kombe

Kömbe is a kind of börek from [[Sivas, Malatya Province Turkey. It exists in both the cuisine of Turkey and that of Azerbaijan and is popular among both Turkish and Azerbaijani people.

View More On Wikipedia.org
  1. ANT DRUGS

    JamiiForums Tanzania Kombe la dunia la vilabu na marefa wetu wa bongo

    Hivi nyie marefa mnaona wenzenu wanavyochezesha Mpira? Bongo mtu akiguswa tu kidogo filimbi inapulizwa hasa mkiwa mnachezesha hizo timu zetu za kurithi. Kama mna akili na mnataka mfike mabli fatilieni haya mashindano hamtabaki kama mlivyo msimu ujao. Naipenda Sana ligi ya Saudia hakuna...
  2. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Mfumo mpya wa Kombe la Dunia la Vilabu waanza leo na timu 32 litafanyika kila baada ya miaka 4

    Kombe la Dunia la Vilabu kwa muundo mpya linaanza rasmi leo tarehe 14 Juni 2025, likifanyika nchini Marekani, na kwa mara ya kwanza likihusisha vilabu 32 kutoka mabara yote. Hili ni toleo la kihistoria kwa sababu litakuwa linafanyika kila baada ya miaka 4, sawa na Kombe la Dunia la Timu za...
  3. funaku

    JamiiForums Tanzania Ni nani aliyetafuna fedha za zawadi ya Kombe la CRDB?

    Kiukweli hizi timu zinapitia magumu sana kutokana na uroho wa wachache. Wachezaji wanateseka dakika 90 + halafu zawadi ya fedha haiwafikii
  4. Amani ya Mungu

    JamiiForums Tanzania Ali Kamwe: Hatutacheza mchezo wa kombe la Shirikisho CRDB mpaka tulipwe pesa zetu za Msimu uliopita

    Press ya Yanga muda huu, Pamoja na kuendelea kugomea mechi ya Derby ya Tar 15 June 2025, msemaji amesema hawatacheza mechi ya fainali iwapo hawatalipwa pesa za ushindi wa kombe la CRDB la msimu uliopita. "Hatutacheza mchezo wa kombe la Shirikisho CRDB mpaka tulipwe pesa zetu za Msimu...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Angechukuwa Kombe la CAF ungekuta hadi leo ni ziara ya majigambo

    Mungu ni Mkuu. Pale unapopambana ufanikiwe ili umtukane jirani yako . Kiuhalisia Kombe la Shirikisho Caf mwk huu lilikuwa la Simba ila kutokana na Kiburi , kufuru , dhihaka na ulimbukeni Mungu akasema " HAPANA ". Kimsingi ktk ligi yetu Mashabiki wanaoongoza kwa maneno Machafu ni SIMBA. Vinywa...
  6. Kitimoto

    JamiiForums Tanzania Mama Mbona Ujaipongeza Timu ya Simba Kushika Nafasi ya Pili Kwenye Kombe la Shirikisho Mwaka Huu 2025?

    Inawezekana Mama amepitiwa kulikosababishwa na Majirani zetu wapendwa wa hapo Kenya!
  7. Desierto

    JamiiForums Tanzania Bora tu simba hatujachukua kombe

    Hebu tafakari kama tungechukua kombe kila kiongozi wa serikali angeanza na neno gani kwenye huo ushindi. Nafikiri hata wachezaji wangesahaulika kupongezwa.
  8. Pdidy

    JamiiForums Tanzania MWAMUZI DEHANE ALIECHEZESHA FINA L YA SIMBA VS BERKANE ACHAGULIWA KUCHEZESHA KOMBE la DUNIA la VILABU MAREKANI....CONGS MWAMBA

    Mwamba dehane N MMOJA WA WAAMUZI WALIOCHAGULIWA KUCHEZESHA MECHI ZA MAREKANI KOMBE la DUNIA LA VILABU Mwambaaaa nyotaaa inazidi kungaaa
  9. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Simba walisema medali bila kombe ni kama shanga tu, Yanga walivaa shanga sisi tunaleta kombe.. Mabati fc mpooo tujikumbushe

    BANA WEWEE USITUKANE MAMBA UJAVUKA MTU MSIKILIZEE MWAMBA ANAVYOSEMA YANGA WALIVAA SHANGA MEDALI BILA KOMBE KAMA SHANGA TUU WAO WANALETA KOMBEEE WAMEISSHIAA KUJA NA SHANGA ZILE ZILE LOH
  10. Mchochezi

    JamiiForums Tanzania Simba 1-1 RS Berkane| Agg: Simba 1-3 RS Berkane | RS Berkane Bingwa CAFCC 2024/205

    FT: Simba SC 1-1 RS Berkane (Agg: 1-3) | Ni kufa au kupona. Ni fainali ya mkondo wa pili katika kombe la shirikisho barani Afrika. Simba SC Vs RS Berkane, mchezo wa kwanza Simba alifungwa 2-0. Leo atakuwa na nafasi ya kujiuliza katika mchezo wa mkondo wa pili. Mchezo ni saa 10:00 jioni kwa...
  11. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Wasiojulikana wavamia Chumba cha Waamuzi, sintofahamu yazuka na Walinzi wa Simba baada ya Fainali ya Kombe la Shirikisho

    Sintofahamu iliibuka kati ya walinzi wa Simba na wageni ambao hawakufahamika katika chumba cha waamuzi kubadilishia nguo baada ya mchezo wa fainali ya kombe la shirikisho Afrika kumalizika kati ya Simba na RS Berkane.
  12. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Saaa sita na robo KOMBE limeelekea na ndege MOROCO tuwatakie vijana usiku mwema na safari njema kwa KAZI nzuri pls.....

    Habari za uhakika Dk 20 zilizopita timu ya berkane imeleekea MOROCO wakiwa na KOMBE lao walilopata BAADA ya kutoka drw na Simba sc UWANJA WA Amani Taarifa zaidi vijana WA Simba bado awajarudi dar es salaam na aijulikan watarudi kwa meli boti ama ndege KWA KAZI nzuri waliyofanya Naomba...
  13. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Ratiba ya KOMBE LETU Iko Hivi

    Ratiba ya Mnyama Simba Baada ya Kutwaa Kombe la Afrika CAF Hapo Jumapili 1. Jumatatu Kombe litapelekwa Ikulu ya Rais Hussein Mwinyi Zanzibar 2. Jumanne Kombe litapanda Ndege Kuelekea Dar es Salaam na Kufikia Ikulu ya Rais Samia Suluu Hassan 3. Jumanne Hiyo Hiyo Kombe litaelekea Makao Makuu ya...
  14. C

    JamiiForums Tanzania Ahmed Ally ana gundu? Simba hawajabeba kombe tangu ajiunge nao

    Huyu bwana anaweza kuwa na mkosi. Anabwabwaja sana lkn timu yake haipati makombe ktk kipindi hiki. Watu wa Simba amkeni, pengine mmeingiliwa na migundu
  15. ngara23

    JamiiForums Tanzania Ratiba ya sherehe za ubingwa wa RS Berkane kombe la shirikisho

    RS Berkane ana uhakika asilimia 💯 kuchukua ubingwa 1. Kesho saa 1 kamili asubuhi kombe litatua Dar es Salaam, na kupokelewa na mashabiki wao wa Tanzania. 2. Parade la ubingwa kuelekea viwanja vya jangwani, kupitia mitaa ya Msimbazi 3. Viongozi, wachezaji na mashabiki wa Simba watapata fursa...
  16. Hyrax

    JamiiForums Tanzania Simba asipochukua kombe la CAF Jumapili hii baada ya mchezo nitawatumia watu 10 milioni 1 kila mmoja wa hapa JF

    Simba Bingwa wa CAF Confedaration 2025, namba za kinajimu zinamfavour simba kuliko Berkane mbaya zaidi wanacheza ardhi ambayo ina historia kubwa ya vita za gizani katika nchi hii. Wachambuzi wengi wenye uelewa mdogo wa mpira wa miguu hasa africa utawasikia wanavyochambua kiufundi wa kimpira...
  17. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania CAF wazindua Kombe jipya la CAF Champions League (CAFCL), huu ndio muonekano wake

    CAF wamezindua Kombe jipya la CAF Champions League (CAFCL), huu ndio muonekano wake.
  18. D

    JamiiForums Tanzania Siipendi Simba lakini naomba wachukue kombe kwa heshima ya taifa na 'ahsante' kwa Huyu Mama Anayeupiga mwingi Michezoni

    Kwakweli wachukue tu Simba Ili jitihada zilizoonyeshwa kwenye michezo na mafanikio mengi yaliyowekwa yaendelee kupata maana. Aisee kwenye michezo umepigwa mwingi mpaka unapwakuka. Hata haters wa mama kimoyomoyo wanakiri. ✓fainali mbili ✓mashindano ya afrika kufanyika hapa ✓viwanja kujengwa na...
  19. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mpaka sasa sijui ni kwanini Simba SC, Serikali, TFF, CCM na Wanachama wa Simba SC walikuwa wanalazimisha Fainali ya CAFCC ipigwe kwa Mkapa

    Tafadhali anayezijua sababu hizo aniwekee hapa.
  20. shuka chini

    JamiiForums Tanzania Simba akichukua kombe, nipigwe ban ya siku tano

    Habari wadau . Mimi kama mdau wa soka nimeumia sana kitendo cha mechi kupelekwa zanzibar ni hujuma za wazi kabisa Yani tff na serikali wamefanya makusudi kujichelewesha kufanya ukarabati ili mechi ipelekwe zanzibar kumfurahisha mama . Kwa kilichotokea nasema hivi simba nendeni mkakamilishe...
Back
Top Bottom