KOSA-TV, virtual and VHF digital channel 7, is a CBS-affiliated television station licensed to Odessa, Texas, United States and serving the Permian Basin area. The station is owned by Gray Television, as part of a de facto triopoly with MyNetworkTV affiliate KWWT (channel 30, also licensed to Odessa) and Big Spring-licensed CW+ affiliate KCWO-TV, channel 4 (which is simulcast in high definition on KOSA-TV's second digital subchannel); it is also sister to two low-power stations: Odessa-licensed Telemundo affiliate KTLE-LD, channel 7.5 (which is simulcast in standard definition on KOSA-TV's third digital subchannel and in high definition on KCWO's second digital subchannel), and Midland-licensed Cozi TV affiliate KMDF-LD (channel 30.5). The five stations share studios inside the Music City Mall on East 42nd Street in Odessa, with a secondary studio and news bureau in downtown Midland; KOSA-TV's transmitter is located on FM 866 west of Odessa. The station is relayed on low-power translator K31KJ-D in Big Spring.
On cable, KOSA-TV is carried on Reach Broadband channel 4, and on channel 7 on other systems in the market.
Mwongozo wetu kwa makampuni yote ya nje, hayaruhusiwi kujishughulisha kwa namna yoyote ile kwenye mambo ya vyama vya siasa na siasa kwa ujumla.
Jambo la ajabu, tumeambiwa kampuni ya China imeichangia CCM. Hiyo tayari ni ukiukaji dhahiri wa mwongozo mkuu wa makampuni yanayowekeza nchini.
Lakini...
Tarehe 11 Agosti 2025, Mahakama ya Hakimu Mkazi wa Broadhurst, nchini Botswana, ilitoa hukumu dhidi ya raia wa Tanzania, Emma Sezary Beda (42), baada ya kumtia hatiani kwa kosa la umiliki wa dawa za kulevya aina ya “dagga” (bhangi).
Kwa mujibu wa taarifa za Jeshi la Polisi la Botswana, tukio...
Waafrika wanaangamia kwa kukosa wa kuwasimamia.
Yaani mtu anatoka huko kijijini, anafika mjini masikini, ghafla tu anaweza kutenda miujiza na kuongea na Mungu. Je, huko kijijini alishindwa nini?
Serikali zinawaangalia tu masikini wanaibiwa na kutapeliwa kuwa wanaponywa na kutajirishwa. Kwani...
"
"Hadithi ya Kutikisika kwa Ardhi isiyokuwa ya kweli katika Mathayo 27:51.
Wanasayansi wa geolojia* hawajapata ushahidi wa tetemeko kubwa la ardhi linalo lingana na hilo katika historia ya Yerusalemu mnamo karne ya kwanza.
Tacitus, Josephus, au Pliny the Elder ndo wana historia wa kubwa wa...
Ni Kweli MPINA Hauna Mpinzani KISESA hili liko wazi
Ila ilikupasa ukubaliana na Ukweli kua chini ya SAMIA SULUHU hutakiwi kua Mbunge Kwa Namna yoyote Ile .
Angetaka uwe Mbunge ,asingekukata, Angekubakisha CCM, ila alikukata Licha ya yeye kujua ukweli kua unakubalika.
Kilichomfanya akukate...
Nimekuja direct kwenu wana jf kuna story yangu nataka kushare nanyi, iko hivi;
Nilipokuwa chuo mwaka wa kwanza nilipata mpenzi tumwite (Grace) siyo jina halisi. Grace alikuwa mwaka wa pili, katika uhusiano wetu nikiwa mwaka wa pili, nikagundua kaanza mahusiano na mtu mwingine tumwite Juma...
Kanuni za dunia tunayoishi sio rahisi kuzielewa na wakati mwingine inachukua muda hasa baada ya kupitia mengi. Sasa nimeelewa ukweli wa kanuni hii "Every mistake has consequences".
Hakuna kosa utakalofanya kwenye maisha yako lisiwe na gharama ya kulipa hata kama utatubu na kusamehewa na...
Mimi ni mlozi, tena ni mlozi mzuritu.
Nimepata wazo nyumba yangu niigeuza mahakama ya asili (kimila au kichawi)
Yaani niweke bango barazani niandike kalibu mahakama ya asili.
Majukumu yake ni
Kushughulikia haki, mali ndoa nk
Mfano
Umeibiwa na unataka kumloga mwivi wako unakuja...
Huyu bwana alianzisha vita ambayo hawezi kuimudu. Kupigana two frontlines kwa wakati mmoja ilikuwa ni kosa moja kubwa la kiufundi lililomgharimu. Atleast angepigana moja kwanza iishe.
Yaani upande wake wa magharibi hajamalizana na mbritish+mfaransa , akagawa vikosi vya jeshi lake...
Leo ikiwa ni miaka mitano tangu kufariki kwa Rais wa Awamu ya Tatu, Benjamin Mkapa, alisisitiza kuwa ni kosa kwa kiongozi kudharau mchango wa serikali iliyopita na kuwataka viongozi kuheshimu misingi na mafanikio yaliyotangulia.
"Tuna mabadiliko ya serikali katika nchi za Afrika, wakati...
Idara ya Upelelezi wa Jinai (DCI) nchini Kenya imeondoa mashitaka ya ugaidi dhidi ya Mwanaharakati Boniface Mwangi, ambaye sasa anakabiliwa na mashitaka ya kumiliki risasi kinyume cha sheria.
Mwangi, ambaye ameachiwa kwa dhamana, awali alishtakiwa kwa kusaidia shughuli za kigaidi kufuatia...
Team!
Jana nilifuatilia kwa karibu wasilisho la Balozi Polepole na usiku huu nimerudia kusikiliza hoja yake kuhusu Rais kutogombea kwa hoja inayojengwa juu ya utamaduni. Hizi ni fikra mbovu kiasi fulani.
# Wapi ilikoandikwa ktk Katiba kuwa VP, PM, Speaker hawaruhusiwi kuwa Rais miongoni mwao...
Nimemsikiliza professor wa shule ya uongozi , chuma cha mjerumani ndugu" slowslow ", kwa Kujiamini kwake na namna alivyojipanga kusukuma kete zake. Niwazi mtu huyu alipata zaidi ya uzoefu wa kisiasa alipokuwa katika utumishi wake pale Cuba, huyu sio yule Polepole mchelemchele. Huyu wa sasa ni...
Kila siku wananitumia SMS kwamba wana huduma inaitwa MGODI na wanaweza kunikopesha kiasi cha shilingi 530,000/= halafu wananipa menu ya huduma hiyo na kunitaka nikope haraka.
Leo nimejaribu wananiambia "ndugu mteja huduma hii itakujia hivi karibuni" sasa nataka kuwafungulia mashtaka ya...
Nimekuwa mfuatiliaji wa karibu wa Bunge ambalo linahitimisha uhai wake leo, lakini kuna jambo limekuwa likinitatiza na kujiuliza Kosa la Mpina ni nini hadi aandamwe kiasi hiki?
https://youtu.be/PN81WsF_xtk?si=k9ZKT_YzOEruZsfw
https://youtu.be/dJ3VufyOuLE?si=bfhouP59K5a_gcSP...
Huenda ikawa coincidence tu lakini ni ni muhimu kuwa makini ni sana watu wanaingia kununua vitu bila kujua kuwa supplier anavyo kwenye stock au Hana au ni dalali au non technical anaefungasha tu limzigo na iukuletea kisha kikikushinda anawasumbua wale jamaa wakupe majibu ya msaada unaona hayuko...
Kuna mzaha hufanywa na baadhi ya watu dhidi ya wanasiasa wanaoipinga CCM wanapokimbilia nje ya Tanzania.
Kuna hoja kwamba huwezi kupigania maslahi ya Tanzania na watanzania ukiwa nje ya Tanzania. Na wengine hufika mbali zaidi kwa kuwaita watu hao ni vibaraka wa mabeberu.
Lakini Historia ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.