Kondé is an arrondissement in the Donga department of Benin. It is an administrative division under the jurisdiction of the commune of Ouaké. According to the population census conducted by the Institut National de la Statistique Benin on February 15, 2002, the arrondissement had a total population of 5,472.
Mtoto wa Will Smith, Jaden Smith, amefungua mgahawa wake wa "I Love You Restaurant”—mahali ambapo watu wenye uhitaji na wanaokabiliwa na ukosefu wa makazi wanaweza kula BURE.
Sasa, mtu yeyote ambaye hawezi kumudu chakula anaweza kupata kifungua kinywa, chakula cha mchana na chakula cha jioni...
Ibra ameanza kuimba taarabu toka wiki ianze anasikika kwenye social media kuwa anadaiwa,ila kiuhalisia hawa jamaa naona wanataka kupiga pesa za watanzania kwa lengo la kukidhi mahitaji yao.
Kwani siyo huyu Ibra aliyokuwa anagawa fedha?Bossi wake juzi ametoka kuhonga Defender,sasa naona...
Kupitia Ukurasa wa Instagram msanii wa Bongofleva ambaye mwaka 2020 alitambulishwa rasmi kuwa Msanii wa Label ya Muziki ya Konde Gang, Ibraah ameandika ujumbe wa kuomba msaada kwa watanzania kiasi cha B 01 ili aachane na Kondegang
"Sio mbaya kukubali kuwa mimi ni kijana niliyetokea kwenye...
Mbunge wa Konde (ACT Wazalendo) Mohammed Said Issa ameibua mzozo Bungeni mara baada ya kusema kwamba Chama Cha Mapinduzi (CCM) hakiwezi kupata kura katika jimbo lake kwa sababu sera zao ni mbovu.
Mbunge Issa ameyasema hayo jioni ya tarehe 06 Februari, 2025 Bungeni Jijini Dodoma wakati...
Killy ameamua kufunguka baadhi ya ujinga uliokuwa unaendelea kwenye lebo iliyokufa ya jembe ni jembe iitwayo konde gang. Aliongea akijibu shutuma nzito alizotoa msanii mfupi machachari anaetumia majani mengi aitwae harmonize akiojiwa xxl.
Nb: wakati tunawaambia haya mkatushambulia kuwa tuna...
Kwenye kipindi cha xxl cha leo kilichorushwa moja kwa moja kutoka Konde gang Hq ameoneka IBRA. Ila kusema ukweli anyone kana hana furaha, nuru ipotea, na mawazo mengi yaani kwa ujumla yupo yupo tu, Kijana anaguraji msaada wa haraka kuna mazito anayapitia kwa sasa ila haiwekwi wazi tu
Msanii Cheedy hivi karibuni Konde Kang walivunja mkataba nae ikalazimika imlipe million 10 kama sehemu ya kuvunja mkataba.
Wakati akihojiwa na East Africa Radio, Cheedy amefunguka kuwa; "Mkataba waliotengeneza Konde Gang hauendani na uwekezaji wanaouweka kwa sisi wasanii. Haiwezekani uweke...
Picha: Askofu Mwaikali
Lile kanisa lililo bomoka vipande vipande, dayosisi la konde limeendelea kumuandama Askofu Mwaikali aliyejitenga na kanisa hilo mwaka jana.
Baada ya kuwanyang'anya wafuasi wa mwaikali magari, makanisa sasa ni vita mpya ya kuwanyang'anya kila walichobakiwa nacho warutheli...
Baada ya vurugu na purukushani za EFM na Wasafi Media ambapo zimepelekea kwa watangazaji mbali mbali kuhama katika vituo hivyo vya burudani, msanii Harmonize ameujulisha umma kupitia ukurasa wake wa Instagram kuwa ameshakamlilisha Konde Gang FM na TV kwa 100%. Hivyo kuwataka wadau wakae mkao wa...
Msanii Konde boy Kila nyimbo lazima ajimwambafai na kiitikio cha "jeshii".
Tukielekea pasaka nikaona niangalie filamu ya yesu iliyotafsiriwa kwa kiswahili.
Kuna kipande Fulani yesu akiwa na wanafunzi wake kikimuonesha anamtoa mapepo chizi mmoja kuulizwa wewe ni nani ? Na yeye akasema kuwa ni...
Maneno ya Baba Levo akihojiwa huwa anaongea vitu fulani hivi ukivichunguza utajua nini kinaendelea Konde Village.
Mara nyingi Baba levo akiulizwa mahusiano ya Kajala na Harmonize amekuwa akijibu kuwa Kajala kwenye hayo mahusiano ana malengo yake, yakitimia basi anasepa zake, kichaka ni kuwa...
Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Harmonize amedhibitisha kuondoka kwa wasanii wake wawili Killy pamoja na Cheed.
Kufuatia tangazo hili, Cheed pamoja na Killy wamefuta post zote katika kurasa zao za Instagram.
Kwa upande wa Killy namkubali sana, nashauri aende wasafi. Anauwezo mkubwa sana...
Watu wa Soka,
Kesho tarehe 4/8/2022 ni siku muhimu sana kwa timu yetu Singida Big Stars FC.
Supastaa Harmonize "Konde Boy" ndiye msanii atakaetumbuiza kwenye tamasha letu la "Singida BIG DAY" kesho ALHAMISI ndani ya Uwanja wa LITI (zamani Namfua) hapa Singida.
Pia ataongozana na wasanii wote...
Watu wa Soka,
Kesho tarehe 4/8/2022 ni siku muhimu sana kwa timu yetu Singida Big Stars FC.
Supastaa Harmonize "Konde Boy" ndiye msanii atakaetumbuiza kwenye tamasha letu la "Singida BIG DAY" kesho ALHAMISI ndani ya Uwanja wa LITI (zamani Namfua) hapa Singida.
Siku hili ni maalumu kwa ajili...
OGOPA mno kuchanganya mapenzi na kazi! Saa kadhaa baada ya Harmonize au Konde Boy kumtangaza Kajala Masanja au Mama Paula kuwa C.E.O na meneja wake mpya, meneja mwingine wa jamaa huyo, Beauty Mmari almaarufu Mjerumani anadaiwa kufungasha virago.
Katika ukurasa wake wa Instagram, Mjerumani...
Kanisa la KKKT Dayosisi ya Konde leo imetangaza kumwondolea wakfu wa Uaskofu aliyekuwa askofu wa Dayosisi hiyo, Dk. Edward Mwaikali.
Pia imeviondolea wakfu vifaa vya Kiaskofu alivyokuwa anatumia kama pete, msalaba pamoja na fimbo ambavyo alikabidhiwa tarehe 18 Januari 2018 alipowekwa wakfu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.