 (which is simulcast in standard definition on KOSA-TV's third digital subchannel and in high definition on KCWO's second digital subchannel), and Midland-licensed Cozi TV affiliate KMDF-LD (channel 30.5). The five stations share studios inside the Music City Mall on East 42nd Street in Odessa, with a secondary studio and news bureau in downtown Midland; KOSA-TV's transmitter is located on FM 866 west of Odessa. The station is relayed on low-power translator K31KJ-D in Big Spring.
On cable, KOSA-TV is carried on Reach Broadband channel 4, and on channel 7 on other systems in the market.
⚖️Uzito ni Msingi wa Mafanikio Katika Ufugaji wa Kuku wa Mayai!
Kwa muda sasa tumekuwa tukitembelea wafugaji wa kuku wa mayai katika mikoa mbalimbali hapa nchini. Kitu cha kushangaza (lakini cha kawaida sana) ni kwamba wafugaji wengi hawana mizani kabisa ya kupimia uzito wa kuku wao!
Hii...
Kupitia mijadala mbalimbali na hasa baada ya TAML kukamatwa na kufunguliwa shitaka la uhaini kumekua na mijadala mingi sana na nilichogundua ni kwamba watu wengi hawajielekezi kwenye kanuni za uhaini.
Ili uhaini utendeke vipo vipengele kadhaa (principles) vikamilike ndio waweza kumtia...
Kuna baadhi ya wafanyakazi kazini ni kama wanakinga , hawaguswi hata wakikosea vipi. Wanafanya makosa ya wazi, lakini hawaguswi. Lakini wewe ukisema tu kitu kidogo, unaandikiwa barua.
Nilikuwa na mtu mmoja kazini ambaye nilimwamini sana. Nilimchukulia kama dada. Nilimueleza changamoto...
KOSA WANALOFANYA WATU WENGI NI KUITUPA FIMBO ILIYOWASAIDIA WALIPOKUWA VIPOFU.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Unakuta kijana kasoma kimazabe kutokea shule za kayumba, mwalimu mmoja, hakuna maabara wala maktaba. Lakini kijana akakaza akafaulu na hatimaye alifika chuo kikuu na kuhitimu shahada...
1. Nimewahi kukutana na huyu Profesa huko Mzumbe, Main Campus - Morogoro.
2. Msomi huyu ni ngumu kuongea lugha ya Kiingereza hata logic kwenye sentensi za Kiswahili ujitahidi kumuelewa sana vinginevyo unaweza kutoka kapa.
3. Akapata u-DVC-Academic, punde katumbuliwa na nafasi yake kujazwa na...
Kwa mwana ccm hasa viongozi, ukiwaambia watamke neno Haki, ni kama wanataka kuingia kwenye kosa la Jinai kulitaja, ni kama kutaja jina la mama mkwe wao
Kwa nini mnazuwia kwa nguvu zote mahala popote Haki kutajwa?
Hii inasadifu kile kinasemwa na umma wa Watanzania kwamba, ushindi wenu upo...
Habari Wakuu!
Kama kichwa cha habari kinavyosema, kosa lenyewe ni kuishi bila mpango naam kuishi bila plans.
Leo hii ukiona kijana kamaliza chuo halafu mwaka unaisha yupo nyumbani bila mishe yeyote ujue halikuwa hana mpango wa maisha yake baada ya kuhitimu. Na vijana wengi wa sasa wana hili...
Uvunjifu wa amani ni kosa la jinai chini ya Kanuni ya Adhabu, hasa Kifungu cha 89. Inahusisha kutumia lugha ya matusi, ugomvi, au kuleta fujo zinazoweza kusababisha uvunjifu wa amani. Iwapo watapatikana na hatia, wahalifu wanaweza kukabiliwa na kifungo cha hadi miezi sita, bila chaguo la kulipa...
Nimewahoji watu zaidi ya mia moja, ambao ni kutoka vyama mbali mbali wakiwemo CHADEMA na hata wasiokuwa na vyama, kwa kweli wengi waliomsikiliza wamesema waliliona kosa la uhaini mwanzo tu ndani ya hotuba yake.
Wengine walifika kusema Lissu hakumungunya maneno wala kupiga mafumbo ,aliweka kila...
Baada ya kutizama kwa kina nyimbo za Diamond Platnumz zilozofungiwa na BASATA, Hallelujah, Wakawaka na nyinginezo sikuona kosa la kimaadili
Miaka ya nyuma BASATA ilichukua uamuzi wa kufungia nyimbo hizo kwa madai ya kuvunja maadili, baada ya kutazama kwa kina sikuona maudhui mabaya, akina dada...
KISANGA,JA, RAMADHANI, JA, And LUGAKINGIRA, -J.A.)
We have to be clear in our minds what treason is. What does it entail generally: against who can it be carried and by whom"-:'
The Concise dictionary of Law defines treason as ‘-Conduct comprising a breach of allegiance owed to the sovereign...
Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Jeshi la Polisi SACP Safia Jongo ambaye ni Kamanda wa Polisi Mkoa wa Geita amesema hakuna mtu akiwemo Askari Polisi anayeruhusiwa kumpiga mtu bali anatakiwa amueleze kosa lake na amfikishe Kituo cha Polisi.
Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Jeshi la Polisi, Safia...
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Emmanuel Nchimbi amesema hakuna mtu anayeweza kuzuia Uchaguzi Mkuu bila kujali nafasi yake, na kuongeza kuwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kina haki ya kutoshiriki Uchaguzi Mkuu 2025 kwa kuwa suala hilo ni hiyari kwao na hakuna haja ya...
Mahakama ya Kuu Kanda ya Morogoro imemhukumu kunyongwa hadi kufa mshtakiwa Amos Martin Masua mkazi wa Kingolwila mkoani Morogoro kwa kosa la kumuua baba yake mzazi Martin Masua (84) mkazi wa Kidunda na kumzika pembeni ya nyumba yake.
Hukumu hiyo imetolewa Aprili 4, 2025 na Jaji Aisha Sinda...
Ni ndugu yangu huyu mtoto wa baba mdogo
Mwaka jana nilimwambia vipi ndoa akaniambia mwaka huu, basi nikaona hakuna tatizo
Mwaka ndio umefika huu nikaona nimkubushe vipi kuhusu ndoa, ni ghafla tu kama vile ananikwepa, hata nikimpigia simu atasema ana drive, yupo kikaoni, n.k,
Leo nilimuona...
Ngosha kasalitiwa na Mke wake, kulingana na tukio linavyoonekana ni kwamba hata Mtoto si wake..
Analalama kwa uchungu sana..
KATAA Ndoa wanachukua points 3 za wazi.
Inaonekana Binti pia hana aibu kabisa.. (Jeuri).
Mbaya zaidi hasira za mtu aliyesalitiwa (Ngosha) anazihamishia kwa Mke msaliti...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.