kombe

Kömbe is a kind of börek from [[Sivas, Malatya Province Turkey. It exists in both the cuisine of Turkey and that of Azerbaijan and is popular among both Turkish and Azerbaijani people.

View More On Wikipedia.org
  1. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Waziri Kombo apokea kombe la ushindi kutoka kwa timu ya wizara ya mambo ya nje-nje sports club

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Balozi Mahamoud Thabit Kombo, tarehe 14 Januari 2025, amepokea kombe la ushindi kutoka kwa timu ya Wizara yake, Nje Sports Club, baada ya timu hiyo kushinda katika mashindano ya Kombe la Mapinduzi 2025 yaliyofanyika Mkoa wa Unguja Kusini...
  2. ngara23

    JamiiForums Tanzania Waamuzi wa Mapinduzi Cup, wanaibeba Zanzibar

    Waamuzi wa Zanzibar wanatia aibu Inaonekana wanachezesha Kwa maelekezo, yaani wameambiwa Zanzibar laZima afike final Nimetazama mechi ya Zanzibar na Kenya ila yule mwamzi ni muhuni aisee Amegawa red card ♦️ mbili , yellow cards 8 Kwa Kenya na kurusha ngumi😂🤣 Zanzibar wakapewa favour za kutosha...
  3. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Kombe la FA msimu huu halipo?

    Wakati tumeingia duru la pili la msimu wa NBC mpaka sasa sijasikia mechi zozote zikipangwa au kuchezwa za FA Cup. Ni kwamba msimu huu kombe halipo au kuna changamoto? Kama wana uhaba wa pesa au CRDB wanazingua waniambie tajiri niongeze mzigo. Msimu huu Simba hatutaki kuacha kitu mezani...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Tabora United haifungiki na timu yoyote ya NBC PL. Kwa mwendo huu itachukuwa kombe

    Wamemfunga Yanga, wamemfunga KMC na leo wamemfunga Azam. Bado Simba naye bila shaka atafungwa. Nani wa kuizuia Tabora United kuchukua kombe msimu huu?
  5. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Mwaka 2010 mdogo wangu aliwekwa korokoroni Africa kusini bila kosa sababu ya muonekani wa kihuni mpaka kombe la dunia kilipoisha

    Unajua mbinu waliyotumia Africa kusini kuandaa michuano ya kombe la dunia kwa anani bila wahuni kuivuruga. Naomba nikiri tu kuwa kipindi tunakua,kulikuwa na mwamko wa vijana kuzamia nchi za America ,ulaya au South Africa. Unapafahamu Salanander Cafe,down town kabisa mtaa wa Samora zilipo ofisi...
  6. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Al Ahly wanamtaka Ronaldo kwa mkopo wa miezi sita kwa ajili ya Kombe la Dunia la Vilabu Marekani

    Wakuu Inaelezwa kuwa Wajumbe wa bodi ya Al Ahly wamependekeza kwa Rais wa klabu hiyo, Mahmoud El Khatib, kujaribu kumsajili Cristiano Ronaldo kwa mkataba wa mkopo wa miezi sita kwa ajili ya michuano ya Kombe la Dunia la Klabu litakalofanyika nchini Marekani. Baada ya kuweka rekodi ya mabao...
  7. ngara23

    JamiiForums Tanzania Simba atachukua kombe Gani, mapinduzi cup ikichezwa na timu za taifa

    Mtani amepata pigo lingine, baada ya kichaka alichokuwa anajificha la kuchukua kombe la mapinduzi kucheza na timu za taifa Tujikumbushe mafanikio ya mtani aliyosomewa kwenye mkutano mkuu ni kama ifuatavyo 1. Bingwa kombe la Mapinduzi 😀 2 Whatsapp channel 😀 3 Kibegi Mtani Sasa rasmi hatapata...
  8. Its Pancho

    JamiiForums Tanzania Nashauri CAF walifute sasa kombe la shirikisho, linaleta hasara kubwa sana.

    I salute you kinsmen.. Hili kombe la wazembe mnaloita shirikisho limekuwa likizidi kupoteza mvuto siku hadi siku . Mtakumbuka CAF walipanga kulifuta lakini wakaghairi, hapo ndipo walipokosea!❌️ Shirikisho Zuri lilikuwa msimu ule yanga aliofika final tu✅️ Baada ya hapo tunaona sasa team legevu...
  9. Moshi25

    JamiiForums Tanzania Kombe Neno "Utopolo" maana yake ni Kisu Kikali cha Kumchinja Mnyama Simba!

    Ukiwa Mwanasimba uko mitaani ukatamka neno utopolo basi unacheka, unafurahi , unadharau na kubeza , simba ikija uwanjani inaanza mbwembwe Debora anazungusha watu dimba la katikati watu wanakaanga chips shwaaa, raha iliyoje, mara Zimbwe Jr anageuka kwa madoido watu weweee, Kibu anaruka ruka...
  10. demigod

    JamiiForums Tanzania Sioni Simba SC Akifuzu Kuingia Makundi Kombe la Shirikisho CAF.

    Kwa utashi wangu wa kusoma uhalisia, na Hali halisi ya Klabu ya Simba SC. Hasa falsafa za Kocha Fadlu, Basi sioni namba watakayo tumia Simba kuwatoa Al Ahly Tripoli na kutinga makundi. Sioni namna Kocha Fadlu anaweza kubadilisha namna take ya uchezaji. Sioni namna ule Moto atalio pelekewa...
  11. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania KOMBE LA KINA MAMA KUENDELEA KESHO

    Kama mnavyojua tanzania tunawakilishwa na kina mama kwenye kombe la wamama ambalo litaendelea kesho na muwakilishi wetu ni klabu ya simba a.k.a mbumbumbu fc najua kesho hii klabu itaenda kuchezea kichapo kikali sana aisee napenda kuwajulisha taifa linaenda kuingia aibu kesho
  12. C

    JamiiForums Tanzania Ni msemaji yupi hajawahi kushinda kombe lolote?

    Kati ya Haji Manara, Ahmed Ally, Ally Kamwe na Zakazakazi/Ibwe, nani hajaonja ladhs ya ubingwa wowote? Nauliza tu
  13. MwananchiOG

    JamiiForums Tanzania Rais wa CAF hafahamu kama Simba ilicheza na ilicheza wapi na kombe gani

    Raisi wa Caf Patric Motsepe siku ya jana aliwaacha Waandishi wa habari midomo wazi wakibaki kustaajabu! Hii ni baada ya kuulizwa kuhusu vurugu za mchezo wa Al Ahly Tripoli Vs Simba, Rais akawa hana taarifa yeyote Kama Simba ana cheza! Wala hakuna anacho kijua au kusikia kama kulikuwa na mechi...
  14. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania Simba inaenda kutolewa kombe la waliofeli Jumapili

    Kwa nilivyoiona hii klabu ya simba Mimi kama mchambuzi wa maswala ya soka Sina ushabiki wowote wa timu za Tanzania ni kwamba hii timu hamna kitu ilichokifanya kule Libya na jumapili inaenda kudharirsha taifa naomba nieleweke simba hamna kitu mule timu ni mbovu sijawahi kuona na huyo kocha sijui...
  15. Mzee Rufiji

    JamiiForums Tanzania Hili la Ngorongoro halijaisha, tumefunika kombe

    Ili Tanzania tupate maendeleo ya kweli ambayo ni endelevu, ni lazima tujifunze kuukubali ukweli halisi jinsi ulivyo na kukitokea tatizo, tukabiliane nao kwa kutafuta ufumbuzi wa kudumu wa tatizo hilo na sio kufunika kombe mwanaharamu apite. Ngorongoro kuna tatizo, Serikali ilitaka kulitatua...
  16. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Ili Kupata Maendeleo ya Kweli, Je Watanzania Tujifunze Kuukubali Ukweli wa Tatizo, Ufumbuzi wa Tatizo au Tuendelee na Funika Kombe Mwanaharamu Apite?.

    Wanabodi, Kama kawa, hii ni makala yangu kwenye gazeti la Nipashe la leo, Ili kupata maendeleo ya kweli, Je Watanzania tujifunze kuukubali ukweli wa tatizo, tutafute ufumbuzi wa kudumu wa tatizo husika, au tuendelee na huu mtindo wetu wa kufunika tuu kombe mwanaharamu apite?. Tutakuwa...
  17. BigBro

    JamiiForums Tanzania Marekani Kombe lao la Dunia ni Olympics

    Hawa jamaa kila Olympics wanazoa medali balaa. Wamepeleka wanamichezo 600+. Hadi sasa wana medali 101. China ndo inawafuatia. Hakwenda kiongozi yoyote wa serikali zaidi ya makocha wa kila mchezo. Wanaoshinda medali wote wanalipwa wakirudi US, kwanini tusijifunze kwao?
  18. Frank Wanjiru

    JamiiForums Tanzania Jemedari Saidi: Huna hata kombe la kuonyesha kwanini shughuli yako isiwe ya muda mfupi.

    Wasanii watatu, Dj mmoja, Mc mmoja, Wageni wawili, Huna kombe la kuonesha, huna mchezaji wa kuringishia kwanini shughuli isiishe mapema Yani shughuli kama ya Ubarikio hakuna mambo mengi😂😂😂😂😂 Duniani kama hujafanya mambo makubwa hata MSIBA wako utakuwa mfupi yaani utasikia MAREHEMU alizaliwa...
  19. MwananchiOG

    JamiiForums Tanzania Rekodi: Simba yafanikiwa kujaza uwanja siku tatu kabla ya Simba Day

    Hatimaye kwa mara nyingine na kwa mara ya tatu mfululizo timu ya Mo Dewji imenyakua kombe la kujaza uwanja kama kawaida katika mwanzo wa msimu.Katika hali ya kustaajabisha na ya kusikitisha timu hiyo kwa mara ya tatu mfululizo baada ya kukamilisha kombe la kujaza uwanja mwanzo wa msimu,Huwa...
  20. kavulata

    JamiiForums Tanzania Baada ya kushinda kombe la TOYOTA Yanga ombeni udhamini wa TOYOTA

    Nimerudia kuitazama mara tatu ile mechi kati ya Kaizer Chiefs vs Yanga mashindano ya TOYOTA Cup nimebaini kuwa Kaizer Chiefs haikuwa timu mbovu hata kidogo, ni makosa madogomadogo ya kukosa pumzi na muunganiko kuliko Yanga kulikosababisha Kaizer kuchapwa 4-0. Nabi hana kazi ngumu sana kuifanya...
Back
Top Bottom