kosa

KOSA-TV, virtual and VHF digital channel 7, is a CBS-affiliated television station licensed to Odessa, Texas, United States and serving the Permian Basin area. The station is owned by Gray Television, as part of a de facto triopoly with MyNetworkTV affiliate KWWT (channel 30, also licensed to Odessa) and Big Spring-licensed CW+ affiliate KCWO-TV, channel 4 (which is simulcast in high definition on KOSA-TV's second digital subchannel); it is also sister to two low-power stations: Odessa-licensed Telemundo affiliate KTLE-LD, channel 7.5 (which is simulcast in standard definition on KOSA-TV's third digital subchannel and in high definition on KCWO's second digital subchannel), and Midland-licensed Cozi TV affiliate KMDF-LD (channel 30.5). The five stations share studios inside the Music City Mall on East 42nd Street in Odessa, with a secondary studio and news bureau in downtown Midland; KOSA-TV's transmitter is located on FM 866 west of Odessa. The station is relayed on low-power translator K31KJ-D in Big Spring.
On cable, KOSA-TV is carried on Reach Broadband channel 4, and on channel 7 on other systems in the market.

View More On Wikipedia.org
  1. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Samia akikamatwa kama asipomaliza ashtakiwe kwa kosa la kuihujumu Jamhuri ya Muungano ktk Mahakama ya Kijeshi

    Ukiwa kiongozi wa Nchi kosa kubwa zaidi unaloweza kulifanya ni kuingiza askari wa kigeni kuua raia wako. Kosa alilolifanya samia kuchukua askari wa Uganda kuua watanzania ili abaki madarakani ni kosa kubwa zaidi kuwahi kufanywa na kiongozi yeyote yule. Askari hao wa Uganda wanatumia facilities...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Kosa watalolifanya wakuu wa Jeshi la Wananchi

    Wakuu habari. Nimewaza na kuona kuwa kosa atakalo fanya kwanza CDF na wakuu wengine wa jeshi la wananchi ni kutotumia nafasi hii kuwakomboa watanzania kutoka kwenye uongozi usiofata sheria na wenye wizi wa kura nk. Kwani tujikumbushe jinsi Mkuu wetu MABEYO alivyosimama kuhakikisha Samia anakuwa...
  3. Common Folk

    JamiiForums Tanzania Kosa la 1 lilikuwa kuzima Internet, kosa la 2 ni kufungia watu wasitoke. Hayo ma-2 yanaleta "UNREST" kwa nature ya binadamu na inafanya damu zichemke

    Mimi mwenyewe jana sikujua kama nitatoka, ila nilitoka. Hiyo ni baada ya kuzima internet ambayo ilikuwa inanisaidia kufuatilia mambo live online. Watu wakikosa taarifa ya nini kinachoendelea watafanya kila namna wafike eneo la tukio wakajionee live. Hiyo ndo inafanya watu waunge tela la...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Kosa na Mama Samia ni kupuuza wazee sasa nani atakuongelea! mwenye busara

    Kosa na Mama Samia ni kupuuza wazee sasa nani atakuongelea! mwenye busara. wazee kama Warioba na Kimiti wangeweza kuongea na kunyamazisha vijana lakini dharau na kejeli za viongozi wa CCM na ubinafsi wa Raisi Mstaafu Kikwete sasa nchi haina mtu mmoja wa kuongea na kusikilizwa mwenye busara...
  5. Common Folk

    JamiiForums Tanzania GE2025 Hivi toka lini kuchana mabango ya kampeni za uchaguzi ikawa kosa kisheria? Ina maana ukiwa mwanajeshi sheria inakulazimisha kuchagua chama tawala tu?

    Ina maana ukiwa mwanajeshi haki zako za kiraia zinaondoka? Unakuwa hauna uhuru wa kumchagua kiongozi unayemuona anafaa kwa utashi wako binafsi! Lets say kweli wamefanya kosa, ya nini kuanza kuwasimulia mapolisi wenzio kwamba mmekamata wanajeshi, takukuru, madaktari nk! Kwa jicho la 3, mimi...
  6. W

    JamiiForums Tanzania GE2025 Darugar: Ni kosa kubwa sana mtu kuacha shughuli zake au afunge duka kwa hofu ya mtafaruku Oktoba 29, Tupo vizuri kiusalama

    Mwenyekiti wa Serikali za mitaa Mtendeni, Kata ya Kisutu Mustaquim Darugar amewaomba Watanzania wasiwe na hofu ifikapo Siku ya Uchaguzi Mkuu Oktoba 29 ambao ni wakati sahihi wa kupiga kura na Wananchi wasiogope badala yake wajitokeze kwa wingi kutekeleza jambo hilo ambalo ni haki yao kikatiba...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Polepole alifanya kosa kubwa kutowafichua waliomteka dada yake. Sasa na yeye ametekwa

    ..alidai waliomteka dada yake amewaona. ..na akadai anawajua waliowatuma. ..badala ya kuwaweka wazi yeye akaendelea na mambo yake. ..watekaji wakajipanga upya na sasa wamemteka. ..hili ni fundisho kwa sisi wengine tuliobaki. ..Si busara kutowafichua wahuni, na watekaji.
  8. baz kaiza

    JamiiForums Tanzania Nani anaweza kusema kosa la Polepole?

    Polepole alikua anasema wahuni ndo kosa lake Je ni kweli wahuni wapo walikua wanachukia anayoyasema? Kwa hiyo maneno ya Polepole yalikua yana Ukweli sio propaganda za kisiasa. Kama ni kweli polepole katekwa basi tunakubaliana Polepole yote aliyokua anasema ni kweli. TANZANIA tuna safari ndefu...
  9. Its Tesha

    JamiiForums Tanzania Heche: Muachieni Polepole na viongozi wetu wote haraka

    Kupitia ukurusa wake wa Instagram Makamu Mwenyekiti CHADEMA ameandika haya....... "Kukosoa serikali sio jinai, kukosoa mienendo ya serikali na uongozi sio kosa lolote kwenye Nchi hii. Hatukubaliani na utekaji na utesaji wa Watanzania kwa kisingizio kwamba wanakosoa serikali ya Rais Samia...
  10. Titicomb

    JamiiForums Tanzania Saed Ramovic siyo kocha mzuri kwenye kujilinda, Yanga msifanye kosa kumchukua tena

    Viongozi wa Yanga tafadhari sana, tena sana msifanye kosa la kumrudisha Saed Ramovic. Kumbukeni jinsi Yanga yake ilivyo kuwa shambolic in defense ikifanyiwa counter attacking. Ilikuwa wapinzani wakifanikiwa kupora mpira na kupiga long balls zinazofika kwa usahihi basi lazima wakamsalimie Diarra...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Sasa hapa utasema ni kosa la baba kumtelekeza mtoto ?

    Kulikuwa na bwana mmoja aliyeishi na mke wake, lakini siku moja wakazozana. Kama ilivyo kawaida wakati mwingine wanawake wakiwa na hisia kali, hasa wanapokasirika husema mambo mazito, mke alimwambia kuwa mimba aliyobeba si yake na akamtaja mwanaume mwengine ndie aliemjaza mimba huku akitoa...
  12. W

    JamiiForums Tanzania Polisi: Tumemkamata Kiduku kwa Tuhuma za makosa ya kimtandao

  13. K

    JamiiForums Tanzania Kosa la binti huyu mwanachuo lilikuwa nini mpaka atekwe na kuuawa mkoani Mbeya?

    Shyrose alitekwa siku ya Jumamosi na watu wasiojulikana na wakaanza kumpigia Baba yake simu kumuomba Pesa ili wamuachie huru huku wakimtumia Video fupi wakimuonesha wanavyomtesa. Baada ya kupata Video hizo Baba Mzazi Dkt. Mabula Mahande alituma kiasi kidogo cha pesa ili Mwanae asiumizwe lakini...
  14. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Kosa uwe na kauwezo kidogo alafu umpite mbongo wa hali ya chini bila kumsalimia, aisee lazima utungiwe diss track na mtaa mzima watasikiliza

    🗣️"JAMAA ANAJIKUUUTA MWAMBA, WAKATI TUMEMUONA HAPA TANGU ANATAABIKA TUNASHINDIA NAE VISHETI KIJIWENI"
  15. Mr George Francis

    JamiiForums Tanzania Je, wajua uchawi ni kosa kisheria?

    UCHAWI ni matumizi ya nguvu zisizo za kawaida zinazotumika kuwadhuru wengine kwa namna isiyo ya kawaida. Uchawi unajumuisha mazingaombwe, kuloga, matumizi ya vifaa vya uchawi, matendo ya nguvu za giza au umiliki wa maarifa ya siri yasiyo ya kawaida. Uchawi sio dhana mpya katika jamii zetu bali...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Kosa kubwa la Polepole ni kuongelea CCM kuliko taifa

    Kosa kubwa la Polepole ni kuongelea CCM kuliko taifa. Kama kwa nyakati hizi unaongelea kumwaga oil ya CCM na kupuuza utekaji, haki na demokrasia kwa ujumla wake utakosa watu wa kukusikiliza. CCM pamoja na kujigamba hawafiki hata 50% ya Watanzania. Chadema wanasikika kwasababu wanaongelea mambo...
  17. Yoda

    JamiiForums Tanzania Marekani na Uingereza walifanya kosa kubwa la kimkakati kuungana na USSR dhidi ya Hitler na Ujeruman yake

    Katika vitu Wamarekani wataendelea kuvijutia ni kuungana na USSR chini ya Stalin kumpiga vita Hitler, lile huenda lilkuwa kosa kubwa la kimkakati la muda mrefu. Hata kama Hitler alikuwa anawaua Wayahudi, wangemuacha kwanza au wamsaidie auangushe utawala wa USSR kisha baadaye ndipo washughulike...
  18. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Polepole: Membe alihusika kusuka mipango ya Rais [Magufuli] kuuawa

    Humphrey Polepole amesema, "Kamati Kuu moja imekaa Lumumba imejadili Membe alihusika kusika mipango ya Rais kuuawa na ndiyo ulikuwa msingi wa kumchulia hatua Membe.."
  19. comrade_kipepe

    JamiiForums Tanzania Nimefanya kosa kubwa Sana, Siri yangu ya muda mrefu imefichuka

    Juzi Kati hapa nilienda bank nikatoa kiasi cha pesa ATM, halafu risiti Ile nikaiweka kwenye pochi, sasa Leo shemeji yenu hapa tulikua tunapiga story nikawa namwambia kwasasa mambo ya pesa sio mazuri hayajatulia, si akaanza kucheka bwana, ananiambia unasema huna hela wakati niliona risiti kwenye...
  20. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kocha Florent Ibenge umefanya kosa kubwa sana na la Kiufundi kuja Kufundisha Soka Tanzania ambayo Ligi Kuu yake ina Makandokando mengi yasiyoelezeka

    Na nina uhakika CV yako kubwa na nzuri uliyoijenga huko Kwingineko inaenda Kuharibika rasmi hapa Tanzania. Mimi GENTAMYCINE ninayeandika hivi naijua Michezo michafu yote ya Simba na Yanga na ya Ligi Kuu ya Tanzania na ndiyo maana unaona nasema tena kwa Masikitiko makubwa kuwa nakuonea Huruma na...
Back
Top Bottom