kondoo

Kondō Isami (近藤 勇, November 9, 1834 – May 17, 1868) was a Japanese swordsman and official of the late Edo period. He was the fourth generation master of Tennen Rishin-ryū and was famed for his role as commander of the Shinsengumi.

View More On Wikipedia.org
  1. SoC03 KONDOO WENYE JEURI: Kukomoana Huzaa Msiba

    Kondoo wawili walikuwa wakitokea pande tofauti za mto. Mmoja akitokea kusini na mwingine kaskazini, na kila mmoja alihitaji kuvuka ili kuelekea upande wa pili. Walipoufikia ule mto, kwa bahati mbaya, mto ule haukuwa na daraja pana, zaidi ya gogo lililokuwa limelazwa kwa kuvukia. Cha...
  2. Ni matumaini yangu Ikulu mpya inayoenda Kuzinduliwa hatutasikia nayo ina Hirizi nyingi na Kondoo wengi Wamezikwa

    Kuna Mtu Mmoja aliingia zamu yake ( mwaka nauhifadhi ) na alikuta Hirizi kila mahala huku Kondoo wakiwa Wamefukiwa hadi hawaka anashindwa Kulala ndipo Watu wa Maombi wakaitwa na Kuombea kisha vyote vikatolewa na ikawa salama na aliyekuwa navyo akaondoka navyo vingine Kwake Mikocheni, Masaki na...
  3. NEMC acheni kukamata kondoo walionona pekee

    Tangu NEMC ianze kamatakamata ya wachafuzi wa mazingira taarifa tunazopata ni ukamataji wa wenye baa, NEMC kunguru weusi na madereva wa bodaboda nao ni wachafuzi wa mazingira, hawa bodaboda pikipiki zao wamezifunga vifaa vya muziki ambavyo hutoa sauti kali sana kuliko hixo za baa. Kuna baadhi...
  4. Nataka nifuge kondoo dume na mbuzi mkoa wa Tanga

    Habari Wana JF! Nataka nianzishe mradi wa kufuga kondoo dume pamoja na mbuzi dume kwa mkoa wa Tanga, ningependa kujua eneo zuri likiwa karibu na mjini itapendeza zaidi.. na mbinu na je italipa au.
  5. Kwanini Biblia inatuita kondoo?

    Kwanini Biblia inatuita sisi kondoo. Huyu mnyama ana tofauti gani na wanyama wengine?
  6. Pastors kueni na huruma acheni kuwakamua kondoo wa Bwana

    Habari Nimebaki mdomo wazi baada ya ndugu yangu wa karibu kukata 10% ya mafao yeke ya usitaafu na kumpelekea mchungaji kama fungu la kumi kakata tena vimilioni kadhaa vingine katoa kama sadaka ya malimbuko ya mwisho wa mwaka kanisa linapokea tu hiyo pesa na halijui baada ya miaka kumi ijayo...
  7. F

    Nimeshtuka sana baada ya kuona wanachama kindakindaki wa ACT na CHADEMA wakijiunga na CCM. Hongera Dkt. Samia kwa kuwarejesha kundini kondoo

    Mimi binafsi ni mdau mkubwa sana na muumini mzuri wa siasa za CCM na mara nyingi napenda sana kutembea kwenye matawi ya CCM kujua yanayoendelea. Katika kipindi cha wiki moja tangu lile zuio la kutofanya mikutano ya hadhara ya kisiasa kutenguliwa nimekuwa nikifuatilia kwa ukaribu kujua mtazamo...
  8. Mgeni mwalikwa Mkutano Mkuu wa CCM kuita CCM 'Chama cha Mambuzi' ni kwa bahati mbaya au kweli?

    Nilicheka hadi nikafufuka upya wakati mjumbe wa Ethiopia alipokiita CCM chama cha mambuzi. hebu msikilize na wewe
  9. Nahitaji kondoo aina ya Red Maasai

    Salama wadau, Ninahitaji kondoo aina ya Red Maasai kwa ajili ya kufuga mwenye uelewa wa wapi naweza nikapata na bei yake anisaidie.
  10. S

    Nahitaji Kondoo aina ya Dorper

    Mambo vp Wadau wa ufugaji. Nimevutiwa sana una ufugaji wa awa kondoo aina ya Dorper weupe ila kuanzia kichwan wana rangi nyeusi nitapata wapi na bei zake wanauzawaje ?
  11. Jamani Mungu anawaona kwa mnayowafanyia kondoo hawa!

    Inasikitisha sana kwakeli yani baadhi ya wachungaji wanawaaminisha wanatibu vvu na kuwafanya watu wanaacha dawa hatimaye kufa. Lakini pia niwape kisa kingine nje na hapo juu. Kwanza nikiri wapo wachungaji wachache wenye karama ya uponyaji, wengine wapiga dili tu.Kisa cha kweli ila sitataja jina...
  12. Nilivyopata faida ya 800k kwa Biashara ya Kondoo

    Salamu Wakuu wa Jukwaa. Mimi ni moja ya wafanyakazi katika Taasisi wilaya Ya Ngorongoro Mkoani Arusha, mahala nilipo ajiriwa ni karibu sana na Kenya almost kilomita 20 kuingia nchi Jirani. Huku kabila kubwa ni Wamasai. Mwaka jana mwezi wa 8 Nilipata wazo la kuanzisha biashara hii hasa kutokana...
  13. L

    Julai 5, 1996: Kondoo wa kwanza aliyeumbwa kwa njia ya kurudufu (Clone) duniani alizaliwa

    Dolly ni kondoo jike aliyeumbwa kwa kutumia teknolojia ya kisasa ya kurudufu (Clone) na Taasisi ya Utafiti ya Roslin ya Scotland na Kampuni ya teknolojia ya viumbe ya PPL Therapeutics. Kuzaliwa kwa Dolly kumeweka msingi wa maendeleo ya teknolojia ya viumbe vya kurudufu (Clone), na kuibua mawazo...
  14. Nyasi za Juncao: Suluhusho la malisho ya ng'ombe, mbuzi na kondoo

    Nyasi za Juncao ni nyasi zilizofanyiwa utafiti nchini China, utafiti ulifanywa na Profesa Zin Zhanxi wa chuo kikuu cha Fujian Agriculture and Forestry.Ni hybrid ya aina tofauti za napier na yanafanana na majani tembo(elephant grass).Yanafahanika pia kwa majina ya Giant Juncao na majani ya...
  15. K

    Sudan: Kondoo ahukumiwa miaka mitatu gerezani kwa kuua mtu

    Kondoo mmoja Nchini Sudan ya Kusini amehukumiwa kifungo cha miaka mitatu gerezani baada ya kupatikana na hatia ya kumshambulia na kumuua mwanamke mmoja mwenye umri wa miaka 45. Mmiliki wa kondoo huyo ameamriwa kulipa ng'ombe watano kwa familia ya mwanamke huyo na pia kondoo huyo atatolewa...
  16. INAUZWA Mbuzi wakubwa na kondoo wanauzwa kwa bei nafuu weka oda yako tukufikishie ulipo

    Tunauza mbuzi wakubwa sana na kondoo wazuri. Shamba letu lipo Bunju sema ulipo tukufikishie mzigo wapo mbuzi wa kutosha. Mawasiliano 0652746359
  17. Mbwa Mwitu na Mwana Kondoo

    SIKU moja mbwa wa mwitu alikuja anywe katika kijito cha maji, akamkuta mwana kondoo mchanga akasimama karibu na kijito. Mbwa wa mwitu akataka kugombana naye apate kumua. Akamwambia, “Mbona unaborugaboruga matope nisipate maji safi?” Kondoo mchanga akamwambia. “Gissi gani nikutilie taka majini...
  18. RC Kagaigai: Ukame Kilimanjaro umeua Ng’ombe 841, Kondoo 406 na Punda 10

    Salaam Wakuu, Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, amepata 40% ya bajeti ya Maendeleo. Mkoa bado umeathiriwa na Ukame. ==== TAARIFA FUPI YA MKOA WA KILIMANJARO KWA MHESHIMIWA SAMIA SULUHU HASSAN, RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA TAREHE 22 JANUARI, 2022 1. UKARIBISHO: Mheshimiwa Rais...
  19. R

    Nyama ya kondoo inahitajika

    Habari Wakuu. Kwa mwenye uwezo wa ku-supply nyama ya kondoo DUME kiIlo 5000 kwa wiki tafadhali tuwasiliane. Simu 0656388678, Whatsapp 0676434611
  20. M

    Mbwa mwitu waliovaa sura ya Kondoo wametunyonya kama kupe

    Mwanzo, hatukuwatambua tulijua ni washirika wenzetu wazuri tunaosafiri kwenye safina moja kuelekea nchi ya maziwa na asali, Kaanani yetu. Kwa jinsi walivyokuwa wanasifu na kuabudu pamoja na kupanda kwenye madhabahu mbalimbali kutoa mahubiri ya kutujaza imani, kweli tulijua ni kondoo wazuri...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…